Тёмный

PLAN B _ Episode 19 

kp wa Aquino
Подписаться 232 тыс.
Просмотров 112 тыс.
50% 1

#kp #kpnazebuu #zebuu

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,1 тыс.   
@victoriangasa
@victoriangasa День назад
Waooooh hatimaye suraji kalejea walio furahi kumwona like hap ❤❤🎉🎉nawapenda wanafamilia
@collinsgwehona223
@collinsgwehona223 День назад
Waliobarikiwa na mungu hadi tumefika apa tulipo wapi like zenyuuuuuuuuu 😅😅😅😅
@LovesweetThuva-qj4tb
@LovesweetThuva-qj4tb День назад
Kisai jamani😂umechaganyikiwa bado useme ujiuuwe mwenyewe
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 День назад
@@LovesweetThuva-qj4tb 😂😂😂😂 kitamramba polepole
@MuzdarfatPius-cs2ut
@MuzdarfatPius-cs2ut 5 часов назад
walio balikiwa na mngu wapo 162 tuh jmn😂
@MwanakomboAliKhamis
@MwanakomboAliKhamis День назад
Shey shey uko vizuri sifa yako upewe hongera sana
@AmoohJR
@AmoohJR День назад
Anaemwamini mungu na anaeamini kuwa hiki kipaji Cha kp na zebuu wamepewa na mungu like hapa❤❤
@IreneKongani-v5p
@IreneKongani-v5p День назад
❤❤❤❤
@JescaFelix-e4x
@JescaFelix-e4x День назад
Tem zb ila suraji karejea wote tem suraji gonga like hapa❤❤
@salimusaid304
@salimusaid304 День назад
TEAM SHEI SHEI NA KP LIKE HAPA MAPEMA FROM KIGOMA 🇹🇿🇹🇿
@Swaibahubibu
@Swaibahubibu День назад
@@salimusaid304 chukua bira uchoyo 😃
@RosalineWakina
@RosalineWakina День назад
Wa 38 bado niko vizuri,,like za suraj kipenzi ❤❤❤
@mkacibeiib7278
@mkacibeiib7278 День назад
wangpi wanakubali kp wa Aquino kama unamkubali gonga like na tim yake mzima like🎉🎉🎉🎉
@Magori_jh
@Magori_jh День назад
Nisha wasili jaman Kp naomba like ata Moja brother kazi una fanya nzuri Sana na mm ni mmoja Kati ya watu wanao kufatilia
@Swaibahubibu
@Swaibahubibu День назад
Kweki kazi nzi
@Magori_jh
@Magori_jh День назад
​@@Swaibahubibu Ewaaa pamoja familia una nipata ukiwa wap mkuu
@alimasiallyalimasially5202
@alimasiallyalimasially5202 День назад
Kisai mpaka useme nabado
@Magori_jh
@Magori_jh День назад
@@alimasiallyalimasially5202 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila Shey Shey Leo katupiga kwel kal kamanda ka kwenye sim tena Tecno kame record video daaa ila Shey Shey weni Atari una faa uende India
@Swaibahubibu
@Swaibahubibu День назад
@@Magori_jh kazi kazi nkiwa kenya mjomba 😺😺😺
@joshuaezekiel5268
@joshuaezekiel5268 День назад
hamjawahi kufeli memtisha sana good history KP na ZEBUU na DIBOSS yuko huku SEGESE na vijana wa huku
@RemtahNanzala-k3k
@RemtahNanzala-k3k День назад
Wow shey shey amecheza kama yy,tumupe like zake ❤❤❤❤
@SarahWanyonyi-nu5zc
@SarahWanyonyi-nu5zc 22 часа назад
Napenda saana huo wimbo walai❤❤❤❤❤
@timothykiverenge5874
@timothykiverenge5874 День назад
Nani kama shey shey kiboko ya kisai nipe ata like ya shey shey pls😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 День назад
anamuweza sanaaa tu
