Тёмный

Professor Jay Feat Harmonize - YATAPITA (Official Audio) Sms 8499592 to 15577 Vodacom Tz 

ProfessorJay
Подписаться 359 тыс.
Просмотров 138 тыс.
50% 1

#Yatapita #ProfessorJay #Harmonize
Yatapita by Professor Jay Feat Harmonize (C) 2018
Sms 8499592 to 15577 Vodacom Tz
YATAPITA OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BoomPlay: www.boomplaymus...
MKITO: mkito.com/arti...
iTunes: itunes.apple.c...
Spotify: open.spotify.c...
Dezeer: www.deezer.com...
Written & Performed by: Professor Jay & Harmonize
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com | mxcartertz@gmail.com |
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 522   
@gadsonmanchester475
@gadsonmanchester475 5 лет назад
Iko poa sana nimekua wa pili kama unamkubali professor jay gonga like
@ancelinhoonlinesport4235
@ancelinhoonlinesport4235 5 лет назад
🔥🔥🔥🙌
@godfreypeter4973
@godfreypeter4973 5 лет назад
Nzur sana mzee wa man japo Chelsea LEO imekutoa jasho nyimbo nzur kila siku nitasikiliza
@gadsonmanchester475
@gadsonmanchester475 5 лет назад
GODFREY PETER sawa kawaida sana ila niliwakosa wamechomokea kwenye mdomo wa mamba
@aboubakarikabambura9390
@aboubakarikabambura9390 5 лет назад
I Like it
@meremetasanga1992
@meremetasanga1992 5 лет назад
Huu wimbo unaweza kupigwa Clouds hata kama wana bifu na Harmonize
@yusuphmadebari1987
@yusuphmadebari1987 5 лет назад
DAMN!!! Mbunge wa ukawa kauwa, konde boy wa wcb kazika..hii ndio nyimbo yangu bora kwa mwaka huu wa 2018.. unataka nyimbo gani tena ww?? weka likes hapa nyingi..imenigusa ila #YATAPITA
@frankmbise7058
@frankmbise7058 5 лет назад
harmonize tz voice yako inakuwaga na hamasa.....255 nipeni like zangu
@officialhomekid3587
@officialhomekid3587 5 лет назад
Kama unaamin YATAPITA wanangu niunge mkono kwa lyke lakoo
@sonkomike6999
@sonkomike6999 5 лет назад
Duuuh haya ninyimeni likes pia hii
@chikumatangwa8314
@chikumatangwa8314 5 лет назад
hata mm sijachelea...kama umeikubali gonga like twenzetu ....YATAPITA😍😍
@Joramkatana
@Joramkatana 5 лет назад
Maisha chuo kikuu yapasa kujiendeleza....NOOOMAAA....mistari yenye mnato...yakubalika!... Big up king of hip hop... Hakuna kinachoshindikana...believe in yourself........KALIII SANAAAA.... Waiting for the video...+254 nawakilisha hapa...ndani ya Mombasani mji wa raha... Gonga like kama unakubali hii ngoma
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Salute sana mimi pia hapa hapa pwani
@joshuamlay6504
@joshuamlay6504 5 лет назад
God song
@manyweretv5177
@manyweretv5177 5 лет назад
namie kukoment kila nyimbo na sipati like yatapita tu
@6paprildate11
@6paprildate11 5 лет назад
Dah hii ngoma imebamba mpaka Nanjilinji ama kweli ngombe hazeeki maini kama umeipenda ngoma hii like twenzetu
@dadyshunaydah5802
@dadyshunaydah5802 5 лет назад
Mmakonde kutoka MTWARA na the heavy weight MC kwenye ubora wao like ili twende sawa km umeilewa hii ngoma
@powertz8913
@powertz8913 5 лет назад
Harmonize is fine man kila ngoma atotia saut yake inakua Kali,,, Ngoma tam ina ladha ya urojo, tende na halwa
@pabloescoberescondido759
@pabloescoberescondido759 5 лет назад
Abuu Rodney poaa
@salehplatnumz6606
@salehplatnumz6606 5 лет назад
Harmoniz katish
@mohamedhante5467
@mohamedhante5467 5 лет назад
Konde boy is fireeeee bt xalte 2 prof jay,ngma kal,beat yeny hcia za huzun
@ZobaTvOnline
@ZobaTvOnline 5 лет назад
Utam tupu
@larychiwangu5758
@larychiwangu5758 5 лет назад
Dua yangu bado nipo nanyi mama zangu wa mboga mboga
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 лет назад
