Jazakallah kheri Mashekhe Wetu kwa Maelezo ya kina hakika tunazidi kujifunza mengi na kujua historia pamoja na kujua haki sisi kama waislamu ni Juu yetu kuipigania Palestine kwa kila tuliwezalo.. mkono kwa mkono hadi Al Aqsa
Ndio mafunzo mkiwa km nchi hamtakiwi kuwakaribisha n kuwaachia kila kitu wageni mwisho wa siku wanazaliana na kuchukua nchi tunayaona hayo kila sehemu wageni wameajiria wakat wananchi hawana kazi
Mayahudi ninavyo jua ni kizazi ya nabii ismail na walikuwepo pale Palestine wapo misri yemen iran ila hawa walio vamia Palestine wanatoka ulaya baada kuuliwa sana na ujeruman