Тёмный

Polisi wanachunguza tukio la kushambuliwa kwa mwaniaji ubunge 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 94 тыс.
50% 1

Ali Mwatsahu anayewania ubunge wa Mvita alipigwa risasi jana usiku
Mwanasiasa huyu anaendelea kupokea matibabu hospitalini

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@paulokondo1631
@paulokondo1631 2 года назад
Siasa chafu, maisha mabaya kwa Wakenya. Quick recovery and be strong bro. Stand for your rights forever.
@charleskibiro9159
@charleskibiro9159 2 года назад
Azimio wameshindwa kutengeneza sera sasa wameanza kazi chafu. Kuna Mungu binguni msiguze watu wake. Mutaangamia.
@captainkim7681
@captainkim7681 2 года назад
Walahi Kenya hii ina wenyewe,,,Alii mungu awe nawe utapona kakangu,,,tutakuombea wakati huu wa Ramadan
@asiathoya7660
@asiathoya7660 2 года назад
Hatua lazima ichukuluwe haraka kama walivyo fanya wakati WA raila. Uhuru ongea sasa kuhusu huyu nae Kama ulivyo ongea wakati WA raila
@maryamjey6340
@maryamjey6340 2 года назад
Anajua anachotaka kwa raila ndo mana akamuongelea. Wanajulikana nia zao Mungu awalaani..
@irenemumo7855
@irenemumo7855 2 года назад
Uhuru alisema kutawaka Moto ndo huo Sasa ...Azimio wameaza kuua UDA na marisasi
@brigidmua2548
@brigidmua2548 2 года назад
Mmmmm
@gitaumark3853
@gitaumark3853 2 года назад
Ata huku riftvalley nasikia wamepanga kuuwa wakale
@omarawadh4127
@omarawadh4127 2 года назад
Nyenye wana siasa ndio munaharibu nchi mungu atawashinda Kenya hakuna usalama na pia hakuna haki ya wana nchi maskini
@nivancewali8192
@nivancewali8192 2 года назад
Very sad kila mtu ana haki ya kuchagua chama akipendacho huu ni unyama wa hali ya juu hustlers please take care of your life 🤔🤔
@richmboya7975
@richmboya7975 2 года назад
Walio tenda haya nawaombea wao waishe kwa namna hiyo tu.katika maficho yenu laana na vizazi vyenu iwaandame milele ila mtakapotubu
@violetmutambi3364
@violetmutambi3364 2 года назад
Hiyo ni kazi ya Azimio, pado mtashindwa tu kwa uwepo wa Mwenyezi Mungu.
@RutexNalex
@RutexNalex 2 года назад
Ali qr may Allah intervine
@simple_hiddencomputer_tric9579
@simple_hiddencomputer_tric9579 2 года назад
The dimension that politics has taken in this country is going to lead to serious tragedy....
@gracemwadziwe2374
@gracemwadziwe2374 2 года назад
Ali is a good leader. My prayers are with him
@lewismwangala2244
@lewismwangala2244 2 года назад
He is a shameless bastard
@johnmaya8318
@johnmaya8318 2 года назад
Uchunguzi gani Raila kirasiku anasema kira kijana awe na mbunduki na Risasi.anajiapisha anarusha mawe anawua hakuna mtu anasema wacha huone uhuru anasema nini
@samsonrotich1909
@samsonrotich1909 2 года назад
This is the most loving person to the victim of pre-election violence against aspirants of substance
@fredrickkoech1387
@fredrickkoech1387 2 года назад
Icc court is the only option (kenya is a private to uhuru kenyatta)husijaribu ruto!
@fredrickokoth1037
@fredrickokoth1037 2 года назад
hahaaha you guys wanted to finish baba
@rosemarry1274
@rosemarry1274 2 года назад
Nonsense!!!!!
@kamarleymarleofficial3150
@kamarleymarleofficial3150 2 года назад
Sorry lakini vile umeingiza siasa umeharibu
@erickjuma7643
@erickjuma7643 2 года назад
My point exactly. Thank you.
