Тёмный

PENATI ZA KIUFUNDI ZILIVYOPIGWA NA YANGA PRINCESS NA KUISAMBALATISHA SIMBA QUEENS 

Yanga TV
Подписаться 688 тыс.
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 5 часов назад
Yanga hii ya Edna Lema wapinzani watateseka sana💚💛💚💛
@zuhuraabdulrahman1515
@zuhuraabdulrahman1515 5 часов назад
Yanga princess let's go💪
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 5 часов назад
Yangaaaaa 🎉🎉🎉🎉
@yuzomaneno
@yuzomaneno 5 часов назад
YANGA bingwa 🙏🙏🙌🇯🇲💛💚
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 3 часа назад
Simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏
@robertnkongo5729
@robertnkongo5729 5 часов назад
Vizuri dada zetu
@ChenchiKing
@ChenchiKing 4 часа назад
Yanga Bingwa💛💚💛💚Wapinzan Wajipange Kwa Edna Lema
@brysonzawad8521
@brysonzawad8521 5 часов назад
Yanga raha kila sehem
@doricepulling8051
@doricepulling8051 5 часов назад
Kipa la kolo lilikuwa linavuka mstari
@filemonkwaja6181
@filemonkwaja6181 5 часов назад
Igwe ni mtu na nusu,angalau tumepata beki wa ball. Goalkeeper anajua Sana
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 5 часов назад
Yanga bingwa 🎉🎉🎉🙌🙌💚💚💚💚💛💛💛
@qiblatainonline
@qiblatainonline 5 часов назад
kipa wa simba anatoka sana kabla mpira haujapigwa
@bahatichikoko6362
@bahatichikoko6362 4 часа назад
Kumbe tumeona wengi.
@qiblatainonline
@qiblatainonline 4 часа назад
@@bahatichikoko6362 😀😀😀
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 4 часа назад
Sana limetoka mara nyingi t refa si alitaka makoroboi yashinde ndo maana
@dullywa9973
@dullywa9973 3 часа назад
marefa hawna quality
@EmanuelMiyonjo
@EmanuelMiyonjo 4 часа назад
Huu mwezi wa kuziba midomo 🤣🤣💛💛💛💚💚💛
@FadhFlavourTz
@FadhFlavourTz 5 часов назад
Like zangu spa🔥🔥🔥🔥
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 4 часа назад
Good start!
@SaimoniMapunda
@SaimoniMapunda 4 часа назад
Tunaomba nambayakipa tafadhali tumtumiepesa yamaji ameupiga mwingi🔥🔥🔥🔥👏
@shidamasuba4131
@shidamasuba4131 3 часа назад
Tena akiheshimu Sheria za mahali pa kusimama
@DismasGeraldi-i2s
@DismasGeraldi-i2s 2 часа назад
Usije ukatongoza lkn😅
@faidha23
@faidha23 Час назад
😂😂😂
@samuelrondo8006
@samuelrondo8006 3 часа назад
Yanga bigwa 💚💛💚💛💚💛
@AbaidiiniNgweti
@AbaidiiniNgweti 5 часов назад
Kazi ipo mwaka huu
@aminakazogolo2229
@aminakazogolo2229 4 часа назад
Well done girls🎉🎉🎉💚💛
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Час назад
Saaafi Kabisa 💚💛🌟🔥💯
@malietamaliet
@malietamaliet 3 часа назад
Kipa uyu nimempenda Bure Asante wachezaji wetu mmetuheshimisha bila kumsahau kocha Edina
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 4 часа назад
Allaah Akbar
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 5 часов назад
Goli kipa wa simba anatoka golin kama mlinzi wa soko la kariakoo
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 5 часов назад
😂😂😂😂
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 3 часа назад
Screen protector wa queen ma quen wetu🎉🎉🎉
@MakeneMaiga
@MakeneMaiga 4 часа назад
Yanga hiii unaifungaje
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 3 часа назад
Tupo tayari kufugwa na Yeyo😂te yule ila sio kolo....