Yaan kama unamkubali harmonize acha majungu punguza wivu yaan konde boy anajua bhana like nyingi kwake please
@ayoubmngarishaji6031
@ayoubmngarishaji6031 5 лет назад
Kama unaamini huu wimbo ungewekwa kwenye RU-vid account ya #Harmonize sasa hivi ungetrend gonga like hapa
@g.p.ubandusa7564
@g.p.ubandusa7564 5 лет назад
Kama una kubali harmonize bila kuhacha mzee professor j pinga like yako hapa
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 5 лет назад
Nachoweza kusema hakuna na hatokuepo Kama prf Jay Kama utaki kalale njoo ugonge like hapa twende sawa
@aronelius9515
@aronelius9515 5 лет назад
Wimbo unatia hamasa mpaka kijijini kwetu wanasema yatapita huku wanelekea shambani....imefika na tumeipokea huku....
@saidimwenda3604
@saidimwenda3604 5 лет назад
😂😂😂😂
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
😀😀😂😀😂😀salute hata mimi naenda chunga ngo'mbe ila yatapita
@alextanzania
@alextanzania 5 лет назад
Nimekusoma brother #Exaud
@victorcephas3618
@victorcephas3618 5 лет назад
Kama unaamini magumu yote unayopitia yatapita gonga like
@akachamilionare8434
@akachamilionare8434 5 лет назад
Yatapita wacha tuhustle kwanza
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 5 лет назад
Kwl
@jumamzelela7723
@jumamzelela7723 5 лет назад
Aminia
@costabeatus4710
@costabeatus4710 5 лет назад
kila lenye mwanzo lina mwisho wake YATAPITA Big up Professional J
@habbievara9934
@habbievara9934 5 лет назад
Jamn mbn m kila SKU m nakoment ila sjawqh pata like zenu naomb like zenu kama mnakubalianq namm kuwa harmonize ni gonjwa LA jiji
@papukagaddafi7998
@papukagaddafi7998 5 лет назад
I can I must I will ..... Kwel yatapit one day yes kama kwel gonga like tusepe
@jamesuronu1306
@jamesuronu1306 5 лет назад
Siku hizi nyimbo zinazoishi ni zile zinagusa maisha halisi ya watu. Ila yatapita.
@gobilyjames566
@gobilyjames566 5 лет назад
Inspiration song. Good job prof jay. Haraf hii ni heat song tiar kama unakubaliana na mm gonga like.
@dharaphylutavi9624
@dharaphylutavi9624 5 лет назад
Ebhnaaa ngoma kalii hakika konde boi u kill it professor j we ni 🔥🔥🔥🔥
@amirimasunda1780
@amirimasunda1780 5 лет назад
Duuuu kweli Yatapita Na Magu Ataachia kwel gonga like
@DEGESTAR
@DEGESTAR 5 лет назад
Kama una amini uchovu wa MOND NA KIBA UTAPITA like hapa ... Ngoma kali
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Salute sana popote unapozipata hizi rap za profesa naomba ugonge na like usipite
@maryamammar1702
@maryamammar1702 5 лет назад
Yatapita maisha haya kazi za dharau 😭😭😭😍
@soyjah347
@soyjah347 5 лет назад
Imeweza saana #211🇸🇸🇸🇸 mark register hapa
@junubstories
@junubstories 5 лет назад
Niko ndani
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Salute sana
@frankrange2515
@frankrange2515 5 лет назад
Ngoma na nusu kama unaikubali gonga like twende sawa
@daudimnazibakari1820
@daudimnazibakari1820 5 лет назад
frank saf Sana
@omymcatalunya2331
@omymcatalunya2331 5 лет назад
Bonge la ngoma sema harmonize nyimbo za matatizo matatizo uko vzr sn bro 💥👏
@calebmasaba5815
@calebmasaba5815 5 лет назад
Haha ety nyimbo za matatizo
@shamirik_
@shamirik_ 5 лет назад
i do beliave in my self ...bonge moja la ngoma ...#yatapita
@dogosideoperator8071
@dogosideoperator8071 5 лет назад
dhaah! hii ngoma kalii nmeirudia kuiskiliza kama mara 4 hv kama unamkubali professor jay gonga like twende sawa
@gbbuku4714
@gbbuku4714 5 лет назад
Nan kasikia MO DEWJI katajwa humu
@mbwanahassan6328
@mbwanahassan6328 5 лет назад
Angelica chanel
@hamzamdoe5242
@hamzamdoe5242 5 лет назад
Clouds daah wanatukosesha mziki mzur xn cc mashabik wakeeeee....
