Тёмный

PLAN B _ Episode 17 

kp wa Aquino
Подписаться 220 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 480   
@AminaKhalfani-ib7sh
@AminaKhalfani-ib7sh 4 часа назад
Leo wakwanza naomben like timu kp from tz kp nazebuu mnaluhusiwa kutowa like
@ERNESTANNEY
@ERNESTANNEY 4 часа назад
@@AminaKhalfani-ib7sh jamn afu me nitasemaje we kam ni wa kwanza
@AminaKhalfani-ib7sh
@AminaKhalfani-ib7sh 3 часа назад
@@ERNESTANNEY we utakuwa wa0.1
@mwanaidirashidi
@mwanaidirashidi 4 часа назад
Tulio miss kumuona suraji kwenye game gonga like hapa
@MARYMAREGEMDAKU
@MARYMAREGEMDAKU Час назад
Alienda wapi lakini
@JanetMoraa-or2rx
@JanetMoraa-or2rx 4 часа назад
From this side 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nadhani sijachelewa naomba msinisaha na ka like jameni
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g 4 часа назад
Najuwa sija chelewa bado wakwanza toka drc wanao fwatiya plan b kutoka drc tujuwane kwa like👍💝
@LwanzoPaluku6
@LwanzoPaluku6 3 часа назад
Una ishi drc maeneo gani
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g 2 часа назад
@@LwanzoPaluku6 niko goma👍
@victoriangasa
@victoriangasa 4 часа назад
Waooooh hatimaye leo nimewahi timu KP na Shey Shey wapi like ❤❤😂Muwe na usiku mwemaaaa na ALLAH awalinde🙏🙏
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Час назад
Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiin
@MiriumWajey-lr1tq
@MiriumWajey-lr1tq 4 часа назад
Shey shey unajua mpaka unakera❤❤
@FatemahFatemah-b3h
@FatemahFatemah-b3h 4 часа назад
Mi wa mwisho nangoja kuona kisai kikimramba, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hayoooo kwa team Nora
@FelisterminooMutevu-kk6rk
@FelisterminooMutevu-kk6rk 4 часа назад
from Kenya 🇰🇪 sijachelewa Sana nipewe ata likes Kumi tu
@FulumentFajens
@FulumentFajens 4 часа назад
Jaman nimechelewa sana hii move i like naomba like zenu jaman
@janemumbua4683
@janemumbua4683 4 часа назад
Wakwaza leo kulike na kucomment 🎉🎉🎉🎉🎉mau yenu asante kwa muendelezo like wapendwa mimi tangu plan B ianze sijawai pata like moja 😢😢😢
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 часа назад
Naomba kuuliza hv sheiy Sheila unajua kutumia pc kwl
@wizboyfriend
@wizboyfriend 4 часа назад
Hii crew ya kp yamoto sana naiona mbali huko Hollywood ✈🌐
@user-sv5te9ft9m
@user-sv5te9ft9m 4 часа назад
Wakwanza Leo naomben like hata Tano tu🎉 halafu kp sulaji mmempeleka wap😢😢
@IsmailAbdikadir-lz2xx
@IsmailAbdikadir-lz2xx 4 часа назад
❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JustineAlfled
@JustineAlfled 4 часа назад
Nolaa nakupenda
@SHADRACKWANDERA-s4n
@SHADRACKWANDERA-s4n 4 часа назад
Kumekuuchaaaa
@Magehemaj
@Magehemaj 4 часа назад
😊😊😊😊dada kuna kijana huku anataka kutoa posa vipi tuipokee😊😊😊😊
@JoyceNgende-ey4qs
@JoyceNgende-ey4qs 4 часа назад
jaman shey shey nakupenda dada ang
@JustineAlfled
@JustineAlfled 4 часа назад
Wakwanza leo jaman
@MuzzamilAli-zn9le
@MuzzamilAli-zn9le 4 часа назад
Sijachelewa wazeee like kwa plan b❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Mwanaisha-p2b
@Mwanaisha-p2b 3 часа назад
Sijachelewa sana kufika naomba like na wapenda sana kp na team yako kazi nzuri sana
@peterngila4221
@peterngila4221 4 часа назад
Here,, from Kenya,,, likes zikam,, nawapenda nyote
@GladysUchi
@GladysUchi 3 часа назад
Nmeipenda jinsi sheishei anavyocheza Karata zke upo vzr San more ❤️❤️❤️❤️to her
@mamaian-iv3zt
@mamaian-iv3zt 4 часа назад
Wanaopendezwa na kazi ya she she mikono juu na mmpe uwa yake🎉🎉🎉🎉
@SaumBakari-po7re
@SaumBakari-po7re 3 часа назад
🖐️✋✋
@Zubeda-zx7wt
@Zubeda-zx7wt 3 часа назад
Jamani mimi nimepitwa nipe ata 5 kutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Joelmwandete
@Joelmwandete 4 часа назад
Kwa mara nyingine teena joel kp wakwanz leo naomben maua yang
@evesilayo740
@evesilayo740 3 часа назад
Hongereni sana mnacheza muvi ya kutumia akili sana good
@StellaKahindi-m8b
@StellaKahindi-m8b 4 часа назад
Nimewahi leo kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi like zetu ❤❤❤
@wamowamo6897
@wamowamo6897 4 часа назад
Tupo site
@SHADRACKWANDERA-s4n
@SHADRACKWANDERA-s4n 4 часа назад
Gen Z.....unawatch PLAN B ya kp ukiwa Nairobi sehemu gani....?
