All corrupt leaders must rip what they sowed. Huu wzi must stop Hauwezi kwenda hata kwa mzee wa mtaa, upate haki bila kutoa pesa. Corruption everything
Nakubaliana na maneno ya officer.officer kutulia ili watu waandamane kwa amani watu wanafikiria police ni walegevu. Police wakiamua mtakiona kilicho mfanya sangara akachomwa na moto.
Kelele za nini mkuu tuliza buana hii kenya sio yako. Difference yako na sisi ni payslip only. Mind about your own business nkt. The same government unatetea will once turn against you and eat you. If you want to know its true jus look at your payslip and the job your are doing.
@hellenmoraa1305...wewe ndio hiyo nonsense...ng'ombe wewe...hiyo punda osoro ndio Iko kimbelembele kusuppory hiyo bill.na hiyo pesa osoro anakula hawezi kujengea kwenu nyamazisha hiyo mdomo yako
Mkisha choma nyumba yake ndo shida zenu zitaisha? Osoro ana haki ya kufanya maamuzi yake kwani mtalazimisha kila mtu awe upande wenu? B4 and after Finance Bill bila wewe kutia bidii kazini utazidi kuteseka tu, wakenya tuwe wastaharabu buana! I am not happy na nyinyi ambao mnatake advantage ya maandamano kudestroy properties, mnaloot, mnaumizana na isitoshe wengi wenu hamjui chochote contained in the finance bill, but you are just incitited by the leaders you worship, your politics is of hatred, mlizaliwa tu kumchukia Ruto! It reaches a time whereby you have to sacrifice your today for a better tomorrow, madeni yenu nani atalipa? You don't care about your tomorrow's generation, shame on you genz!!