@dominicmwale339
@dominicmwale339 5 лет назад
Kwa wale waliokuwa mbioni kukata tamaa,,, nawashaur ytapta tu kazen
@philoteuslwena3082
@philoteuslwena3082 5 лет назад
hahaha jay wewe mwehu kaka muziki hahahaha yatapita gonga like hapa bhana.
@hamidady7285
@hamidady7285 5 лет назад
Leo zamu yangu..sizijui likes, so sad..bonge la ngoma.
@omaryommy594
@omaryommy594 5 лет назад
Konde boy na profesa jay mambo n fire🔥🔥 kama unaamini yatapita #gonga like
@fadhiljoseph7737
@fadhiljoseph7737 5 лет назад
Ngoma Kali sana dah hujawah kuniangusha brother prof jay
@benjaminmangu4833
@benjaminmangu4833 5 лет назад
Kuna miaka flani hapo nyuma #ProfessorJay alitaka kupotea kwani alianza kufata nyimbo za vijana wa siku hizi, mzee mwezio nimekuwa shabiki wako yangu enzi za HBC! Good song!
@Abdulracheed
@Abdulracheed 5 лет назад
Yatapita naombeni like zenu apa tafadhali
@savimbialex8452
@savimbialex8452 5 лет назад
"Ifikirie kesho yako achana na jana".....kulala visa vihoja mulo kutwa mara moja....bonge la ngoma they have never let me down these two people...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤙
@nestorykakatv7526
@nestorykakatv7526 5 лет назад
yatapita 🔥🔥🔥
@hamzarashid9705
@hamzarashid9705 5 лет назад
Konde boy ni 🔥🔥🔥kama unakubaliana na mm gonga like
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 5 лет назад
nchi yetu na watu wasiojulikana yatakwisha gonga like tuwaumize watekaji😁😂😢
@irfaanr.ismail5358
@irfaanr.ismail5358 5 лет назад
Gonga like Kama Nyimbo imekugusaa 🔥🔥🔥🔥
@ongomacollinssakwah9313
@ongomacollinssakwah9313 5 лет назад
First comment from Kenya.. Shida waTanzania hawaelewi nimesema nini.
@sultanikawambwa4118
@sultanikawambwa4118 5 лет назад
Asante bro!! Hii nyimbo imegusa saaana maisha yangu kupitia kwenye shida na kashfaa nyingi za kimaisha mpk sasa kufika kufanikiwa na nguvu za Mungu tu
@utalymohamed5900
@utalymohamed5900 5 лет назад
Ngoma iko Poa sana 🔥... legend jay na konde boy.. mnajuwa🔥🔥🔥
@chrissbreezy6540
@chrissbreezy6540 5 лет назад
Motoooooooooo wapi likes za mheshimiwa
@kamatasangija383
@kamatasangija383 5 лет назад
najua unapata tabu sana wanakutukana ifikilie kesho yake achana na jana,#prof jay umeflow vizur sana umeturudisha enzi zako
@ditricknyamika1361
@ditricknyamika1361 5 лет назад
Kama umeikubali hii ngoma gonga like hapa👊👊👊
@OkOk-xf8ix
@OkOk-xf8ix 5 лет назад
Kutokupata like kila nikicomment yatapita 😂😂😂
@ibrahimnassor
@ibrahimnassor 5 лет назад
Miziki hua wana imbaga wa Kenya tu..bora mzee baba ulivo urudisha tena ReturnedOfBongoflave
@emmanuelisaya5784
@emmanuelisaya5784 5 лет назад
Konde boy nakukubali sana watapata ngoma kali
@johnchita2375
@johnchita2375 5 лет назад
Yatapita tu,sijawahi mkubali Harmonize kwa kuiga sauti ya Diamond ila hapa katisha sana. Mzee Jay umetisha ngoma inatia hamasa kutokubali kushindwa.
