Тёмный

Pr. Dr .Blasious Ruguri ;Tatizo kubwa ni kutofahamu kuwa una mamlaka. 

KINYONGO FM
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Mwenyekiti wa Kanda ya Afrika Mashariki na kati wa kanisa la waadventista wasabato,Daktari Blasious Ruguri awaasa wachungaji kuwa na Imani kubwa kwa Mungu kwani amewapa mamlaka ya kufanya hivyo kama watumishi wake au wawakilishi wake duniani.
Ameyasema hayo akiwa katika mkutano wa mwishoni mwa mwaka katika ofisi za jimbo kuu la Kaskazini mwa Tanzania la Waadventista wasabato jijini Arusha ambapo atakuwa na siku mbili za kuzungumza na viongozi wa Jimbo hilo la kaskazini, Ambao ni pamoja na maofisa watatu wa jimbo hilo Daktari Godwin Lekundayo(Mwenyekiti),Mchungaji Daudi Makoye(Katibu) ,Bwana Dickson Matiko(Muhazini)
Aidha mkutano huo umejumuisha maofisa watatu wa kila jimbo dogo linalounda Jimbo kuu hilo,wakurugenzi wote wa idara katika ofisi kuu za jimbo pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali za kanisa zilizopo jimboni humo.
Lengo la mkutano huo unaofanyika kila mwaka ni kutathmini utendaji kazi kupitisha bajeti kwa ajili ya matumizi ya mwaka unaofuata 2018.

Опубликовано:

 

5 ноя 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@eunicenyandiko1389
@eunicenyandiko1389 Год назад
Amen
@jamesmisati2877
@jamesmisati2877 4 года назад
Sermon of good lessons Amen
@maigaerick1640
@maigaerick1640 4 года назад
wonderful sermon be blessed
@estherkamau8830
@estherkamau8830 5 лет назад
Amina , wonderful sermon
@richardmisogalya9499
@richardmisogalya9499 6 лет назад
barikiwa wote
@mgovanomp9435
@mgovanomp9435 6 лет назад
ujumbe mzuri
@emmanysdasmassoudys595
@emmanysdasmassoudys595 6 лет назад
praise the lord
@michaellukumay8772
@michaellukumay8772 5 лет назад
Good seromn
@timotheojoel1828
@timotheojoel1828 5 лет назад
eemenii
@timotheojoel1828
@timotheojoel1828 5 лет назад
Mungu atusaidie mwadventistr ila tukumbuke kua tunasemwa vby
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 5 лет назад
Km YESU hakusemwa vizuri NINYI ni nani hata msemwe vizuri!!
@godsonmollel1
@godsonmollel1 6 лет назад
I lobe my choir njieo SDA
@maigaerick1640
@maigaerick1640 4 года назад
wonderful sermon be blessed
@corneliusmugambi7250
@corneliusmugambi7250 6 лет назад
Amen
Далее
#03 The Message Through Stories
33:54
Просмотров 1,5 тыс.
Values of a Mother  - Pr. Joshua Njuguna
36:38
Просмотров 28 тыс.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Просмотров 2,5 млн
Пиратские котики
00:50
Просмотров 106 тыс.
#01 The Message Through Stories
31:39
Просмотров 4,2 тыс.
Dr. Ruguri Hotuba ya Makambi Geita 2019 ep1
42:35
Просмотров 21 тыс.
Dunia Hatarini Kuanguka. Dr. B. Ruguri
1:13:20
Просмотров 11 тыс.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Просмотров 2,5 млн