Kilonzo ataambia Wambui na Eunice nini? House girl amesema ako na mimba na ni ya Kilonzo, Kilonzo anaruka iyo story lakini imebidi amtaftie kwa kukaa, boss wake hawezi lea mtoto wa house girl. Kilonzo ataambia Auntie Jemimah nini? Masaibu ya kilonzo imezidi tenant hawezi kaa na house girl akiwa na mimba #Vitukozakilonzo #mcpiento #kilonzoauntiejemimah #caretaker
28 сен 2020