Тёмный

Polisi Waeleza Rasmi Kumkamata Mbowe, Lissu na Lema Juu ya Maandamano 

The Chanzo
Подписаться 82 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Leo Septemba 23 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinafanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kuanzia Ilala na Magomeni huku lengo kubwa ikiwa ni kupaza sauti zao kuhusu mauaji ya utekaji wa viongozi wenzao yalaiyotokea hivi karibuni.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

22 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 325   
@pauloisso5815
@pauloisso5815 4 часа назад
Jeshi la ccm, mmeshindwa kukamata watekaji kazi ni kuitetea ccm
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 2 часа назад
Kwahiyo walipokuwa wakiandamana vurugu zikatokea na uharifu pia. Polisi kwa kusingizia duh! Posho si mshahara, tutawaona magetini mkilinda majumba ili kujazia pensheni. Changamoto mnapewa, zitumieni ili kuongezewa mishahara na si viposho. Tumieni hao mliowakamata kuwasaidia kudai mishahara. Wanasiasa wanapita na madau makubwa wanakuacheni mkiwa walinzi wa mageti ya matajiri. JK alisema za kuambiwa...Yahu awape hekima😂😂😂😂
@StevenMgaya-h9l
@StevenMgaya-h9l 4 часа назад
Nyie polisi mungu anawaona mjue
@PeterSaramba
@PeterSaramba 5 часов назад
Sheria Duniani lakini haki kwa Mungu.
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 4 часа назад
Vp upelelezi wa kupigwa risasi tundu lisu pale Dodoma
@heripaulo1008
@heripaulo1008 5 часов назад
Siyo ishara njema sana majuto mjukuu
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 5 часов назад
Ila watekaji hamjawahi kuwakamata
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 часа назад
Sasa watajikamata ?
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 2 часа назад
​@@richardnganya2311hao watekaji muulizeni mbowe
@DeogratiusSMkeah
@DeogratiusSMkeah Час назад
wakamatane wenyewe ama
@danielkanso
@danielkanso 4 часа назад
Ahhh kumbe hawajatekwa vipi kuhusu waliotekwa na bado hawaonekani na kuhusu uchunguzi pia hongereni kwa mbinu lakini
@FidesferdinandikimtiKimati
@FidesferdinandikimtiKimati 4 часа назад
Ivi we polic inajielewa aloo siku ukifa tutakuja kukuzika na mawe ww
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 5 часов назад
Hujitambui wewe mzeee vaa viatu vya watu walio poteza ndugu zao maandamano ni ya Amani kbsa nan alyekuwa na silaa barabaran Zaid ya ww na vjana wako mnatumia Kodi za wananch kufanya maandamano ya polisi tokea Jana huo ni uonevu mtupu mngeacha muone uouvunjifu unatokea wap mzee unafamilia Leo furahia haya kesho utalia ww na roho Yako mbaya
@albertmichael4014
@albertmichael4014 2 часа назад
Freedom is coming.... 😢😢
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 4 часа назад
MATAMKO GANI WEWE MR. MULIRO TOA MFANO WA TAMKO MOJA TU... WAONGO SANA POLISI MNAFANYA SIASA. MATAMKO MATAMKO MATAMKO YEPI MWONGO WEWE? TOA MFANO... MNACHOFANYA HAPO NI KUWA MAKADA WA CCM HAMFANYI KAZI ZA CCM YANA MWISHO HAYA!
@clememallya4257
@clememallya4257 4 часа назад
Yesu njoo unene nao. Polisi mmebeba bunduki wao hawana silaa yoyote. Ole wenu muwaue hao mliowakamata, na ngoja muwaumize
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 часа назад
Huo ni ujinga, tulifikiri mmewapata watekaji, viongozi wetu wapo kutuongoza tujue waliotekwa.