@eugenelucas4515
@eugenelucas4515 5 лет назад
Jay umegusa story ya maisha yangu, Mungu akubariki.
@laughlov663
@laughlov663 5 лет назад
Naickilza inaisha naisikilza tn Inaisha naskiza tn, imeisha nairudsha tn naona usumbufu kuirudia youtube, nai-download, naweka repeat.. #Yatapita🎶
@louisoscar7128
@louisoscar7128 5 лет назад
Best song.. harmonize n prof jay mnajuwa aisee ... yote yatapita... ngonga like if u like the song..😊😊
@slimpirate6020
@slimpirate6020 5 лет назад
Kazi safi...
@khalfanmohd5807
@khalfanmohd5807 5 лет назад
Wema sepetu avunja ndoa ya dogo janja na Irene uwoya angalia hapa tafadhali
@ibrahimpius893
@ibrahimpius893 5 лет назад
Huu wimbo unaweza ukautumia kuwatafuta watu wasiojulikana na wakajitokeza #Yatapita
@youngkillermsodoki7664
@youngkillermsodoki7664 5 лет назад
Daah kama imekugusa gonga like
@simaotv8560
@simaotv8560 5 лет назад
Young killer Msodoki msodooooooooooki Noma sana
@simaotv8560
@simaotv8560 5 лет назад
#zujo ft young killer msodoki itakua poa
@yangasc929
@yangasc929 5 лет назад
Ata mimi nina imani kua YATAPITA tu.
@godwinbernard8792
@godwinbernard8792 5 лет назад
Nimesubiria kwa muda mrefu mistari yako mawe yenye kugusa maisha halisi hatimae umefanya prof. Konde boy kaua asee... Bonge la inspirational song kwa mwaka huu.
@abdibilali950
@abdibilali950 5 лет назад
Harmonize hujawahi kukosea ngoma unazoimbaga hukoseagi God da bless ma best
@VIVA_ROMEO
@VIVA_ROMEO 5 лет назад
Harmonize uko juu kakangu.....prof jay anatisha pia....wimbo wenye mafunzo wasee, proud of ua work
@mohammedmwamba307
@mohammedmwamba307 5 лет назад
professor loongi since 1995 big up wa gwan tupo hip hop mpaka kesho
@marcelinombowe9246
@marcelinombowe9246 5 лет назад
Nmeiskiza sana yaniii. Na angalia dreams I have ... Najiuliza ntatusua kwl.. I will never give up .. Mpaka last breath.