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 19 часов назад
Shey shey ❤❤❤❤❤ Hadi naumwa mie nvokupenda wish one day nikuone
@Mohd00158
@Mohd00158 День назад
Wa kwanz Leo 😂😂😂😂nipeni like zang😂😂😂😂😂😂😂
@OmarChigamba-sx4yc
@OmarChigamba-sx4yc День назад
Kp na zebu wanajua kuact movie nzuri sana bila kumsahau sheyshey naomba like Kwa kufatilia ❤
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 День назад
Shey shey nakukubali sana sweetheart 😂😂😂unawezana na kisai acha mpuuzi azalilike inaitajika ivo 😂😂😂😂❤❤❤❤❤ tiem shey shey pitieni apa tujuana please
@Beibshinninglight
@Beibshinninglight День назад
😂😂😂😂Umeonaeee shei shei namkubali sana
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 День назад
@@Beibshinninglight namkubali sana unyu mdada alafu tunafanana nikama babaangu alifanya ile kitu 😁😁😁😁😁😁😁
@AshaHussein-q8n
@AshaHussein-q8n День назад
Tupo sanaaa tuuu❤❤❤❤❤
@winnymbula
@winnymbula День назад
Tupo hapa
@Beibshinninglight
@Beibshinninglight День назад
@@finegatwiri2597 😂😂😂basi ni dadaako, nampenda sana shei shei na Kp, zebuu anataka kumuuwa Bwanake sijapenda😔
@ringstone5388
@ringstone5388 День назад
Mwamba Kp nakukubali ukitucheleweshea kishusha mzigo unakuja ukiwa umeongeza dakika ww top salute
@Pauline-254
@Pauline-254 День назад
Wa kwanza leo naomba likes na munipitie tugrow pamoja❤❤❤
@TumuSalim-vm4lp
@TumuSalim-vm4lp 19 часов назад
aliye furah uncle suraji kurudi gonga like
@charitycharo1264
@charitycharo1264 День назад
Leo wa kwnz from Kenya naombenii likes ata mm
@Swaibahubibu
@Swaibahubibu День назад
Anasoma comento hii hiimwenyez mungu ampe hitaji la moyo wake amina❤❤🙏🙏🙏
@Swaibahubibu
@Swaibahubibu День назад
Tuseme amin🙏🙏
@shaniabdallah9993
@shaniabdallah9993 День назад
Amiina yaarablghalamiina
@Swaibahubibu
@Swaibahubibu День назад
@@shaniabdallah9993 🙏🙏🙏
@SofiyaNasri
@SofiyaNasri День назад
Amina ❤
@SeifShella
@SeifShella День назад
Ameen
@Amena-z5r
@Amena-z5r День назад
Wow sijachelewa sana kp nipe like hata 5 tu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Philipoguta
@Philipoguta День назад
Napenda munavyo act movie zenu
@Philipoguta
@Philipoguta День назад
Nikija Tanzania nitawaulizia muko upande Gani kwa sababu naja uko jumapili kutoka mombasa
@Philipoguta
@Philipoguta День назад
Napenda sheshe anavyo cheza hiyo game amecheza kama yeye kwa kipindi cha plan b
@EmanuelRaul-v4f
@EmanuelRaul-v4f День назад
Kusema kweli hii kitu bila Sheila ahihendi kbs mahuwa Yako sheishei 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@sadcome3213mapenzi
@sadcome3213mapenzi День назад
Wakwanza mm nawaomba like hata tano kama una kubali kazi ya kp❤❤
@gracechavaliginu7563
@gracechavaliginu7563 День назад
Sheila kwa plan upo vizur
@SamanthaMugisha-n9x
@SamanthaMugisha-n9x День назад
Dk y4 nimefik acha nichukue kit nikae Nitazame Plan B shabik wa Suraj Liké pls😊