@soniamagamu5107
@soniamagamu5107 4 часа назад
Tukosite mkuu
@RamaMwacharo-qn1og
@RamaMwacharo-qn1og 4 часа назад
Pia mmi keny
@user-zs9wt4xi2g
@user-zs9wt4xi2g 4 часа назад
❤❤❤
@NansiJuma
@NansiJuma 3 часа назад
Sheila Niko nawewe from Uganda my dear 💕❤️💖💕💕❤️💕❤️💕❤️💕❤️
@peterbahati
@peterbahati 4 часа назад
❤❤❤❤2pe rah
@MajimbiTz
@MajimbiTz 4 часа назад
WA MWISHO LEO EWE UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI ZAKO NA AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN 🙏🙏🙏🙏🙏
@NadzuaMrema
@NadzuaMrema 3 часа назад
Inshaallah ❤
@StellaKahindi-m8b
@StellaKahindi-m8b 3 часа назад
Amen 🙏🙏
@Zubeda-zx7wt
@Zubeda-zx7wt 3 часа назад
Amiiin
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 2 часа назад
Allahuma amiiiiiiiiin bora ww umeongea jambo la maana sana ila hao waomba like
@HusseinMussa-wx5gj
@HusseinMussa-wx5gj 4 часа назад
Me ndo wakwanza
@RamaMwacharo-qn1og
@RamaMwacharo-qn1og 4 часа назад
Napenda sana yani kila kitu ni plan b
@jumamwanza8909
@jumamwanza8909 4 часа назад
Leo ndimi wakwanza, nipewe likes zangu na pia mpitie kwangu❤❤
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 4 часа назад
Tujuane tunaomkubali Shey Shey like za kutosha
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 4 часа назад
Nimekuwa wa kwanza nifulaha kwangu like kwenu vipenzi vyangu
@JamsMushi
@JamsMushi 3 часа назад
kp nakukubali sana man
@jackynyaks
@jackynyaks 4 часа назад
Kazi nzuri ila mnajelewesha Jamani 🎉🎉🎉❤❤
@RoseSalvador-f6y
@RoseSalvador-f6y 4 часа назад
Kwa kweri wamezidi
@Mussa-j4i
@Mussa-j4i 4 часа назад
wakwanz jaman🎉🎉🎉 nipen maua yang
@NYANGULO-tv
@NYANGULO-tv 4 часа назад
Wakwanza jamani naombeni ata like❤5 ata nitashukuru tu
@YambaSaidiaboumarïam
@YambaSaidiaboumarïam 4 часа назад
Wakwanza leo kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩eloko yamakasi
@RachelGodson-d5o
@RachelGodson-d5o 4 часа назад
Na mim leo nmewah japo kdg mung awape ujuz zaid na zaid tuzid kuenjoy ❤❤❤
@jastnmeriki2313
@jastnmeriki2313 4 часа назад
wakwanza leo kui cheki
@NiyonzimaTantine
@NiyonzimaTantine 4 часа назад
Jamani nimewahi Léo 🎉🎉🎉wapi like zangu 🎉
@celinandyamkama1821
@celinandyamkama1821 3 часа назад
Ila shey shey we kiboko nakupenda buer
@SusanRioba-h7v
@SusanRioba-h7v 4 часа назад
Keep going👏👏👏👏👏👏
@christinembithi756
@christinembithi756 4 часа назад
Mimi wa kwanza huku Nani mwingine jamani kutoka kenya
@janemumbua4683
@janemumbua4683 4 часа назад
Kazi safi KP na zebuu and the all team 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@OmarChigamba-sx4yc
@OmarChigamba-sx4yc 47 минут назад
Mungu awabarik ambao wanangalia hii episode ya kp na zebu nakama unampenda sana kp like hapa
@RehemaMkwepu
@RehemaMkwepu 4 часа назад
Mnapenda cha kwanza😂😂😂😂haya wakatikati mie leteni like
@DeleliRobert
@DeleliRobert 4 часа назад
No 1
@Rehema-h4h
@Rehema-h4h 4 часа назад
Jmn leo 🎉🎉😂😂
@josephinejulius9599
@josephinejulius9599 4 часа назад
Jamani an Mimi leo nimewai naombeni like nawapenda
@TeddyDionizy
@TeddyDionizy 4 часа назад
Kazi nzuri saaan nawapenda bure vipenzi
@MillicentMoraashMongeri-s8p
@MillicentMoraashMongeri-s8p 3 часа назад
Nice one kp❤❤❤❤na Sheila good job
@SofiaKazungu
@SofiaKazungu 3 часа назад
Nice work much love from saudia Arabia really appreciate KP ❤❤🎉🎉🎉
@DiconsMgangasia
@DiconsMgangasia 4 часа назад
I from Kenya ,🎉🎉🎉 were are my likes❤❤❤❤.
