Phinna I listened to Sisi ni wale while my heart is in Palestine and listened to penzi la wawili, still my heart did not give up on loving Palestine, I like your emotional musical feel.🎉
A woman of vision does not stop dreaming, because she knows she has a mission to accomplish. A woman of vision enables great things to happen, by pursuing the right things. A woman of vision knows where she has been, and has a better understanding of where she is going.
Phina haukutakiwa uzaliwe hapa bongo ila mungu amekujalia piga kaz usisikilize maneno ya watu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda xana mung aibarik kaz yako
Hii ngoma tamu saana nimeipiga niko na kipenz changu hapa nimeokota percent ety ananiuliza muziki ni wa nani nimecheka saana kwa furahi ikabidi nimwambie aidownload yaan hii ndio ngoma yetu mm na yeye NDAKUKUNDA safii saana OUR AFRICA QUEEN keep representing us in the africa and worldwide in general
Unajua sana kuimba phina nakuskiza kila goma lako naona utofauti, melody kali, mashairi mazuri na ubunifu mkubwa, usiwe kama waimba chapati😂, baada ya Tyla unafuata wewe kuipata ile tuzo ❤❤❤
The real defination of good music. From the beat, the lyrics, the vocals and even the arrangement, everything is perfect. the best female artist in east africa at the moment
Niliwambia huyu kiumbe ni vile tu kazaliwa bongo lkn si mwenzetu kbs yan❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤MELANIN QUEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤PHINA❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaani wabongo wanajifanya hawajui uwezo wa phina, ameng'ang'ana musifia yule mdada anayejificha kwenye ukubwa wa label tu. Nasema hivi ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Phina ana uwezo mkubwa sana
Ni mda wa kukubali huyu dada amekomaa kwenye game na tumpe maua yake. She is the Queen now, and she needs appreciation. Apige show Kenya tumpe support ya kutosha.