@hodamzungu4107
@hodamzungu4107 День назад
nimewahi naomba like zangu😢😢😢
@nicaisenduwimana4253
@nicaisenduwimana4253 День назад
Hamami tm kp naombeni like hata moja kwa kazi nzuri ❤️❤️❤️sana
@DominguezdaFátimaNacir
@DominguezdaFátimaNacir День назад
Naisubiri EP 20 plan B Ila shey shey ni noma sana,kacheza kama Ronaldo au Pelé Naangalia kutoka msumbiji 🇲🇿
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 День назад
Asalamu walekum bwana yesu asifiwe utakayesoma hii coment uwe na siku njema 🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤝🤝🙏🙏🤲🤝🙏
@SarahWanyonyi-nu5zc
@SarahWanyonyi-nu5zc 22 часа назад
Amen Amen 🙏🙏😘😘
@Mummywamulumewe
@Mummywamulumewe День назад
Jmni nimewahi na mm Leo 🎉🎉🎉 like from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦❤❤❤❤❤❤
@OmarNzohabonayo
@OmarNzohabonayo День назад
Leo jamani waiguru wamenishika nimecerewa team strong nipeni kidogo ntashukuru🇲🇬🇲🇬🇧🇮🙏
@zainzain1163
@zainzain1163 День назад
Waooo sheishei i salute you my dear kp ❤️ ♥️ 💖 💙 💕
@AminaKhalfani-ib7sh
@AminaKhalfani-ib7sh День назад
Asante mungu amjaliye afya njema anaesoma koment hiii asant sana kp na zebuuu kwa kumrudisha kipenz chetu sulaj tulimmc sana
@cartoonpati2914
@cartoonpati2914 День назад
Amen
@FaudhiaMbaraka
@FaudhiaMbaraka День назад
Like 50 kwa kp na norah kama unampenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@LetitiazilfaNtacobanziza
@LetitiazilfaNtacobanziza День назад
Yani sheyshey Acha tu tumuite Dada jambazi mana utasema muhuni Kweli nakukubali kabisa Yani nyiote timu keep Na wapenda❤❤❤🎉
@AgnessLeonard-j6y
@AgnessLeonard-j6y День назад
Aya naombeni like na mm nimefatilia plan B❤😂😂😂
@hadijasameer
@hadijasameer 13 часов назад
Hahahahah yamekua hayo tena
@JoshuaMbebamaono
@JoshuaMbebamaono День назад
Namkubar sheyshey kwenye mipango👍
@elishaochami
@elishaochami День назад
Siku hizi mnachelewesha KAZI sana
@Naeema-d9s
@Naeema-d9s День назад
Woow nipo kwenye top ya kuwah na mi cjacjerew sana full bur bur
@Naeema-d9s
@Naeema-d9s День назад
Wa 207 so mbaya nimewah
@KorethaWillson
@KorethaWillson День назад
Leo wa kwanza naombeni like japo 5 tu
@YusraMshomary
@YusraMshomary День назад
@@KorethaWillson 🤣🤣🤣 usipende kuomba like sana sy nzuri Kwa afya yako 🤣🤣
@hodamzungu4107
@hodamzungu4107 День назад
kp leo kidogo umetufurahisha dakika 53 ila tunakuomba fanya zitimie 60 ili utukomowe vizurii😅😅😅
@RachelNgalya
@RachelNgalya День назад
Umeona eeeh 😂🙌🤗🙌😂
@SinganoRichard
@SinganoRichard День назад
😂😂😂
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 День назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂una damu ya kikenya wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 19 часов назад
Haaah haaaah atukomoe tenah
@ShalletHalima
@ShalletHalima День назад
