Nchama the best next mkali wa freestyle Tz country boy nae yupo vzr pia wengne wanarudia nyimbo zao tu stamina hawez freestyle in zero labda achane song zilizopita
Mleteni mwenye nundu lamistari, huwezi kujiita mjanja bila stamina. Tumechoka kuomba kilasiku, wengine wanafkiria mistari konye freestyle. Weka stamina mwenye pafu lambwa. Fid Q Killer Selementary 1incredible C boy Wengine kelele tu. Dulla leta STAMINA tumechokaaaaa
Sio lazima uende "off the top"....hata wahuni wote unaoskia wanaenda off the top sio kwamba wanarap hvyo muda wote.....huwa wanaingiza mistari walioandika......af wanamix na off the top.......ukisema wachane vitu vinatoka apoapo.......watakua wanastuck mara kwa mara,kufikiria rhymes......itakua mbaya. Cha msingi tuone ujuzi na ufundi wako wa mashairi na delivery...na pia usiimbe mistari ya nyimbo ambazo ushaandika,inakushushia point.......leta tu new dope intelligent rhymes.....
Donald Tarimo apo kwa vichwa ujatenda haki namba 1 na 2 nikama walikuwa wanarudia nyimbo zao ila 1 ni king Zilla mbili ndiy Countr na 3 mpe chemicala na selemntry wanafungana
nyinyi mnashindwa kuelewa so watu wote wanaweza ku frestyle ata kwenye mpira kuna watu hawachezi mpira ila kwa frestyle messi n ronaldo hawaoni ndani kwaii apo uwezo wako tu mwenye ku frestyle anfanya ile usimzalimishi fid q nayy frestyls so kweli muwe munaelewa