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 4 часа назад
UNAWEZA kututhibitishia na kwanini usinukuu hayo matamko Mungu atusaidie tuwe na Nchi yenye Polisi wenye weledi na kuheshimu katiba
@clememallya4257
@clememallya4257 4 часа назад
Samia na polisi wako hamna haki kwa watanzania. Haki ya kudai ndugu zetu waliopotea Na kuuawa Tz nani anatetea? Mtuambie Ally Kibao nani kamkamata . Kwa nini hamtusaidii watu wanaopotea ndiyo mnatusaidia na kutuweka ndani. Kwa nini mnatusaidia kuwakamata napaaxa sauti toka ujerumani waachieni watu wanaotetea amani ya watanzania wanyonge hatuna mtetezi. Ninyi jeshi mmelala usingizi polisi rais na Bunge lake. Mungu anene na hao polisi wanaotuonea na mkuu wa jeshi la polisi jwa kutokuwaacha wanachi kudai famu za damu za ndugu zao. Mbowe, Lisu na Lema na wote mliokamatwa Mungu akawatete km shedraki, abdiel manase Daniel etc.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 4 часа назад
Kumbuka utastafu utarudi uraiani pia
@leokamil6284
@leokamil6284 4 часа назад
Tena wanachakaa hawa
@erickjastine1439
@erickjastine1439 2 часа назад
"in the LAND OF THE BLIND a ONE EYED MAN is KING"...it will end!✊🏽
@AgnessJohn-i4h
@AgnessJohn-i4h 4 часа назад
Mungu siyo polis ataonekana kwawakati wake hata kwenye familiya zenu
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 4 часа назад
Amen
@njaunestory761
@njaunestory761 3 часа назад
upo sahihi
@delvinakullaya6275
@delvinakullaya6275 4 часа назад
Tumewaajiri sis bado mnasmbua raia😂😂
@ce-08
@ce-08 2 часа назад
😂😂 mfukuze kazi
@molenicharles9107
@molenicharles9107 4 часа назад
Hii ni NCHI yenye UONGOZI,Sheria na misingi yake na siyo kikundi Cha unyago...Waonyesheni kilichompata professor limpumba enzi zile za mwamba Mkapa💪💪
@benswai8099
@benswai8099 3 часа назад
Kanawe baada ya kunya
@peterkisomezi7101
@peterkisomezi7101 55 минут назад
Hujitambui Boya wewe
@AgnessJohn-i4h
@AgnessJohn-i4h 4 часа назад
Mungu atatenda jambo juu yanchi hii
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 31 минуту назад
Afande mulilo uko vizuri
@akramissa3393
@akramissa3393 5 часов назад
Vibaraka nyie, ila siku ipo
@GerrardLaizzer
@GerrardLaizzer 5 часов назад
Siku gani😂😂😂acha kuongelea choooni ingia barabaran kama kweli unataka kudai haki, nyie wabongo midomo tu
@AnnaMwitega
@AnnaMwitega 3 часа назад
Mungu mapenzi yako yatimizwe.
@OphoroMinjaMinja
@OphoroMinjaMinja 2 часа назад
Kifungu kipi cha sheria kinaruhusu jeshi la polisi kuzuia maandamano
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 5 часов назад
Mungu wambinguni iko siku watawanyamazisha
@MungayaLaitayok-mr1gs
@MungayaLaitayok-mr1gs 4 часа назад
Mungu atatenda jambo juu yahawa waonefu wanao onea watanganyika Na viongozi wanao tetea Tanganyika na watanzania
@evancetarimo1310
@evancetarimo1310 4 часа назад
Mi nawazaga jins Police mnavyowatesa chadema siku wakiingia madarakani itakuaje😂😂😂 acha tuombe mungu tuone 😂😂
@jumaseifally6337
@jumaseifally6337 4 часа назад
Mwaka Gani sasa
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 4 часа назад
watafukuzwa kazi wote😂
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 часа назад
Ndoto 😂😂
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 2 часа назад
Hiyo ni ndoto ya kwenye sofa
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 часа назад
​@@jumaseifally6337ipo siku miungu itaanguka tu
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 4 часа назад
Amani gani mnalinda kwa kuwakamata watu
@KheriKhatibu
@KheriKhatibu 4 часа назад
Amani ya Taifa letu ilindwe kwa NGUVU ZOTE , .Mungu Ibariki TZ .
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 3 часа назад
Mungu gani atakae ibaliki inchi yako juu ya dam zisizo nahatia.hapo mnatetea amani ya ccem naumafia na ula lushwa na ufisadi nawizi ili vizazi vyenu viendelee kufaidi matunda ya ichi
@sadickissa1600
@sadickissa1600 2 часа назад
K Amani ni kuuwa?