Sheyshey napenda sana kazi yako acha ntakutumia soda yako mama y Christmas sawa mpenzi
@aminambwaga5417
@aminambwaga5417 День назад
Shei umenifrahisha sana uko vizuri
@Vanessa-xr4qn
@Vanessa-xr4qn День назад
Sheishei nakukubari kinoma yani hii plan B umeua sana
@MiriamOmaiko
@MiriamOmaiko День назад
Enyewe sheishei ako na akili hongera
@jazminewatanzi1854
@jazminewatanzi1854 День назад
The way I enjoy Suraji acting😂😂😂😂
@odethierpaschal
@odethierpaschal День назад
Piga kelele kwa sheishei ❤❤❤😂😂 wapi kisai😂😂😂
@GermainNyakarhanazi
@GermainNyakarhanazi День назад
Vraiment Zuri saaaaa❤❤❤❤❤
@JemukuNaktare
@JemukuNaktare День назад
Nipo nanyi japa kazi twende
@RehemaNyule-gr6dr
@RehemaNyule-gr6dr 11 часов назад
Shei nakubali kwa kazi yako safi mwenye anakubali kazi safi ya shei shei agonge like
@LevyMugala
@LevyMugala День назад
Watching from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 kaz nzur hongera sana team kp👏 naomba ata like zako kp 🙏
@LinusMsimbano-uq1kg
@LinusMsimbano-uq1kg День назад
Leo umenifuraisha kp kwakuweka dakika nyingi mwenyezi mungu akubaliki sana na ufike mbali kabisa kisanaa nakupenda sana kp na zebuu❤❤❤❤
@AgostinhocosmeNambanga
@AgostinhocosmeNambanga День назад
Sijawahi sana na ata sijachelewa sana please naomba like zangu from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@rufinalucas-bv9ct
@rufinalucas-bv9ct День назад
Mozambique que Distrito eu também estou Mozambique
@AgostinhocosmeNambanga
@AgostinhocosmeNambanga День назад
Estou em mueda​@@rufinalucas-bv9ct
@tabithabeatrice5788
@tabithabeatrice5788 День назад
Kazi nzuri sana qwa sheyshey
@linetanyango8147
@linetanyango8147 День назад
Sheila is the best😍😍😘😘
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 День назад
Yan shey shey anakaz jmn 😂😂😂😂muda wote kichwa iko moto 😂😂😂😂mambo ni mengi kchwan
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 День назад
yeah mambo mengi mda ni mchache
@OmanMuscut-ju3xp
@OmanMuscut-ju3xp День назад
Sanaaa😅😅😅ila namkubali kinyama nyama
@FloraDeusdedith
@FloraDeusdedith День назад
Mama wa plan
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express День назад
Lakini Shey Shey ndiye anampambania sana KP, Kp unaonaje ukamchukua Shey Shey mwenyewe 😂😂😂
@Mary-q5d5c
@Mary-q5d5c День назад
Marshallah kisai si unaendelea kunona ❤❤❤wow
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 День назад
Shey shey nakupenda Sana kuliko darkid anavyokupenda
@sipiliankwamboka5193
@sipiliankwamboka5193 15 часов назад
😂😂si umejua kunichekesha
@GianMwangomale
@GianMwangomale День назад
😂😂😂😂😂shey shey unajuaa kumuwezaa kisaiii unanipajee mm Raha jamn 😂
@NehemiahBoniphace-s4x
@NehemiahBoniphace-s4x День назад
Big up San team kp nawakubal kazi zenu zinatufikia Na zipo makin Na zinatufanya tufeel fit san
@DansonMwayele
@DansonMwayele День назад
Imefika patamu sana nakupenda sana sheyshey.
