Тёмный

Polepole: Msingi wa Mageuzi ya Chama - Kujitenga na Wahuni 

Amb. Humphrey H. Polepole
Подписаться 24 тыс.
Просмотров 2,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@onesmojeremia9713
@onesmojeremia9713 3 года назад
Mwanafunzi mazuri WA Mwalimu Nyerere, hongera Sana, Ila kunakautaratibu ambako sikaelewi hivi, Watendaji wachama naserikali kufanya kazi kutengemea kiongozi mkuu aliyepo Kwa wakati huo kidogo kanaleta ukakasi akisema twende hivi sawa kisema tusiende sawa, hapo napata taabu sana
@granate3375
@granate3375 3 года назад
Kweli unachokisema ni kweli kabisa yaan like watu wanaenda na upepo...hata mm ili swala linanitatiza
@dyangwe
@dyangwe 3 года назад
Asante.
@brightonize321
@brightonize321 3 года назад
Ukweli Mkuu
@juliusshonza2874
@juliusshonza2874 3 года назад
Unachoongea nikweli aisee only fact ## nakukubali sanaa
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 года назад
Pamoja kiongozi imara
@granate3375
@granate3375 3 года назад
Komredi tuko pamoja
@anamsaid8610
@anamsaid8610 3 года назад
Tuko pamoja kamaradi
@abelelisha9523
@abelelisha9523 3 года назад
Najifunza kupitiaa wwe
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 3 года назад
Wahuni ni hatari kwa mustakabali wa nchi na chama,wengi mno tufanyeje kuwatuliza?
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 года назад
Kiongozi vipi hivi wanavyofanyiwa machinga je ni sahihi na kama si sahihi mtakuja na majibu gani hapo baadae hao si walipa kodi wenyewe
@abuusuleym7298
@abuusuleym7298 3 года назад
Binafsi sidhani kama unaeleweka kwa kiwango unacho dhani kwa sababu umekuwa ukibadilika badilika kwa maslahi yako binafsi kwa jina la uzalendo. Polepole wa kabla ya Magufuli na Polepole wa kipindi cha Magufili ni tofauti sana picha unayo ileta hivi sasa ni Polepole yule wa kabla ya Magufuli maana inayopatika hapo ni moja tu ukiwa nje ya mfumo wewe ni mkosoaji mkubwa sana ukiwa ndani ya mfumo huonyeshi uzalendo unao uonyesha sasa unataka kumanisha kipindi cha Magufuli na wewe ukiwa katibu mwenezi hakukuwa na mapungufu ya wewe kuongelea hata kwa kufata taratibu za ndani ya chama?mbona hukuwahi kufungua mdomo kukosoa lolote?na records zinaonyesha kipindi cha Magufuli kulikuwa na ukiukwaji mkubwa sana katika chama na serikali!nini kilikufanya ukaee kimya na nini kinakufanya leo ujitoe muhanga?
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza 3 года назад
Hahahahaha Ndg Zang wanasiasa huwa mnachekesha Mkishapoteza Viti🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣hapo ndo huwa mnaona haja ya Uhuru wa Watu kujieleza//Wakati upo Katibu wa Uenezi hukuona kabisa kama Mawazo ya Wengine Yanafaa Kusikilizwa:Leo hii umetemwa ndo unakumbuka Shuka kumekucha.....
Далее
MAHOJIANO YA NDG. POLEPOLE NA WASAFI TV
1:01:18
Просмотров 8 тыс.
Why Germany is Rich But Germans are Poor
9:16
Просмотров 176 тыс.
MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI | 11 DISEMBA 2021
1:52:13
Balozi Polepole: Ukubwa wa Afrika na Vita ya Ukreni
2:38
POLEPOLE: TUPENDE NA KUWEZESHA VYA KWETU
3:29
Просмотров 2,6 тыс.