@frederickowambo4497
@frederickowambo4497 2 года назад
Sikitiko kubwa kwa hili tukio, Ali ni kama mwanangu...huu ni ugaidi wa kisiasa hata hao ambao anashindana nao kwa mchujo wachunguzwe
@danielmacharia5945
@danielmacharia5945 2 года назад
Quick recovery to him,shame on everybody who participated on this evil
@cleodeprince2547
@cleodeprince2547 2 года назад
Let us wait and see de reaction of the state
@filimonipeter9949
@filimonipeter9949 2 года назад
Raila aky atamalizs kenya
@franciswando6910
@franciswando6910 2 года назад
Ww mshenzi
@swesschao3095
@swesschao3095 2 года назад
Tumia akili
@gloriawawuda3075
@gloriawawuda3075 2 года назад
hata kwa mungu mudimtie dosari huo uchafu unayo fanyika pwani ni ju yakuliwa ni mkubwa wa uda .tunawauliza mutanaliza wakenya ju uakulipwa ?
@erickjuma7643
@erickjuma7643 2 года назад
The minute he mentioned uda I switched off. You don't politicize it that fast.
@marionmemoi1956
@marionmemoi1956 2 года назад
The whole thing is political even the headline speaks for itself.
@peterkimani9156
@peterkimani9156 2 года назад
ni wefuwasi azimio
@oyay2821
@oyay2821 2 года назад
If you switched off at what point did you write the comment
@erickjuma7643
@erickjuma7643 2 года назад
@@oyay2821 after switching off
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
@@oyay2821 Azzy😁😁😁😁
@supumoto6819
@supumoto6819 2 года назад
Esater pasaris utafanya maandamano au vipi
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
😂😂
@emmaculatechepngetich9085
@emmaculatechepngetich9085 2 года назад
Aky pole lakini mungu ndio wanatupikia
@jacoblaiser7634
@jacoblaiser7634 2 года назад
Mingu akuponye Mhe Ali
@legacy9948
@legacy9948 2 года назад
Wau pole sana
@esthernzisa6284
@esthernzisa6284 2 года назад
See how small minds fights to other who want to change
@nyapetegath409
@nyapetegath409 2 года назад
KWANI AMESHIDA MJUAANO ATAWAKOSANE NA VYAMA VINGINE?
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 2 года назад
Matiangi was telling us..that there is enough security..when people are being hunted day in day out
@omarwario918
@omarwario918 2 года назад
kama unaamini utabuka mshindi wakati wa uchaguzi why attempting to assassinate your compitator,The government should bring to the book the responsible people.Very disturbing incident the country is moving to ver bad direction.wish u quick recovery.
@mtuwawatuhoyee6549
@mtuwawatuhoyee6549 2 года назад
Hawa ni UDA wanashambuliana ili mmoja apite wa ingawa pole alafu tuktuk haiwezi kupita gari mbio mwanamke.
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 2 года назад
Ikiwa hujui nyamaza
@KochomoDigital
@KochomoDigital 2 года назад
@@omarswaleh6082 ni WATU WA YUDA NA JUDAS
@bonifacemutiso9725
@bonifacemutiso9725 2 года назад
So sad...24 ballets? This is too much!
@brigidmua2548
@brigidmua2548 2 года назад
Bullets
@ericthegreat2594
@ericthegreat2594 2 года назад
Like father like son, were are not surprised,
@mashverm4680
@mashverm4680 2 года назад
What do you mean?
