Sisi kama Wanafunzi wake tunajivunia sana Prof. Ngowi. Hakuishia tu kwenye kutujengea uwezo, bali hata kuhakikisha tunafikia malengo yetu na kuwasaidia wengine.
Hahah ...Hata mkitaka kumuiba, hatukubali. Ila uzuri Profesa Ngowi hana shida, anaweza kujenga uwezo (to build the capacity) kwa yeyote na kokote ila akitokea Chuo Kikuu Mzumbe