@joojombi2341
@joojombi2341 4 часа назад
Hongereni wananchi kazi Iendelee mapambano bado
@emanuelanderson4483
@emanuelanderson4483 5 часов назад
Hawa MAKIPA wote wawili wapewe mafunzo vizur..wanatoka sana mbele kabla pernat haijapigwa
@stewartsylvester2353
@stewartsylvester2353 4 часа назад
As long as simba kapigwa basiiiiiiiii😂
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 часа назад
​@@stewartsylvester2353kipa wa Simba ndiye alikuwa anatoka kabla.
@stewartsylvester2353
@stewartsylvester2353 Час назад
@@simonnjovu586 yaaaa kabisa japo hata wa yanga naye alikuwa anatoka pia Ila mechi ilikuwa kali
@Tassyomy
@Tassyomy 4 часа назад
Kipa La Makolo Mbona Linatoka Sana Golin Halafu Kibendela Ametulia Tu Inamaana Alikua Aon Au..🥴
@kabuugnathan2503
@kabuugnathan2503 5 часов назад
Likipa la makoro linatoka mno yani kabla ya penalty kupigwa kashavuka mstari na marefa wamekaa
@Josephinenkana
@Josephinenkana 4 часа назад
Yangaaaaaa yanguu❤❤
@RoseMkude
@RoseMkude 3 часа назад
basi kesho kaka zetu watupe fulaha. ili wajue sisi ni yanga 💚🔥
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 3 часа назад
Utapigwa mpira mkubwa sana
@Sophia-y6f
@Sophia-y6f 5 часов назад
Kwa hiyo makolo wamekosa ngao zote🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💛💚💛💛💛💛💛🔥🔥🔥🔥🔥🔥💛
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 4 часа назад
Ewaa😂
@MatimbeJr
@MatimbeJr 4 часа назад
Labda ngao ya chandarua
@HappyBarnOwl-ug5kt
@HappyBarnOwl-ug5kt 4 часа назад
Hahahaja​@@MatimbeJr
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 4 часа назад
Makoroboi ni makoroboi t
@zakiaramadhan6976
@zakiaramadhan6976 2 часа назад
😂😂​@@EliaMkumbo-wn7bm
@SarahMwangisi
@SarahMwangisi 4 часа назад
Dada we kama diara
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 4 часа назад
Congratulations to u Edna lema
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 21 минуту назад
Yaani Yanga tuna Raha kila Kona hadi tunaumwa, hata lichezwe kombe la mabauncer wa Simba na Yanga bado mabauncer wa Yanga watashinda tu - Makolo hadi mseme poooh... vinginevyo mtateseka saaanah tu .... nyie kinachowaponza midomo yenu isiyokuwa na break.
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 3 часа назад
Simba bingwa 🏆🦁💪💪💪🙏
@wilsonlevayoni2361
@wilsonlevayoni2361 3 часа назад
Bingwa wa keleleee lbda😂😂😂😂
@AtupeleFesto
@AtupeleFesto 2 часа назад
wow yanga tamu jmn🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@Manyandaevance
@Manyandaevance 56 минут назад
Penalty zote zilizodakwa na makipa wametoka kabla ya kupiwa mpira lakin hongera kwa tim yangu kushinda
@ramboiddrambo3056
@ramboiddrambo3056 3 часа назад
sema kipa wa simba anatoka sana kama ali salim wao
@jimmysenioronetz9074
@jimmysenioronetz9074 4 часа назад
Makipa wanatoka kabla penalty kupigwa
@shantungamaumba7159
@shantungamaumba7159 2 часа назад
Huyu ndiye Lema tunayemjua, ❤ tulimmiss sana alipokosekana. Pira limechezwa LA Hali ya juu. Nakumbuka maneno yake ya Jana , akiwa very humble, hakuwa na wasiwasi, kumbe hakujua mungu alipanga nini kwa ajili yake Leo. Bravooo🌹🌹🌹
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 4 часа назад
Makoro yamegongwa nahuku kwa mademu zao wakati walisema yanga ni vibonde wetu imekuajeeee?
