Aisee nafulahi sana kuona muze likoma n'a dibozi maana bila Hao movi sijisikiye vizuli maan 'ndio banabifanya vizuli san nawapenda sana kep n'a zébu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Baada ya kula za uso za kila rangi kwenye sonaa 😂😂😂😂 kwenye plan b amekuja na sura yake ya kawaida kama vile alivyo kuwa kwenye last card😢 ila sio mbaya zebuu atafanikiwa tuuuu❤
Oyaaah oyaaah nimeona wanyamwezi....more love from Nairobi Kenya..❤❤❤❤ KP kanzi nzuri Sana....pongezi pia Kwa SHEILA BINTI LIKOMA ....ameiva Sana kwenye movie....Kenya tunawalove Sana Na tunafatilia kazi zenyu
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ ongerisa san wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote nawakubali masha llaah amjawai kukosea nao wazee nilikuwa nimewa miss vibabu wapenen hai