Тёмный

PLANETBONGO-P FUNK AMDISS DOGO JANJA KUHUSU UVAAJI.GHARAMA ZA MAVAZI YAKE NI HIZI 

WAZO TV
Подписаться 145 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

BAADA YA DOGO JANJA KUJISIFIA ANAJUA KUVAA KULIKO WASANII WETO BONGO.P FUNK KAMJIBU HAYA.
SIKILIZA PLANETBONGO EAST AFRICA RADIO KILA JUMATATU HADI IJUMAA SAA7MCHANA HADI 10JIONI

Развлечения

Опубликовано:

 

19 май 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@promramson80
@promramson80 7 лет назад
jombaaaa anaongea kikubwa kwelii ..matured sana
@emmanuelkoya8109
@emmanuelkoya8109 6 лет назад
nshukuru kama umelijua ilo askaliii wanguu.. nilianza kumtambua nakumkubali tangu nikiwa chalii.. mchizi yuko vizuriii na anajua anakifanya....
@bugesikorokocho1369
@bugesikorokocho1369 6 лет назад
Hio beat ni ya #LwpMajitu pfunk hongera kwa kugongesha beat nzito km hiyo hio beat ya moto sana pfunk
@mospeciol
@mospeciol 5 лет назад
💪💪💪
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 7 лет назад
always big up to you majani ur very straight brother
@saidrajabu9589
@saidrajabu9589 4 года назад
Planet bingo huyo sio level yenu maswali yenu bado kabisa hajajipanga yenu level harmorapa tu p funk kitu ingine
@prosperndelwa4560
@prosperndelwa4560 7 лет назад
gud point p funk saluteee
@mospeciol
@mospeciol 7 лет назад
beat ya kwanza imenifanya nisisikie kilichoongelewa.hehehe...nice beat.
@korokochobugesi7529
@korokochobugesi7529 6 лет назад
Mohamed Salim hii beat ya mwanzo ni ya kinyama sana
@shadasales9598
@shadasales9598 7 лет назад
u the best broo
@athumanchato3217
@athumanchato3217 7 лет назад
upo juu
@stevenkundy9091
@stevenkundy9091 6 лет назад
nakukubali legendary kaka mkubwa P
@korokochobugesi7529
@korokochobugesi7529 6 лет назад
Hii beat ni Kali sana
@richardbarnaba3976
@richardbarnaba3976 7 лет назад
Respect kwake P.... But mjukuu kumi za maangamizi Next week usituangushe Sikiliza kilio chetu mzee stamina. Songa. Stereo
@promramson80
@promramson80 7 лет назад
RICHARD ROBERT songa tayar man
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 7 лет назад
Legend
@kingsoboropayani5127
@kingsoboropayani5127 5 лет назад
Mh majani ni producer hatari sana ndani ya bongoland... so mimi namuheshimu sana
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 7 лет назад
Baba yao hamna kama wewe africa # p funk
@eddydben
@eddydben 6 лет назад
Duh utamkibizaje Dre kwa kugonga beat?
@richmontanna7934
@richmontanna7934 7 лет назад
legend
@juniorkapayer2395
@juniorkapayer2395 5 лет назад
100%
@naikenivoxmboya8970
@naikenivoxmboya8970 7 лет назад
umeumiza kk mkubwa
@mjombamushi5155
@mjombamushi5155 6 лет назад
Wana elewa kuwa wew ndo mkubwa wawo wakazi
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 6 лет назад
Mkufu $20000 acha kutuzingua ww
@johnnymakalah7212
@johnnymakalah7212 4 года назад
Mbona kidogo hiyo Kuna watu wana mikufu mpaka $200000
Далее
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 491 тыс.
DAY BREAK | The cabinet dilemma ( Part 2 )
53:01
Просмотров 26 тыс.
BREEDER LW - THE MUSIC BUSINESS, BEEF & FAMILY
2:43:08
Просмотров 4,6 тыс.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
0:27
Просмотров 6 млн
Каха бизнес-класс
0:48
Просмотров 1,7 млн
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38