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 День назад
Shei Shei wewe ni master plan 👍👍👍
@MelinaMerlins
@MelinaMerlins День назад
Leo nimefurai kumuona cheusi Mangala akiwa kwa hii movie wangapi mume furai kumuona Suraj like kwake.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 День назад
Nakaanza kunenepa km kisai nasura yake yakitoto😂😂😂.akicheka ndokabisaaa
@FatmaMusaifa
@FatmaMusaifa День назад
Sheishei nakupenda sana unavyokua makini nakazi yako jamani huwa unajua kumchezesha kisai
@NdikumaaAisha
@NdikumaaAisha День назад
Kaz nzuri sana
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin
Shey shey 🎉🎉🎉uko vzr
@RosemaryWilbard
@RosemaryWilbard День назад
Leo shey shey kacheza aswaaah 😊😊❤
@Steven-v9g
@Steven-v9g День назад
Good broo nimewah Leo
@richardcandidus186
@richardcandidus186 День назад
Daah mwanangu Sheishei wewe salute kubwa hujawahi kukosea unafunika mbayaaa
@GraceKwayu-yo4zf
@GraceKwayu-yo4zf День назад
Sheyshey big up sana.. Kisai uko chini ya ulinzi. Km una plan B chomoka hapo tukuone .🎉🎉🎉🎉🎉
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g День назад
Sheyshey kamuweza kisai kabisa ''kama unayo plan b chomoka hapo👍💪💪 kapanga mpango wake vizuri sana❤💝
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri День назад
Pigapu Sana Shey Shey Umepanga Mipango Yako Vizuli Umenifurahisha Sana Tena San Kbx 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@SalomeMwadongo
@SalomeMwadongo День назад
Napenda Kazi yenu sana Cheichei❤❤❤❤
@BaxterJere-d4u
@BaxterJere-d4u 18 часов назад
dada shey shey Kazi nzuri Sana we dada Noma hoñgwra kwakweri🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 День назад
Shey shey ni noma kwa plan B ❤❤❤❤❤❤❤
@Agnes-q6b
@Agnes-q6b День назад
Cheichei ningekuwa na jinsi ya kutuma sauti ningekupigia vigeregere,,,ila pokea mauwa yako mengii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d День назад
Kisai pole,,, kubali kushindwa😅😅😅Sheyshey good work,, Nakupenda bure❤
@JeanJustin-u2k
@JeanJustin-u2k 23 часа назад
Kanzi nzuri sana kp na shey shey nawakubali sana
@ALINENdizihirwe
@ALINENdizihirwe День назад
Wakwanza in USA 🇺🇸
@YosiaSharo
@YosiaSharo День назад
Shey shey nakukubalii sanaaa
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq День назад
Hili kp nalo zembee anashindwa n shei shei ovyo kabisa
@SafiaHamadi-vi4xv
@SafiaHamadi-vi4xv День назад
Bn ni movie wameamua iwe iv
@LucyElias-zf3tl
@LucyElias-zf3tl День назад
Kumbuka kp ni mgonjwa amechomwa sindano ya kuongeza nguvu ili kumsaidia shey shey baadhi ya majukumu anajitahid tu hongera zake pia
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe День назад
Suraji ameonekana Tena machallah nakupenda sana Suraji❤🇸🇦🇧🇮❤🥰👌👌
@aminamohammdl-so7cx
@aminamohammdl-so7cx День назад
❤in Saudi Arabia
@JaguarEscobar
@JaguarEscobar 15 часов назад
Shey shey wororoyeeeeeeee kidogo iv shey shey ni manzi ya atariiii shanaa❤❤❤❤
@UmmyKadzo
@UmmyKadzo День назад
Ila hawa chawa wa Kisai wanapata shida sana😂😂
@mkasihamad7225
@mkasihamad7225 День назад
😂😂😂😂😂😂😂
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 День назад
sanaaaaaa ela yao ngumu
@UmmyKadzo
@UmmyKadzo 14 часов назад
@@nyamiziramadhani4232 😅😅🤣🤣🤣🤣
@MillicentMoraashMongeri-s8p
@MillicentMoraashMongeri-s8p День назад