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 года назад
@@mashverm4680 meaning like jaluo like raila
@ericthegreat2594
@ericthegreat2594 2 года назад
@@mashverm4680 mzee jomo was known for eliminating political rivals and now Uhuru is becoming a real tyrant
@lilianmwangi1731
@lilianmwangi1731 2 года назад
Justices must be done immediately like the chopper for raila let's it trend
@FrankJKyalo
@FrankJKyalo 2 года назад
😂😂
@MA-ht7po
@MA-ht7po 2 года назад
Sasa n time siasa ama ujambazi
@rononicholas5125
@rononicholas5125 2 года назад
The dynasties have decided
@salamajuma5481
@salamajuma5481 2 года назад
Subhanallah! Subhanallah!😭😭😭😭😭😭
@gichukikamau7508
@gichukikamau7508 2 года назад
Smh… all in the name of leadership? No!
@gulftranspoters1762
@gulftranspoters1762 2 года назад
Tujuaje sisi watu wa kawaida? Ni kama cinema ni kama comedy ama ni nuksi balaa
@evansmaiko8765
@evansmaiko8765 2 года назад
Kenya ni kenya
@mtuwawatuhoyee6549
@mtuwawatuhoyee6549 2 года назад
UDA wenyewe wanashambuliana ili mmoja apite chama cha UDA.
@verahnyanchoka7480
@verahnyanchoka7480 2 года назад
Nani slikuambia hivyo ulikuwa
@rosemarymusanga9575
@rosemarymusanga9575 2 года назад
Ni ukweli
@gloriawawuda3075
@gloriawawuda3075 2 года назад
kama ni wenyewe kwa wenyewe ndio maana jana wakafanyia azimio fujo ili wapate hicho kiti cha mvita .uda muna shida kuanzia kichwa mpaka chini ya unyayo
@jim12306
@jim12306 2 года назад
Kina Joho the assains of raila and Uhuru!!!
@usiniletee
@usiniletee 2 года назад
2017 mbona hukuongea juu ya musando, tit for tat.
@jim12306
@jim12306 2 года назад
@@usiniletee cease the incitement puleez! to say tit for tat that’s being so cruel! Imagine the tit for tat turned on you and your family?? FYI,I did condemn in the strongest terms, how my comrade msado(R.I P) too! Remember these are people lives be taken prematurely and every life matters!!!
@mdqweqwe251
@mdqweqwe251 2 года назад
Acha usenge wewe
@effdisish3828
@effdisish3828 2 года назад
Hawana uchunguzi wowote hawa hii serikali iendee nyumbani!!!!!
@riazjuma84
@riazjuma84 2 года назад
We know in general who must be behind this barbaric act n our internal security is wasting of time..
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 года назад
Joho bunduki ni za joho ,simu zimechukuliwa na polisi na sai mkewake anaambiwa simi hazijulikani ziliko
@dantozsibollah6861
@dantozsibollah6861 2 года назад
heheheheheh ati UDA ikona umaharufu mombasa heheheheheheh
@evangelistnicolassagero8051
@evangelistnicolassagero8051 2 года назад
Kenya hii kweli???
@omarkarisa791
@omarkarisa791 2 года назад
Hii ni dalili moja katika dalili nyingi zinazoonyesha uharamu wa demokrasia kama nidhamu ya kisiasa katika jamii. Visa vya uhuni, urongo, hongo, matusi na mauwaji ni vitendo ambavyo ni kawaida kutokea. Wachaneni na demokrasia na rudini katika Uislamu jamanini. Mutapata uadilifu, haki na amani.
@mzungumweusi414
@mzungumweusi414 2 года назад
UDA ni marufu mombasa??????😠
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 года назад
Ndioo uda nimaarufu ni vile watu hata hawaongei ongoing lakuni utakaemuuliza akawaambia yeye ni uda na kura ni kwa hustler
@citymwacheo4497
@citymwacheo4497 2 года назад
Kila alie changia na kuhusika kwa hili jambo bc mola atamlipa hapa duniani tukiona wallah
@kgchippy
@kgchippy 2 года назад
Siasa 😔
@congressman3993
@congressman3993 2 года назад
Pole
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 2 года назад
Bwana Sarai pliz don't speculate about this incidents and mentioning names of prominent people and institutions so let the authorities concern do there work and also let's pray for Mr mwatsahu to get Better so that bwana Ali can tell Kenyans what has transpired ,pliz my dear good people even though ur in painful feelings ,we are sorry and God will save the life of brother mwastahu so pliz tusikashifu vyombo vya serekali au watu binafsi ama wakuu Wa taasisi Fulani na kulenga kuwa ni uhasama Wa kisiasa kwa sababu ya Ku support hustler no,no,no ,pliz let's not politicize each and acts OK,coz what happened its a criminal acts and you should have faith with our system and what ur saying we don't denied that a criminal acts has transpired so let's wait for authorities concern to conduct there job and all ur questions will be answered and also will here the side story of mwatsahu and investigation authorities.