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 лет назад
daa kunde boy kwasasa unaweza fanya ata bila kutegemea WCB ase naukatikisa sana aseee maake sio kwa Voice iyo mkal Big Up sana kwa mzik mzuli bila kusaau mbunge wtu wa mikumi
@goodluckaugustino5486
@goodluckaugustino5486 5 лет назад
Nyimbo nzur sana kaka #Joseph....haki kikwer imejawa ujumbe wenye kutia moyo na faraja aswaaa nashinda nausikilza kila wakati
@omariissa4880
@omariissa4880 5 лет назад
Like kama unaikubal hii ngoma
@hajilitonick1706
@hajilitonick1706 5 лет назад
Izi ndo nyimbo mzee.Sio inama inama nashindwa kuskilza na wazaz apa maskani
@victormanwela
@victormanwela 5 лет назад
i think harmonize if he continues working with mature artist like prof he will be king
@Bin_dhiyab
@Bin_dhiyab 5 лет назад
Ninapo pata kidogo naweka......... (Maliziaaa kama umeusikia mstari huuu)
@amanimrema8305
@amanimrema8305 5 лет назад
Nice talent
@aishakichunachamjikasoro9411
@aishakichunachamjikasoro9411 5 лет назад
Mkongwe prof jay uzeeki tu bado unatupa radha tofaut tofaut za ksanaa. YATAPITA. iko poa sana pia hongera ziende kwake HARMONIZE
@goldenkingmedia451
@goldenkingmedia451 5 лет назад
Harmonize umebadlka sana humu that is a music nw #congrats 👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@shamileymohamedy3283
@shamileymohamedy3283 5 лет назад
Ahh!! WCB hamkoseag kabsaaa aniii Konde Boy mi nmeipenda sanaaa hii nymboo 😘😘😘
@yusuphmushi1444
@yusuphmushi1444 5 лет назад
hatariii weka mbali na washamba konde boy muheshimiwa yaaani ni nooumaa saana
@mohamedjimia3535
@mohamedjimia3535 5 лет назад
dah nyimbo yangu ya mwisho wa mwaka aise
@chaggaogtz8125
@chaggaogtz8125 5 лет назад
Jah bless Professor J and Harmonize#amna kinachoshindika pale unapojituma na kuwa na imani kuwa yote yatapita✊
@drmalaikah8958
@drmalaikah8958 5 лет назад
Dah kujarbu kwang ndo kwanza npo no. 4 ... any way YATAPITA ..ngoma kali sana ...
@abdulhussein2533
@abdulhussein2533 5 лет назад
Aisee huu ndo muziki mzuri mpaka wenye vibamia tunajichanganya na wengne hum
@delav3237
@delav3237 5 лет назад
Kutoka +254🇰🇪 Hii imeweza...Jay na Harmo it's lits💥💥💥
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 лет назад
Unapitia mengi ila mambo hayendi, I CAN✍, I MUST🙏, I WILL💪💪 km Mengi... Uskate tamaa ongeza tu juhudi pambana #Yatapita🔥🔥👌
@naftalisima3943
@naftalisima3943 5 лет назад
ngoma Kali sana gonga like twende sawa
@GiftRandu
@GiftRandu 5 лет назад
I'm from Afghanistan and I don't understand Swahili but haya yote tunayopitia huku kwetu yatapita tu..
@ramadhankiwango421
@ramadhankiwango421 5 лет назад
Gift Randu hahaha
@abuuabuuamed5366
@abuuabuuamed5366 5 лет назад
kazi nzuli sana harmonez ujawai kukosea nakuelewa sana wcb family
@nenzobella9751
@nenzobella9751 5 лет назад
Qariii sana #kiongoz wabinadamu nawanyama #kondeboy wewe.shikamoo
@AsuuVideo05
@AsuuVideo05 5 лет назад
PROFESOR JAY ..HAPO SAWA..SHIKILIA HIPHOPO YA BONGO FLAVA..HARMO..CHORUS..UMEFUNIKA..ASANTE.
@kamatasangija383
@kamatasangija383 5 лет назад
kama unaamin kondeboy kaua kinoma noma gonga like
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 5 лет назад
Sauti ya harmonize imeingizwa vby sikilizeni vzr shabiki wa harmonize👈
@scottink3268
@scottink3268 5 лет назад
Kama wewe ni derev boda boda kama mimi...yatapita
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 5 лет назад
Huyu ndio prof jizeee na Konde boy..hii ni 🔥🔥🔥🔥✅💯💯
@milldeeke3982
@milldeeke3982 5 лет назад
daaaaaah harmonize hujai angusha fans wako.... #254 🔥🔥💯💯✔️
@mr_yassinofficial
@mr_yassinofficial 5 лет назад
Ngoma kali saaana salut mzee professor na konde boy tuko pamoja bujumbura
@andrewmaganga576
@andrewmaganga576 5 лет назад
Huyu ndo fundi prof j,achana na ubunge utupe music mzuriiii
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 5 лет назад
Iko poa sana brother Jay, Kama utaifanyia remix hiyo ngoma kwenye verse ya mwisho au ya kati muweke Fid q kama itawezekana
@muhinasundi1206
@muhinasundi1206 5 лет назад
Yeah! "YATAPITA" Kijiwe brother J.... but.....yatapita.....Music..........legend J.....LEGEND....