@JohnLyakurwa-v8y
@JohnLyakurwa-v8y Минуту назад
Igwe is like Ibrahim bacca, huyu dada ni beki ya boli
@CassimMhagama
@CassimMhagama 3 часа назад
Yanga wa na kipa hapa
@EmmanuelChuwa-l7b
@EmmanuelChuwa-l7b 4 часа назад
yaan hyo kibender anaangalia t makipa wanavyovunja sherioa limekaa t hap linashangaa makipa wanatoa miguu yot
@EmmanuelChuwa-l7b
@EmmanuelChuwa-l7b 4 часа назад
yaan hyo kibender anaangalia t makipa wanavyovunja sherioa limekaa t hap linashangaa makipa wanatoa miguu yot
@fabigeniustz976
@fabigeniustz976 4 часа назад
Wananchii 🔥🔥🔥
@fredybahili1659
@fredybahili1659 Час назад
Kwan hakuna Sheria kwenye upigaji wa penalty kwa wadada, mbona ka kipa wa Simba anaanza kudakia kati kati ya mstari wa Gori na sehem ulikotengwa mpira
@iddiadam2366
@iddiadam2366 2 часа назад
Kipa Wa Panya Road Anatoka Sana lakin Wapi Haijasaidia Kitu😂😂😂
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek Час назад
Hii ndio Yanga princess bhana,na bado !!!!!!
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 3 часа назад
Kipa wa simba anakiuka sana utaratibu, alifundishwa kuleta huo ujinga
@shadrakagalus1185
@shadrakagalus1185 2 часа назад
Dah aisee golikipa kafanya Kaz ya maana sana,,,ni mtu wa maana sana aiseee
@mrjmusictz
@mrjmusictz 32 минуты назад
Apa sf💛💚💛💚
@AmanMmary-dv4cg
@AmanMmary-dv4cg Час назад
Tumeshinda ila uyo golikipa wa kolo alkuwa anadakaje ivo mikwaju ya penat na malefa wapo apo na wamekaa kmy kwr au mm ndy sjh sheria za mpila
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 3 часа назад
Daa kidogo tutapumua kwenye mitandao alhamdu lilah 😂😂😂😂daaa
@ireneKiposa
@ireneKiposa 4 часа назад
Good girlz💚
@DevidMwakajila
@DevidMwakajila Час назад
Duhhhh huyuuu ni diara mtupu jamani wakina mama na nyie watambieni makolo
@EmmanuelMikaely
@EmmanuelMikaely 3 часа назад
Yanga ya mwaka huu inauwa wapinzan
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 3 часа назад
Hizi ni salamu za October 19
@FaridaDady-m2q
@FaridaDady-m2q 2 часа назад
Nimpend alie pg penat akakosa kbl kufung yng mwish
@FESTOPETRO-w9v
@FESTOPETRO-w9v 3 часа назад
Saw
@LeylaSaria
@LeylaSaria 3 часа назад
Morinyooo is back 😂😂😂mtatafutan mbn sema cocha wa simba ulitambaaaaaaaa saaaaaan😂 na bad
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 2 часа назад
Hata ivo golikipa wa simba anatokea kabla yakupigwa mpira
@MariaMsuku
@MariaMsuku 3 часа назад
💚💛
@nseyantemi
@nseyantemi 4 часа назад
safi sana
@SaidiIduri
@SaidiIduri 3 часа назад
Hawa waamuz ni wapumbavu sana inakuwaje makipa wanacheza penalty mbele ya mstari na wanaangalia tu
@LizzyNana-b9h
@LizzyNana-b9h 3 часа назад
Kuna mchezaji wakolo apo naona anaminya mbupu😅😅😂
@herieldauson5987
@herieldauson5987 47 минут назад
Pallangyo ndugu yangu leta namba nikutumie hela ya soda
@RaineryChristian-xy1ss
@RaineryChristian-xy1ss Час назад
Huyu kipa wa Simba mbona anatoka kwenye mstari
@RaineryChristian-xy1ss
@RaineryChristian-xy1ss Час назад
Huyu kipa wa Simba mbona anatoka kwenye mstari
