Тёмный

QASWIDA YA PEPONI.SALAMA SALAMA ILIVYOSOMWA NA MABINTI WA MASANGE BAADA YA KUOMBWA NA MWINYIBABA . 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 232 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@Bisada-y3u
@Bisada-y3u 11 дней назад
Vipenzi vya mtume mzidisheni maghaba 🥰🥰 mungu awazidishie
@hidayarizikimatanga3955
@hidayarizikimatanga3955 3 месяца назад
Mashallah na iwe salama 🙏🏻aimanah❤🥰
@omaryyahaya-jg2de
@omaryyahaya-jg2de Год назад
Masha Allah Omar yahaya
@surusuru1994
@surusuru1994 3 месяца назад
Mashaashaallah❤kondoa❤
@hamedahameed148
@hamedahameed148 Год назад
Mashaa Allah Kwanza nimependa walivyo jistiri
@abuabdirahman114
@abuabdirahman114 3 месяца назад
Waliwatukana sana dada zetu walipo anza kuvaa nikabu leo nawao wamezipenda wamezifanya ndo sitara yakuimbia nyimbo nakupika madufu
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 2 года назад
Namuomba binti mmoja hapo awe mke wangu... Mkinijibu natuma namba zang
@NEEMATARASISI-ck1nu
@NEEMATARASISI-ck1nu Год назад
Sosi
@husseinomar3601
@husseinomar3601 2 года назад
Kwako kwao ni sunnah
@hidayarashidi4332
@hidayarashidi4332 2 года назад
Bidaa tupu
@nassorabdallah5115
@nassorabdallah5115 2 года назад
Acha kufuru wewe
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 года назад
NA bidaa zipo namna mbili. Nenda kasome NA hilo pia, sio kujua neno bidaa tuu
@alindaro7978
@alindaro7978 2 года назад
Hawa ni wanawak iko sawa sio bidhaa...mana wakati Mtume S.A.W aingia madina alipokelewa na wanawake kwa madufu akimbiwa .
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 года назад
@@alindaro7978 WEWE HUJUI HADITHI ZA NASIKH NA MANSUKH. ndio ipo hadithi Mtume saw alihalalisha DUFU. Lakini Mtume saw akatoa hadithi nyengine ya kuharamisha DUFU kwa wanawake. Kwaio kujua hadithi moja katika dini hakukufanyi utoe fatawa. Hio haiko sawa. Ni hadithi zilizofutwa kisharia. Ni kama aya ya mwanzo ILISEMA pombe msinywe mkisali tu lakini haikuwa kharamu, na ndipo ikaja aya baadae ya kufuta fatawa ya aya hio NA kuja aya ya kuharamisha moja kwa moja. Sasa haya mambo ya fatawa ni mambo mazito lakini wengi hujiropokea. Hio haitwi ijitihadi bali inaitwa kutoa fatawa kabla kujua.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 года назад
@@alindaro7978 nilikuwa najaribu kumfunza huyo anae sema bidaa ili ajifunze kuna bidaa zilizokubaliana NA sheria ZAFAA NA kuna bidaa zinazopingana NA sheria. NA bidaa ina MAFHUMU mawili. Ni mada pana lakini waislamu wa skuizi tumezoea kupopoa mambo tu kila mtu AONEKANE shekhe.
Далее
#kikakim
00:17
Просмотров 7 млн
QASWIDA YA NADIU KALAANA KWA NAI MASHALLAH
7:21
Просмотров 20 тыс.
#kikakim
00:17
Просмотров 7 млн