@roberttarimo4956
@roberttarimo4956 Час назад
Amani ni nani tena huyo
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 14 минут назад
@@roberttarimo4956 kwakweli ninani tena?huyo amani?taifa lenu wewe na wa hujumu uchumi ipocku yatawageuka
@sjdbxjdhsudjxjhd615
@sjdbxjdhsudjxjhd615 4 часа назад
Wacha siasa wecommernde
@edwardkishiwa3296
@edwardkishiwa3296 4 часа назад
Yaani Li sura la mzungumzaji linasema huku wazi kabisa huku li tahayari,
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 2 часа назад
rudi shule ukajifunze kuandika
@edwardkishiwa3296
@edwardkishiwa3296 2 часа назад
@@samwelsimon7392 sawa chawa ni nunulie uniforms
@SholeBigsaund
@SholeBigsaund 4 часа назад
Acha ujinga mnatumika vibaya ipo sku yenu hakika nawambieni mungu hataliacha hili
@MitchKen-j7y
@MitchKen-j7y 4 часа назад
Tanzania ipo pabawa
@possianokigwinya9988
@possianokigwinya9988 2 часа назад
Mtatumaliza
@Gamba177
@Gamba177 4 часа назад
Ipo siku na wewe utakunya mavi ya moto sura lako baya kama mavi yako.
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 3 часа назад
Muliro sema akina soko na wenzake wako wapi acheni ubabaishaji wakuwakamata akina mbowe hangaikeni na watekaji na wauji
@devothaalfredy3803
@devothaalfredy3803 4 часа назад
Kukamata tu kufanya kazi za haki aah mfyuuuuuuuuuuuuiuuuu😏
@EmmanuelAmmy
@EmmanuelAmmy 4 часа назад
Khaaah kwahiyo kudai democrasia na haki Yao ni watuhumiwa 😭😭😭
@PeterDaudi-z2z
@PeterDaudi-z2z 4 часа назад
Asee mnaonea watu sana
@khadi-z4o
@khadi-z4o 3 часа назад
HAKUNA KAZI YAKIHUNI YENYE WATU WAHUNI TZ KAMA POLISI. AISE HII KAZI HAIFAYI KABISA INALAANA. NDOMAANA WAKISHASTAAFU NAVYEO VYAO VIKUBWA WANAKWENDA KUSHIKA JEMBE WANADHALILIKA INAKUFA MASKINI.😮
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 4 часа назад
Aibu
@MunaAlbalushi-pt7je
@MunaAlbalushi-pt7je 3 часа назад
Hata mimi najua mmewateka inakuwaje lisu akamatiwe nyumbani kwake
@sistymsigwa2738
@sistymsigwa2738 26 минут назад
Well done jeshi letu
@maikamadewa931
@maikamadewa931 4 часа назад
Kwahiyo wewe unaona kutekwa watu ni jambo jema? Police watapigaje marufuku maandamano wakati watu wanauwawa? Ole wenu kuna siku mungu ataleta ukombozi tuwe tumekufa au tupo hai😢
@ezramhanje1283
@ezramhanje1283 4 часа назад
Hii ninaiona kesho Itakayokuwa na hofu Sana tusijue wapi pakupeleka kero zetu
@allynassoro8448
@allynassoro8448 3 часа назад
Jesho la polisinlimewakamata nalo jeshi litakamatwa nMungu
@georgesteven5185
@georgesteven5185 4 часа назад
Kwa nguvu zote nitakataza kijana wangu yoyote kufanya kazi ya upolisi MUNGU naomba unisaidie
@issahassan8361
@issahassan8361 3 часа назад
Kisha upate faida ganii
@njaunestory761
@njaunestory761 3 часа назад
mwanangu hawezi kua polisi Bora ukulima au mwwalim Kama mimi
@issahassan8361
@issahassan8361 3 часа назад
@@njaunestory761 lkn mwalimu na police ndio iyo iyo serikali moja ; Kwaio ni sawa na kukataa wali mweupe kisha ukala pilau lkn mchele ni mmoja
@MagdalenaPius-g1q
@MagdalenaPius-g1q 3 часа назад
Kazi ya rahana mungu aepushe mbali
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 3 часа назад
​@@issahassan8361wewe akili hizi hizi ndio unatumiaga kuvukia barabara au kuna nyingine
@Samuelmanga-r7z
@Samuelmanga-r7z 5 часов назад
Ukiona wanakukadria kuwa una akir ndogo kama yaserikal ujue ni shida
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 4 часа назад
WANANCHI HAWAJAKACHA ANYONE,,, WANANCHI WANAHOFIA WATEKAJI NA VITISHO VYENU WYA KUVUNJA KATIBA
@clememallya4257
@clememallya4257 4 часа назад
Hayo yanayotokea mbona hamchunguzi na hamtulizi?