@RaineryChristian-xy1ss
@RaineryChristian-xy1ss Час назад
Huyu kipa wa Simba mbona anatoka kwenye mstari
@RaineryChristian-xy1ss
@RaineryChristian-xy1ss Час назад
Huyu kipa wa Simba mbona anatoka kwenye mstari
@scopy0428
@scopy0428 4 часа назад
Mwaka wetu huu Yanga tushindwe wenyewe
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 3 часа назад
🦁🏆🏆💪💪💪💪
@ireneKiposa
@ireneKiposa 4 часа назад
Hawa makipa🙌🙌
@OmanBarka-f4d
@OmanBarka-f4d 4 часа назад
Wayanga kama sio wanawake
@malietamaliet
@malietamaliet 3 часа назад
Kipa wamakolo penat zote alikua nje ya msitari awajapiga ashatoka😂😂 kama Salim
@marthageorge5043
@marthageorge5043 3 часа назад
🎉🎉🎉🎉🎉💚💛
@DullahLenard
@DullahLenard 4 часа назад
TUMEANZA NA DADA ZAO
@jeromemassawe694
@jeromemassawe694 4 часа назад
hao ni wadada yanga unaifungaje.
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 3 часа назад
Hivi refa haoni ligolikipa la kolo linavyotoka
@AchileusNshekanabo
@AchileusNshekanabo 4 часа назад
👏👏👏🤲🤲🤲
@titobernard383
@titobernard383 2 часа назад
Maumivu makali mno dah 😢😅
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 3 часа назад
Madem wanapga penat kuliko ata kina baka
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 4 часа назад
Msimu huu hatuna
@FaridaDady-m2q
@FaridaDady-m2q 2 часа назад
Ftm issa nimempend
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 3 часа назад
Kweli tumeshinda ila ukweli hatuchezi mpira wa kuvutia
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 часа назад
Mpira mzuri ni kushinda game
@McBaraka-tz
@McBaraka-tz Час назад
Huyo kipa wa Yanga ni Diara mtupu 😂😂
@Ashrey82
@Ashrey82 5 часов назад
YANGA BINGWA 😂
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 4 часа назад
Raha za yangaaa😂🎉🎉🎉
@MohammedAbdallah-db6ed
@MohammedAbdallah-db6ed 3 часа назад
Oya hawa madada au 😂😂😂
@Saidor-p5z
@Saidor-p5z 3 часа назад
Tumeanza na mademu zao
@Hamil-ud7yw
@Hamil-ud7yw 4 часа назад
Marefa wa Tanzania mnafeli wap mbn makipa wanatoka kbla
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 5 часов назад
✅✅✅🖤🖤💛💛💛🔰
@KudraEliasa
@KudraEliasa Час назад
Tuko vizuli San mwaka huku tuko poa
@kimbrai
@kimbrai Час назад
kiswahili hicho sasa!!! eti .... kusambalatisha ... Yaani unafanya kazi timu kubwa, unashindwa kutofautisha 'la' na 'ra'
@beckamletema
@beckamletema 3 часа назад
😅😅😅😅 mabingwa hao yanga
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 Час назад
Kama kaka zao
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 3 часа назад
🙏🔰💛💛💛💚💚💚
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 5 часов назад
Hakika mwaka uyu tuna nyanguwa
@asmahozza8468
@asmahozza8468 5 часов назад
Kabsaa waelekezwe vizuri
@AndersonWillison-e4l
@AndersonWillison-e4l 2 часа назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Далее
Провал со стеклянным хлебом…
00:41
ХОМЯК ВСЕХ КИНУЛ
10:23
Просмотров 635 тыс.
When Teams Used to fear This MAN United Squad
13:21
Просмотров 101 тыс.
Провал со стеклянным хлебом…
00:41