KIFO CHA MTUME ni Qaswida nzuri sana na yenye kusisimua pindi utakapoweza kuisikiliza. #qaswidamurua #qaswidaswahili #kaswida #kaswidanamawaidha #nasheed #islamic#nurdinabdullah #sheikhnurdinkishk
Alhamdulillah kwa hii qaswida hakika Na mi ni mmoja kati ya waliomo ndani yao Allah Atujaalie tuwe miongoni wa watu wa kukutana na Rasulillah (S.A.W) ❤
Toka siku nimemsikia siku ya kwanza nilijikuta machoz yananitoka subhanallah IPO moyon na sichoki kuisikiliza huwa unanifanya nijione mm ni nan ninaejisahau kwamba IPO siku na mm nitaondoka kama mtume WA mwenyezimungu yalimfika mauti
Hii kaswaida kipindi inatoka nilikua na mwanamke nilimpenda sana kusema kweli ila alikuja kunikataa hivo kila nikisikia inanikumbusha kipindi hicho tupo kwenye upendo wa dhati
Yaani kaswida hii ni murua sana yaani imeimbwa vizuri sana. Yaani nikiisikiliza inaniingia kabisa ktk moyo wangu kila siku naisikiliza . Tunaomba kaswida nyingine kama hizi. Mola awarehemu umati Muhammad wote waliotangulia mbele ya haki.