😅Am glad i dont belong to any church dio niitishwe magongona.tindai o hau na magongona.am blessed and more blessed.bora i follow the word of God and do his will and be righteous no ndingienda ungui wa pastor.kabla waniambie nijenge kanisa.Mungu lazima amalize chenye ameanza.pastors mjitume,kusema you are called full time ni kusema uko na ujinga fulani but mtakula kwa mafala wenye hawajui what the bible says.niî gutîrî mundu ungijira about my future,my mighty God has it.kuambiwa ati pastor amebeba your blessings!my sister's in Gulf let me tell you.wakati uliamua kuenda Gulf dio ulianza kujituma n the bible says God bless the work of your hands.open your eyes guys
Mungu si kanisa mungu ninroho yako.na kumjua mungu sikuenda kanisa,ni kumtii kwa njia ya laws n his commands .but to these churches we don do that ata all.na hata hatutakanga kusikia hiyo maneno
Kanitha yama no imwe na mwathani niogite niriku ndani ya math:25 kusaidia maskini wanjane na wenye shinda si kutoa magongona na kujenga dens of thieves waisrael ambao ni sehemu muhimu ya wokovu hawana makanisa Wana mahekalu Sawa na waislamu hakuna jina la mtu na bibi yake kwa hekalu ama msikitini hizi zingine ni biashara za watu
But in gulf Hawa warabu wako n madhabahu strong inaelekeza watu kwa lesbian, marstabution, which will end to spirutal husband so kaa uko gulf jishikanishe na mungu sana Tena kuomba zaidi juu ya uzao wetu bcoz they will end worshipping devil without knowing
If you want to help pple,stop beating the Bush tell us who and who, mention the church ,hiyo utakuwa umesaidia but if you speak with parables you are not helping
Thank you Ba Mercy for bringing this man on this show! But it is of no help to the viewers since you are not coming over to help people know which churches. Si watu wataendelea kuwa initiated to demonic churches. Kama hataji hair ma pastor kwa majina anyamaze for ever. Ama yeye ni mmoja wao?
Hapo sana I wanted to comment that but you have said it, coz sioni haja ya most of pastors keep saying some churchs are worshipping devil but they are not mentioning them what is the need?