Still 2023, and I cherish the song, great inspiration and iconic music. For those who will see in future, embrace great architecture in music rhythm and composition and surely the generation will live to listen to your colourful lyrics.
Immediately they start singing you can feel and see their bolstering confidence, the way prof Jay opens up and how Diamond steps forward like a real gangsta. These 2 are ORIGINALS.
2 Corinthians 3: 17 Now the Lord is Spirit: and where the Spirit of the Lord is, there is liberty. 18 But we all, with open face beholding as in a glass the glory of the Lord, are changed into the same image from glory to glory, even as by the Spirit of the Lord Amen .
Sio kila jogoo ikiwika ni asubuhi 👌👌👌Mungu walaze pema waliosemwa wakajiua, ingiwa wote tunapita na amini maisha ni hatua-:😥😥😥 maneno ya watu sumu yanaponya na ya naua, mungu nipe ujasili mpaka siku ukinichukua, wape nguvu wale wote waliokata tamaa, maneno ya watu yanaleta hila na mzozo kwenye mitaa -: u are a legend
Kipi Sijasikia ni ngoma.ambayo inanikumbusha rafiki yangu ambaye kwa Sasa ivi Ni marehemu alisikia nikiimba darsani akaniambia tukitoka shule kuelekea nyumbani tutaenda mpaka kwao anionyeshe video ya hii ngoma,,huwa nikisikia tu hi ngoma ni Kama namuona vile yaani#RIP broo #Music with.memories🙏🙏
2021 january 20th on wednesday. Niko hapa Bado, ALLHAMDULILAAH. Ni kwa ajili ya Allah nipo hai. May God bless you guyz to the fullest. Barikiweni zaidi ya sanaaaa. "Riziki hamuezi ziba labda tu muicheleweshe."
I love how diamond acknowledged this legend and collaborated with him... respect your OG and understand the game from those who've been there for so long! #from Kenya
The Professor never disappoints. Been listening to this since 2014, it never gets old......a masterpiece and one of the realest songs invoiving Diamond.
Niko hapa Leo baada ya kuzindua foundation yako all the best proffesa Jay kuna siku niliwahi kuamka usiku kuomba nakumlilia Mungu akuponye Leo nimaombi yangu Mungu azidi kukuimarisha
2024 Nipo hapa kwaniaba ya @Rebecca Munga muuzaji maarufu wa korosho Diani beach Kenya. Anajiamini na ni mwanamke bomba ukipata hii comment comment kama mkenya