Nilivyona Clam yupo ndani nikaona niangalie. Mara zote huwa na view na kuenjoy lakini siachi comment. Kiukweli Wewe pamoja na wenzako Mpo vizuri naamini hii Movie inahitaji boost kidogo tuu ili intrend ila nawaona kwenye picha kubwa kwenye tasnia ya filamu. Mungu awalinde na kusimamia afya pamoja na kazi zenu. Mnastaili Pongezi 👏👏👏🙌
Bravoooo, clam hili umeliweza kweli, nmeifatilia epsd 01 to 10 and I prove it done, hongera sana bro clam, its a great job keep it burning, hii bado cjachoka kuiangalia
Tunapenda movie nyengine kama hii ama mnasemaje mashabiki wa clam vevo....kusema kweli niko na asilimia mia moja watu wengi tumependa hii filamu...hongera kwa kaka na ndugu yetu clam na hakika filamu hii ameitendea haki na anahitaji pongezi kwa hiki alichokifanya maana haikuwa rahisi.
It was nice one Mr but ugepush iendelee Dio ufunze adabu hao wote waliofanya unyama kwa Ziduna ..na Dio tujifunze ubinadamu and kutafuta Mali polepole mbila kufikiria ushirikina