@hassanidha3744
@hassanidha3744 2 года назад
They can know by bullet numbers which is the source
@supumoto6819
@supumoto6819 2 года назад
Allah atamuafu
@allutacontinua5900
@allutacontinua5900 2 года назад
Chukuweni Mombasa yenu bwana sio lazima mkuwe kenya
@gracemwadziwe2374
@gracemwadziwe2374 2 года назад
Shame on you!!!
@allutacontinua5900
@allutacontinua5900 2 года назад
@@gracemwadziwe2374 kubafu njiga wewe
@gracemwadziwe2374
@gracemwadziwe2374 2 года назад
@@allutacontinua5900 mkubavu ni wewe , huana haya na wala hujui vibaya!!! How can you make such a comment yet this situation is serious. What kind of an ape are you???
@qrankmw.
@qrankmw. 2 года назад
ehh..sugu wa sugoi will stop at nothing to burn the country... ..nothing happened to sugu in 2007...graduated from icc.... ....chamge...missing.... .....yebei...missing...... ....kenei missing..... ..sugu..hasara...huyo jamaa..tamaa kushinda fisi...
@oyay2821
@oyay2821 2 года назад
The assassins were armatures and cowards how could they miss and think they would still follow him to hospital and succeed
@gracemwadziwe2374
@gracemwadziwe2374 2 года назад
Dummy heads....
@thedon8393
@thedon8393 2 года назад
This act is unethical....
@muchambizi62
@muchambizi62 2 года назад
Kuna siku nilimwambiya aulize itumbi akifanya kengele. Mudomo wacha umutiye mashakani ndipo atajua ajui. Wewe mama piya wewe mambo yakusema ati ukiunga UDA ati ukiunga unakuwa adui. Ambiya mume wako agome kupayuka,payuka.
@jonesmusrop1120
@jonesmusrop1120 2 года назад
sasa wewe kwa akili zako mtoto ako atakua chochote maishani kwa kuofia kengele kwa wabebari. wake up and lets deal with this nonsense
@KochomoDigital
@KochomoDigital 2 года назад
@@jonesmusrop1120 there is nothing here, UDA are eating themselves, plain. the party is just full of crooks
@johnwilliam7410
@johnwilliam7410 2 года назад
Wewe sjui akili zako zaksaidia vipi?
@ibrahimmohamed-vv1if
@ibrahimmohamed-vv1if 2 года назад
Kumaanisha unaunga mkono Kisa hii kuliko kukilaani.
@m.s.abopper9993
@m.s.abopper9993 2 года назад
Boggus element
@stanleyb5089
@stanleyb5089 2 года назад
Wapi junet na Babu owino,na ndio wanajua sana mambo ya assassination, Raila akaandikishe hiyo report pia yeye
@NORnor-yz5bo
@NORnor-yz5bo 2 года назад
Essy oroiyo junet babu Owino Na joho
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
Raila is innocent
@alumanjr.4747
@alumanjr.4747 2 года назад
This is serious why want to take someones' life ?
@muchambizi62
@muchambizi62 2 года назад
Ali anajifanya mujuaji sana mudomo wake wacha umuweke Sawa. Nilimwambiya mudomo wake utamutiya motoni.