@MayengDulu
@MayengDulu 4 часа назад
Hiinoma sana Sheila pabana itatufkisha bali sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@marymele9714
@marymele9714 4 часа назад
Xana tu
@LucasSilvestre-h5t
@LucasSilvestre-h5t 4 часа назад
Haa nimeipenda ayo ndo madude
@daxpcomandomz3450
@daxpcomandomz3450 4 часа назад
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿
@Mackimilly
@Mackimilly 4 часа назад
Ewaaah
@josephmwendwa4966
@josephmwendwa4966 4 часа назад
Kali Sana hii.....much love from 🇰🇪🇰🇪
@SHADRACKWANDERA-s4n
@SHADRACKWANDERA-s4n 4 часа назад
@@josephmwendwa4966 👍👍👍kenya the capital city of Africa 🤣🤣
@JacklineCassiane
@JacklineCassiane 4 часа назад
Wa 33 nipen like zangu❤
@FurahaWarda
@FurahaWarda 2 часа назад
Kazi nzur saana bro nakukubali wenye wanakubali dondosha makopakopa 🎉❤❤❤
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 часа назад
Shei shei mama,,,uko vizuri sanaaaaa,,,na wewe mzee likoma uroho umeshakuponza
@elvismohamed8971
@elvismohamed8971 3 часа назад
Nakukubali sana sheishei
@abigaelmutheu8772
@abigaelmutheu8772 4 часа назад
Wakwaza jameni nipewe like hata 5,,,,,,,kp nawatabua sana keep it up ❤
@AdrofinaSilwimba
@AdrofinaSilwimba 4 часа назад
Mmmh wadau mnakuwaga nao nn Maan co pouw❤
@drsniper1126
@drsniper1126 4 часа назад
Shey shey Ni Good Actress🎉🎉🎉
@AloyceLuchagula
@AloyceLuchagula 4 часа назад
Kisai kichwa kimewaka Moto🔥🔥🔥
@OfficialEmmy-b8r
@OfficialEmmy-b8r 4 часа назад
Mnachelewesha sana bhana
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin 3 часа назад
Shey shey ❤❤🎉🎉big up sana ❤❤🎉🎉
@elishamartine6744
@elishamartine6744 4 часа назад
Wa kwanza jamani nipeni like zangu
@ZaidiaKhassim-x4x
@ZaidiaKhassim-x4x 4 часа назад
Nakubali San team Kwa kutuongezea dakika ila Nam nimewahi
@justinzongwejzl7654
@justinzongwejzl7654 4 часа назад
Naombeni like please 🎉 depuis DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi
@StanleykingetuSankale
@StanleykingetuSankale 4 часа назад
Hello,, nimetoka Kenya, kp na zebuu tunawafuatilia kwa mpigo moja kwa moja hadi tamati,, mnatubamba tena zaidi,, call me stanley
@Phoebenafula
@Phoebenafula 3 часа назад
Kazi safi shei shei🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sussyshikube-lh9gz
@sussyshikube-lh9gz 4 часа назад
Shei shei i like u more unanipeanga bidii ya kufatilia kila hatua zenu😘😘😘😘
@neemadickson9526
@neemadickson9526 2 часа назад
Kuombaomba like mfyuuuu badala msapoti komwe lenu kama kitungu swaumuuu😅😅 comment yangu isiguswee🤷‍♀️
@Ramamgaugau
@Ramamgaugau 4 часа назад
mi wakwanza naomba lek zangu kutoka kondoa
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 4 часа назад
Nahc mm wa kwnz
@AvodMagembe
@AvodMagembe 4 часа назад
Kp na team yako mnanifurahisha hamcherewesh kaz❤
@RoseSalvador-f6y
@RoseSalvador-f6y 4 часа назад
So kwer wanacherewesha
@AvodMagembe
@AvodMagembe 4 часа назад
Lakin syo sana​@@RoseSalvador-f6y
@AishaJafari-sh4pe
@AishaJafari-sh4pe 4 часа назад
Nice job team yangu pendwaaaaa❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-zc2mk2zi4i
@user-zc2mk2zi4i 4 часа назад
Wakwanz mim
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 3 часа назад