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 3 часа назад
Watekaji mmeshindwa kuwqkamata ila hawa mbwembweeee
@musaahmed6810
@musaahmed6810 28 минут назад
Safi sana.tunataka.amani tanzania
@josiahjosiah-MPs
@josiahjosiah-MPs 43 минуты назад
Fala kabisa
@Samuelmanga-r7z
@Samuelmanga-r7z 5 часов назад
Viongoz wa serikal ni vinyes kabsa
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 5 часов назад
Ndugu mm nakuomba kama hujui athari ya mandamano,njoo Kenya ujue madhara yake
@Christianslukumay
@Christianslukumay 4 часа назад
Ipo siku Mungu atashughulikia haw polis na viongoz haw wasio wap watu haki zao badal yake kutengenez tu hila za uongo
@MedardLutelemba
@MedardLutelemba 5 часов назад
Ndio mmepiga chura take
@HassaniUlenge-j5j
@HassaniUlenge-j5j 58 минут назад
Jeshi la polisi linatumika vibaya Sana kwa sababu ni haki yao kuandamana na kufikisha ujumbe kwa njia ya maandamano
@youtubeyangahjcom
@youtubeyangahjcom Час назад
Kuna kiongozi wa Kenya aliwahi kusema "Watanzania ni kama maiti" Hata iweje hawawezi kuamka kudai haki zao.
@duasaidi6676
@duasaidi6676 5 часов назад
Waambie hao wajijue
@SamwelMasai-e9d
@SamwelMasai-e9d 4 часа назад
Je ingekuwa siku sote munatumia ngvu kubwa kama hii situngekuwa tunaisha kama peponi
@ismailchiwitike
@ismailchiwitike Час назад
😊jeshi lako limeshindwa kuwakamata watekaji munawaonea wanasiasa dhaifu je ni sawa hiyo, au mipango ya utekaji munaifanya wenyewe?
@felisterjohn493
@felisterjohn493 2 часа назад
Tafuteni amani kwa watu wote hii nguvu kubwa mtumiayo mitutu cjui nn ndo mngeitumia kuokoa watu wanaotekwa mwee😢Mungu wangu
@BoniphaceGabriel-c8z
@BoniphaceGabriel-c8z 2 часа назад
Tunaombea amani ya nchi, ila kumlinda muuaji na mtekaji Kwa mgongo wa Sheria sio saw. "Mungu asimame pamoja na watanzania wote kwenye jambo hili" all in all, we need peace in our country.
@josiahjosiah-MPs
@josiahjosiah-MPs 43 минуты назад
Wapumbavu tafuteni watekaji
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 4 часа назад
Hiiii Tanzania hiii ukiwa mpinzanii dhambiii my country 😢😢😢😢
@PeterSaramba
@PeterSaramba 4 часа назад
@@bahatimellita6619. Na nd,o sababu Wengi wanamua kuhamia tena C.C.M kwa sababu ya hayo matezo wa C.C.M na makada wa C.C.M ambao badala walinde raia wanatetea masilahi yao kwa kuegemea upande mmoja wa C.C.M. kwa hivyo kwa namna hii kumbe Polisi nao ni makada wa C.C.M. Na wala hawapo kwa sababu ya raia bali wako kwa sababu ya C.C.M au kwa sababu ya chama cha mapinduzi.
@RichardMgweno
@RichardMgweno 4 часа назад
Aliyewaloga ni nani wale waliotamka kuwa wanafanyaa mauaji wameshanyongwa?
@SHERANasibu
@SHERANasibu 4 часа назад
ASKARI JEUSI
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 часа назад
Nchi ya Wagalatia ......
@enockgogy5458
@enockgogy5458 Час назад
Ilo sio jeshi lapolisi nijeshi la ccm mafisadi wakubwa
@FloraSumuni-jm1mx
@FloraSumuni-jm1mx 6 минут назад
Mungu yupo!