@riazjuma84
@riazjuma84 2 года назад
So u support has happened 🤔
@jonesmusrop1120
@jonesmusrop1120 2 года назад
@@riazjuma84 hawa ni watu akili zao zimeinama, kuinamia mtu fulani. hatutatishwa na tutapikania kilicho chetu na visasi
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
Maliza kuhara
@kendimutunga
@kendimutunga 2 года назад
Mombasa usalama haupo uko
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 года назад
Unataja mambo ya uhamishwaji wa port na tunakukumbuka wewe kabla ya handshake ukiwa wewe na Ruto ukitetea kuhusu swala hilo wakati Joho akikataa kuhamishwa kwa port, Ebu acha unafiki. Alafu acha kudanganya watu UDA haina umaarufu pwani. Kama UDA iko na umaarufu pwani nyinyi wenyewe mnaoutubia hapo mko wangapi?
@m.s.abopper9993
@m.s.abopper9993 2 года назад
Tunayaona haya
@alimwatajiri1202
@alimwatajiri1202 2 года назад
Na yuke alie uliwa wa ODM nani alaumiwe?
@gloriawawuda3075
@gloriawawuda3075 2 года назад
watoe jubu hapo
@abdisalangure616
@abdisalangure616 2 года назад
This azimio thing must stop its violence
@juliamongina6084
@juliamongina6084 2 года назад
Gure wewe ni mavi tu mbona kuna mkisii wa odm aliuliwa kwa kukatwa na mapanga.umavi mtakoma mombasa nyinyi ni waislum roho chafu sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana
@nathanking8703
@nathanking8703 2 года назад
@@juliamongina6084 ukweli wauma ,,azimio thugs doing what they know best
@fredrickokoth1037
@fredrickokoth1037 2 года назад
@@nathanking8703 were you with them or you are just thinking
@nathanking8703
@nathanking8703 2 года назад
@@fredrickokoth1037 when u say kuria killed musando were u there or just thinking
@saddamyousif7662
@saddamyousif7662 2 года назад
@@juliamongina6084 wawashwa wewe.. Wahitaji kudinywa vizuri.. Uwache hasira 🍆
@kennethagaya6769
@kennethagaya6769 2 года назад
I don't get how Raila comes in o this surely someone is shot in Mombasa you try bring in Raila waaaah hata kama?
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
Hiyo haiwezi kosa. Ujinga tupu. Wengine wanataja Ruto hata wakihara ni kama yeye ndiye chanzo
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 года назад
Nao na wayatafute na wasipoyafatilia hatutawapigia kura kabisa qametuonyesha ubovi qa Mombasa hakuna hakki ya poslisi tena ,kina joho qameqa corrup
@gloriawawuda3075
@gloriawawuda3075 2 года назад
nyinyi waingilieni tu uda ndio munaleta dhida ju yakulipwa ju unataka ujionyeshe wewe ndio kusema na hao wengine hakuna chenye watawarudishia ni mungu tu
@swesschao3095
@swesschao3095 2 года назад
Me hata nataka kuwania ila competetant wako ndio mzuka sasa
@mosesauko7724
@mosesauko7724 2 года назад
We mama tumejua ni kitu uzuni lakini usionge kitu ujui ety ukiunga UDA we ni adui wao wa UDA wanapigana Tiketi pekeyao
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 года назад
Ondoka jaluo hapa
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 года назад
Moses Auko nyamazia uko
@mercykjoseph7090
@mercykjoseph7090 2 года назад
N bado mtaona moto sana mlipiga ndege n Raila kwa nini?watu wa uda mtaona moto
@bossplayaa8165
@bossplayaa8165 2 года назад
Hebu stop your nonsense hapa! Politics won’t help you
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
Grow up. Diapers are irritating your bottoms
@izackali2861
@izackali2861 2 года назад
We kojoa ulale
@usa7530
@usa7530 2 года назад
😮
@muchambizi62
@muchambizi62 2 года назад
Bado Sudi, Aisha juma,malala, ichungwa, gachagwa, didimus Baraza pamoja na Moses kuria. Nitawashugulikiya iwezekanavyo.