Wow sijachelewa sana kp naomba like zangu jameni ata kumi plz🙏🙏🙏🙏
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 День назад
Kina opichi na joka 😂😂😂😂wao kilasku kumdisappoint boss wao 😂😂😂😂😂nmechekaaaaaaaaaaa
@Doreen254-up1mp
@Doreen254-up1mp День назад
Kwa kweli hii ya mwishoni nimecheka sana 😂😂😂 Miss Shey Shey yafaa upewa zaidi 😍😂😂
@BensonWafula-x1m
@BensonWafula-x1m День назад
Sheyshey nakukubali
@QualityHaroub-tf2ns
@QualityHaroub-tf2ns День назад
Make kwanza nicheke 😂😂😂😂 kisai amenichekesha, af sheshey plan zako zakinyamwezi sana 👌👌
@INNOSENSIALIWEWA
@INNOSENSIALIWEWA День назад
Ila Norah nampenda sana mdogo wangu
@AgnettaJob
@AgnettaJob 6 часов назад
Suraji ulikuwa wapi tumekumc nawapenda sana team kp kazi nzuri kutoka saudia wapi my likes
@RizikiZiki
@RizikiZiki День назад
😂😂😂😂 yani sheishei nimekupenda bure yani umenifuraisha bala ❤❤❤sasa Nora munataka kumuuwiya nini mucanaganyikiwa nini Kisai mipango yako yote imefeli😂😂😂
@JaneAnyona-bu3rj
@JaneAnyona-bu3rj День назад
Kp umetuletea kiboko kweli ady nmekubali ...kp kipenzi changu nakupenda sna kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪
@MartheHelena
@MartheHelena День назад
Sheila leo kbs umemshika kisai😂 Kwakweli umenifurahisha sana duuh kuhii plani b kisai namchukia sana tena sana anarohombaya kuhii plan b
@Ammy-bint-sway
@Ammy-bint-sway День назад
Sasa mm kisai amenifanya namchukia Kwa Kila movie anayocheza kisai ananikera sana aseee yaan simpendi hatr
@rizikisam6481
@rizikisam6481 17 часов назад
​@@Ammy-bint-swaysasa kwanini amumpendi wakati wanachagua mtu mwenye anaweza hicho kipande na anaigizaga vizuri sana kwenye hii nafasi
@Ammy-bint-sway
@Ammy-bint-sway 10 часов назад
@@rizikisam6481 🤣😂🤣😂🤣 character anayocheza najikuta kumchukia but nakumbuk kwamb iyo ni kazi sio MAISHA halisi anayoishi😂🤣😂🤣
@SibijaliLim
@SibijaliLim День назад
Kisayi we huwezi kumuweza komando kipenzi kamwe 😂😂 mbona unakuwa chizi sasa plan b ♥️ ❤️ 👌 ✨️ 💖 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abegamez
@abegamez 14 часов назад
Mm sio nabii wala sio mchawi ila episode ya 20 ndo fainal kama unaamini episode ya 20 ndo fainal gonga like
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 15 часов назад
Plan b hongereni sana shey nakukubali sanaaaa nikupe mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 День назад
Shei shei,,,,nakupenda maama wewe ni Mr plan
@Thedy-tp5ei
@Thedy-tp5ei День назад
🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️uwiiiih nilisubili kwa hamu sana
@purity134
@purity134 День назад
Shei Shei mama you nailed it
@KatavalyKambale
@KatavalyKambale Час назад
Kp, umela... Yonde omerité. Una faa sana mutu wangu. From Congo 🇨🇩 ❤❤🎉🎉🎉❤🎉🎉
Далее
NEW 2024 ERI SITCOM [MEWEALTI] PART 28 ( BY BRUNO )
41:37
HOUSE GIRL EP 19 | S3 | Love Story 💕💞
24:17
Просмотров 2,3 тыс.
这位大哥以后恐怕都不敢再插队了吧…
00:16
ОВР Шоу:  Семейные понты  @ovrshow_tnt
07:21
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
Просмотров 85 тыс.
wiz baba wiz dandy FF Danger boy chaleur ya likaya
4:47
PLAN B _ Episode 18
40:31
Просмотров 185 тыс.
Jua Kali Leo Ijumaa Usiku 04-10-2027
19:02
Просмотров 33 тыс.
DUNIA (Ep 04)
20:26
Просмотров 48 тыс.
Kwani alifikiria nini? #kpnazebuu #kp
1:01
Просмотров 93 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
Просмотров 190 тыс.