@StephenMasawe
@StephenMasawe 2 часа назад
Jeshi la polisi siku hizi wanafanya siasa badala ya ulinzi watu na Mali zao
@dianaleo6067
@dianaleo6067 24 минуты назад
Kenge nyie! mjue dunia inawaona . Hamna hata aibu. Kwendeni uko na utawala wenu wakutishiana bunduki . Mungu yupo upande wetu na anasikia kilio chetu.😢
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 5 минут назад
CCM mmekosa Sana mnanyima uhuru wetu kwa ujumla
@ArkamBakar
@ArkamBakar 4 часа назад
Big up Police endeleeni kuweka Amani Tanzania
@RebecaKayasama
@RebecaKayasama 11 минут назад
Mhuuuu mungu anawaona
@Raphaelbundara-x4c
@Raphaelbundara-x4c 37 минут назад
Garika la mungu laja
@njaunestory761
@njaunestory761 3 часа назад
KWANI POLISI TAFSIRI YA AMANI NI NNI JAMAN MBONA SIELEWI
@BienvenueBisimwa-rn9rn
@BienvenueBisimwa-rn9rn 2 часа назад
Tanzanie siyotena inchi ya amani🇨🇩
@maselemaziku4875
@maselemaziku4875 4 часа назад
Duuuuu
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 часа назад
Upo vizuri kamanda mungu akulinde nihakika watu wema wanataka ulinzi mpk mlangon
@joshuakaaya6865
@joshuakaaya6865 4 часа назад
Tuwapongeze nyinyi kamajeshi kwa juhudo za kuwatia mikononi wahalifu hao ombilangu fanyenijitiada pia yakuwatafuta watekaji Nadhani Mungu atakua upandewenu
@sisterlbloodofjesus4084
@sisterlbloodofjesus4084 24 минуты назад
Polisi wakamateni watekaji na wauaji wa acheni siasa
@amp1952
@amp1952 2 часа назад
"Power and Politics: Use people to get political power and use them to sustain it." Ni Mpumbavu tu ndiye hukubali kutumika.
@Sanura-w8t
@Sanura-w8t Час назад
Mungu anawaona malipo ni hapa hapa tu
@mollelyally5213
@mollelyally5213 2 часа назад
Merci beaucoup Police 🚓
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 4 часа назад
Polici si vizuri kumbuka kuwa Mungu yupi atasimama nyie si mnalinda ccm.
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 Час назад
Yetu ni mashtaka kwa Mungu wetu ili yeye achukue hatua stahiki, walio potezwa warudishwe!!!
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 2 часа назад
Mungu wa Watanzania Atajibu tu, Laana Yenye sababu Lazima ziwapate
@Najim-j6k
@Najim-j6k 37 минут назад
Yani hawaoni aibu hata akili hawana utasema hawafi mama samia muogope mungu huto ishi milele
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 31 минуту назад
Ulinzi kwa watekaji ujanja hamuna ila kwa kina lisu poleni saana
@FrankAthuman-cw4gr
@FrankAthuman-cw4gr 4 часа назад
Wauweni kama yule mzee 😂😂😂😂😂😂
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 16 минут назад
MUNGU na hangamize Tanzania 2025 wote wafe muka mkamate MUNGU mbinguni😢
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 3 часа назад
Mambo Sasa watanzania wanataka majibu ya utekaji ni akinanani acheni ubabaishaji kukamata akina mbowe toeni majibu Kwa watanzania Iko siku utasimama mbele za mungu kujibu haya yanaotekea
@AlfredGeorge-n2o
@AlfredGeorge-n2o 2 часа назад
Nyinyi hampo kwajili ya watanzania bali mnabuluzwa tu na watu unacho ongea hata hueleweki
@EzekieliMwakalinga
@EzekieliMwakalinga Час назад
unacho panda utavuna jehanamu ya milele kama bosi wenu anavyo talajia kuvuna yule mwenda zake mnajifanya au alifanya Mungu wa raia
@neykombe8831
@neykombe8831 2 часа назад
Mnawakamata wa nn baada ya kwenda kukamata wasijulikana na watekaji mnawakamata watu wasiokuwa na atia hiyo nguvu mtumie kukamata waalifu
@LomituIpanga
@LomituIpanga 3 часа назад
Eee Mungu tunakuomba utunusuru watanzania.
@hakimameir1766
@hakimameir1766 3 часа назад
Majibu mazuri ya jeshi letu la polisi tuna imani na ninyi na Amani itawale
@kokushubirabijana4483
@kokushubirabijana4483 8 минут назад
Kwan hayo maandamano yanashida gani mbn Amani haipo kabraa hamjawakata , Amani gani unasema ww, wakati watu wamepoteaa na mko kimy tuuh
@janemwaipopo
@janemwaipopo 48 минут назад
IPO siku Yote hayo Yataisha Mungu awatie nguvu wote mliokamatwa
@leokamil6284
@leokamil6284 4 часа назад
Wapelekwe Mahakamani tukaone shtaka ni nini ,na mfute vyama vya upinzani maana viongozi wa Tanzania hampo tayari kuwa na demokrasia katika hii nchi
Далее
MAANDAMANO HALI YACHAFUKA, LISU AFATWA NA POLISI KWAKE
17:17
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22