Ila kisai ni mnafiki sana duh 😢safi sana shey shey kazi nzuri unajua na unajua tena hongera kwa kp zebuu na Nora bila kumsahau Mzee likoma ❤❤na hakika kisai hatofanikiwa na mpango wake
@Beibshinninglight
@Beibshinninglight 2 часа назад
Ombi langu pia asifanikiwe na zebuu ajue ukweli 😢😢
@vallesndayishimiye2396
@vallesndayishimiye2396 4 часа назад
Piga like hapa warundi ❤❤❤ around the world 🌎🌍🌍 together 💕💕🇧🇮🇹🇿🇧🇮
@Sinhobill
@Sinhobill 3 часа назад
Sheyshey unyamamwingisana umeuwasana dada❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤
@ChristinemoraahLasty-lx7lr
@ChristinemoraahLasty-lx7lr 4 часа назад
Hongera sana shey shey ❤❤ nakupenda sana my bebygal 😢😢 good work done 😮😮 congratulations 👏🎉
@arikibok4735
@arikibok4735 Час назад
Courage ❤❤❤❤❤Nawapenda san 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@مرحبا-ن8ز
@مرحبا-ن8ز 4 часа назад
Shey Shey we n mwanamke jasiri kwa kwel🎉🎉🎉
@OscarBoniphace-s5q
@OscarBoniphace-s5q 2 часа назад
Da!kweli hii ni plan b yan hii move inachezwa kiufundi sana hongereni sana wote ila naomben mzee wa mama muuza asife kp fanya mchakato umwahishe hospitali 🎉🎉🎉🎉
@VioVisha
@VioVisha 4 часа назад
Uwaga bad . right on time❤
@HalimaMwalimu-me2uk
@HalimaMwalimu-me2uk 4 часа назад
hongereni kwa kazi nzuri
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 часа назад
Maskn Amungu Zebuu unamuua mtu bla kosa daaaah ama kwl hasira hasara
@HappyPastor-y7e
@HappyPastor-y7e 4 часа назад
Jamani na mimi. Leo nimekuwa wakwanza naombeni lek 100 tu
@NadzuaMrema
@NadzuaMrema 3 часа назад
My favourite ❤ actor sheyshey nakupenda snaaa mama Allah akujalie kwa kipaji chako inshaallah ❤
@hassantupa
@hassantupa 3 часа назад
Daah! Hili li, movie litamu hili duuh!?! Hongereni Sana aisee ila kazeni kamba ivyo,ivyo jamani hii movie ni nzuri na imechangamka Sanaa!😂😂
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh 4 часа назад
Duuuuuuuh kp unajuaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ wanaomkubaliii kp gongaa vituuuu hapaa❤❤❤❤
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express Час назад
Hii tamthilia sio levo za Tanzania kabisa 🔥 Hii ni Holly + Bolly wood 🔥🔥🔥🔥❤
@DoriceSephania-jh6lc
@DoriceSephania-jh6lc 3 часа назад
Watu mko fasta😂😂😂 shey shey 🔥🥰🥰🥰
@vlollybwoy973
@vlollybwoy973 4 часа назад
nyinyi wakali bana but next year I can need to do something with you people, koppa V from kenya 🎉🎉🎉🎉
@AnneNiyonyishu-cq8nm
@AnneNiyonyishu-cq8nm 3 часа назад
Kumbe na kirundi chetu mnajua daaah eti huko ahera 😂😂 waliosikia Like hapa😢
@TheresiaTitus-m1l
@TheresiaTitus-m1l 4 часа назад
Wa kwanza leo from moro
@SofiyaNasri
@SofiyaNasri 4 часа назад
Sijapenda mzee likoma kufa nampenda
Далее
How to Install and Use an Adjustable TV Arm
00:18
Просмотров 821 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [41]
28:48
Просмотров 91 тыс.
THE GAME (11) #kakoso
22:50
Просмотров 13 тыс.
Huba leo Ijumaa Full HD video
17:03
Просмотров 14 тыс.
PLAN B _ Episode 16
44:09
Просмотров 174 тыс.
PLAN B _ Episode 13
31:28
Просмотров 181 тыс.
BARAKA ZA MAMA EP 29
23:47
Просмотров 26 тыс.
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 28)
19:46
Просмотров 26 тыс.