@captainkim7681
@captainkim7681 2 года назад
Hukijui unachosema mwenyezi hakusamee sana,,Raila kapigwa mawe ikawa shuguli ya kuongelea sijui ooh moto kitawaka,,,style up and do good politics
@franciskyule6600
@franciskyule6600 2 года назад
Utafanya nini mwendaa
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
Mchawi. Kitendawili.........
@kibetsang5439
@kibetsang5439 2 года назад
Ati nini wewe, Wapy C S kumbe wewe unaletar uwafui Kenya wait and see??🙄🙄🙄
@rosemarymusanga9575
@rosemarymusanga9575 2 года назад
Si eti ukiongea UDA wewe ni mbaya Hawa wanapigana wenyewe juu ya ticketi ya kuingia nayo Nani atapewa
@ernestlaiza6084
@ernestlaiza6084 2 года назад
Ushasema KWELI ndo huo
@KochomoDigital
@KochomoDigital 2 года назад
Even those phones were just collected by the police since the car was left alone as the victim was taken on a boda, the wife bust know one of the people who have a vendetta on the man.
@mbuguaaida8470
@mbuguaaida8470 2 года назад
RUTO MUST BE PRESIDENT
@evancejohn1294
@evancejohn1294 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🌳⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️🌳🌳🌳🌳🌳
@memoeda4048
@memoeda4048 2 года назад
Kabixa the 5th
@mtuwawatuhoyee6549
@mtuwawatuhoyee6549 2 года назад
Exactly Ruto must be the president of sugoi but not kenya.
@nicolomakavelli7506
@nicolomakavelli7506 2 года назад
Must be??? Where & when must go home kati ya gatundu na sugoi ni wapi karibu
@wabannah9009
@wabannah9009 2 года назад
@@evancejohn1294 Uhuruto wamalize waende Nyumbani pamoja August asubuhi na mapema(Na si Tafadhari ni Lazima)"!!!.
@wabannah9009
@wabannah9009 2 года назад
Wazalendo:"2022 Presidency already gone with Raila the 5th(No to Ruto Presidency Liwe Liwalo)"!!!.
@Gilion100
@Gilion100 2 года назад
Wacha upuzi Ruto ameshinda zamani.
@wabannah9009
@wabannah9009 2 года назад
@@Gilion100 No to Genocidal Ruto Presidency Liwe Liwalo!!.
@mariawanjiru1275
@mariawanjiru1275 2 года назад
Actually hakuna mwenye ataishi dunia hii mile tufanye siasa na njia ya Amani hujui ni Nani mkobozi wa kesho love one another it's God comadment
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
Na uhuru mungiki mwenzako.
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
@@mariawanjiru1275 hujui huyu mungiki? He is about to behead Raila
@m.s.abopper9993
@m.s.abopper9993 2 года назад
You will rise again, wanaofanya hivi na wakenya si wajinga,wanaona na they know how to conduct themselves when the right time of justice comes
@amulyakumardas6471
@amulyakumardas6471 2 года назад
নহু7
@KochomoDigital
@KochomoDigital 2 года назад
This is purely a UDA thing, the fellow was shot by people who trailed him on a vitz, i was around the area and we scampered. Hassan omar knows that the UDA aspirants are still jostling for the ticket.
@thevineyard7149
@thevineyard7149 2 года назад
Grapevine news
@MartinsAgufana
@MartinsAgufana 2 года назад
I invite you guys to listen to the witness given by the wife and the UDA guys...the statements are very varying. Even a fool can read between the lines. What a shame Kenya Journalists are lazy indeed!
Далее
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,5 млн
Это было КРАСИВО!
01:00
Просмотров 1,1 млн
Наши дети захватили кухню!
00:59
Просмотров 157 тыс.
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
DAY BREAK | Gachagua legal showdown (Part 1)
1:01:13
Просмотров 18 тыс.