Wakali wa freestyle bongo ni godzila, selementary, billnass, niki mbish, nchama the best. Wengine wote mabwege tu si young killer au daresalaam, stamina huwa wanachana walivyovitunga. Huwa napenda kusikia freestyle ya papo hapo ndo najisikiaga raha yan vitu kutoka kichwan.
1_Godzilla, 2_Selementary, 3_Niki mbish 4_Labda mm, Waliobakia wote ni maboya, sababu hawapigagi freestyle bali ni utumbo wao waliouandika ili waonekane wanajua sana
Dullah mnazingua kabisaaa yan katika hii segment mtu ambaye naweza kumrudia kumuangalia ni UNO na Godzilla hawa wengine vimeo tuleteeni dada mmoja anaitwa Stosh aseee