Unaringa sana poshy yn unakera sana yn cjui shida iko wapi yn jmn hivi kwa nini tupo hivi especially to wadada ukijiona una tuvitu vitu tu basi unajikutaaaaaaaaaa kumbe ovyo ovyo
Na ndo shida inakuja hapa yn ukishaongea fact basi eti haters sasa nimchukie huyu dada kwa nini me sipakagi mavi kwa mgongo wa chupa you too are the ones with those ushibwada
Mimi nikiwa 20 nimemaliza chuo nikiwa na 21 nimeolewa Niko na Mtoto 23 Niko mjane 25 Niko na mjego wagu na gari yagu na Niko Boss mahali so wacheni posho