Тёмный

Qauli Hii ni Sahihi Kabisa Kutoka Kwa Duktur Islam Mohamed Salim 

ALI FAZA
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@hemedhamdan
@hemedhamdan Год назад
Assalaamu 3alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh. Ndugu yangu hivi unavyofanya nahisi sio sahihi, kwa sababu aliyeongea maneno hayo hakutaja majina ya mtu, na wewe unapoweka picha za watu na kuwalenga wao, unamchafulia jina aliyesema au unakuwa ni kama uliyemzulia... mwishowe huenda yakaleta uhasama na fitna. Nakuomba tujitahidi kuwa na insaf katika mambo. Shukran Wabillaahi Tawfiq.
@HassanDakane-te5sn
@HassanDakane-te5sn Год назад
Masha ALLAH shek ALLAH akuhifadi 💛🙏
@aliathman7609
@aliathman7609 Год назад
musipende kuweka picha za mashekhe wengine juu ya video ya mzungumzaji.hii ni fitna munaleta.duktur hakumlenga sheikh bachu.
@babubabz4507
@babubabz4507 Год назад
Wacheni unafik kabisa sasa hujui kma Dr islam mwenyewe amempa nafasi mohamed bachu katika msikiti wake mwenyewe ingekua hajasoma wala hangempa nafasi. Hini yote mwataka kufanya maulid yako sawa wakati mwajua wazi kuna makosa katika maulidi😢😢
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Год назад
Haya ni matatizo ya mawahabi kupishwa msikitini haimaanishi una hata wakatikiwa na safari huomba nafasi wakapewa
@babubabz4507
@babubabz4507 Год назад
@@shilingi-Ahmadi sasa na ww umetokea wapi wakati sheikh mwenyewe ndio amemuita akampa nafasi aonge mbona hakumpa mtu yoyote
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 Год назад
kwenye maulidi kuna makosa gani maalim hebu tuambie ila angalia usije kujiona mwerevu kumbe mjinga
@babubabz4507
@babubabz4507 Год назад
@@ismailjuma3692 ww wajua maulid ama waongea tuu kuna makosa mingi sana wajua watu wangapi ndio time yawo ya kutongoza siku za maulid wajua hilo pili zile ngoma zinaolia msikitini jee vipi mambrui kuenda kulia kwenye makaburi siku ya maulid vipi zile nyimbo wakati wa zeefe na mengine kibao
@babubabz4507
@babubabz4507 Год назад
@@ismailjuma3692 me nimekua mtu wa maulid kwa miaka 20 lkn nimekuja kuona hakuna faida ila ni hasara zaidi nikapata na dhambi bure
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Год назад
Jaribu kuwa mkweli kweny clip zako??
@atr._jeychuke3257
@atr._jeychuke3257 Год назад
Mashaallah kwele kabisa❤
@KGONLINETV-i7z
@KGONLINETV-i7z Год назад
Ni kweli bachu na ali hata mm nawashinda sana tu
@saeedabdallah-q7y
@saeedabdallah-q7y Год назад
Asalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatu aliyetuma video hiyo ALLAH atamhukumu na malengo yake
@saidsalim2386
@saidsalim2386 Год назад
Ukweli lazima usemwe
@hamzamohamedKeslivol
@hamzamohamedKeslivol Год назад
wallah Leo nimefurah sana kuona Dr Islam kuzungumza mada hiyo
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Год назад
Maneno ya kweli Sanaa na twajionea wazzz watu kama Hao katika zama tulonazo Allah atuongoze xaidi sote
@abuuhafswaawadh261
@abuuhafswaawadh261 Год назад
Hata mkate vipande sisi tunafuatilia Darsa zinazo tolewa na masheikh zetu hapa haihusiani na bacho wala Ally kwa wanaofutilia Daawa wanajuwa kuwa sheikh Muhadhara huu kautolea Tanga masjid Al-.......
@successpathnetwork
@successpathnetwork Год назад
Out of context... Alama ya unafiki aliyetoa mawazo ya kutumia video hii ili kupotosha. Allah anawaona
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 8 месяцев назад
Ali faxa neno la haki umekusudia batwil
@yussufsaid8223
@yussufsaid8223 Год назад
RU-vid yko unataka kugombanisha watu na usipende kuchukua kipande kifulan ukakiweka kwa maslahi yko shekh Islam amemkaribisha shekh Muhammad Bacho kwenye mskiti wake km anaona ivo unavo dhan ww asenge mkaribisha kwenye masjd yke acha unafik shekh kua na insaaf na unapaswa uweke clip mwanzo adi mwisho
@mafundisho81
@mafundisho81 Год назад
🎉wacheni fitna
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 8 месяцев назад
Sheikh Albany alikuwa KWENYE shibri ya ngap
@MustafaSambala
@MustafaSambala Год назад
Angalieni upande wa kushoto .. walivyokuwa wamoja .. na wanatouti zao . Lakini uislaam .. unafiki ndo .. makao makuuu ndani waislaam
@yasiniselemani3917
@yasiniselemani3917 Год назад
Wale shetani keshawapoteza hana muda nao tena shetani yupo kwetu na mashekhe wenyewe ndo wamewakaribisha kwa hii mijadala kuwagawa watu mara madhehebu shetani nae akaamua kupita nijia hiyo hiyo acha inyeshe tuone panapo vuja
@musakibwana4596
@musakibwana4596 Год назад
Tubadilike waislamu. Hata makafiri wanazo tofauti lakini kwakuwa wanajua adui yao ni muislamu wanaweka tofauti zao kando kutushuulikia vilivyo. Badala tuweke fikra zetu pamoja kupambana na adui wetu sote tunachonganishwa na kuzozana sisi kwa sisi wakati makafiri wanaedeleza jamii zao. Angalia shule zao! zahanani zao. biashara zao! nafasi katika tawala zao! utunzaji wao wa maaskofu na viongozi wao wadini! hata baadhi ya nchi kama tanzania inasemakana zinaendeshwa na mfumo kritsto. sisi ni kuchambana tu. nasikitika mashekhe wetu hawana agenda juu ya jamii wanayoiongoza mazingatio yao makubwa ni kuoneshana nani kashiba elimu tu.
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
Ndio mawahabi wapotofu hawana ilimu mwenye ilimu hawajisifu wala kujiona
@mbarouksaadhussein290
@mbarouksaadhussein290 8 месяцев назад
Jaman watu wa mitandao msifanye fitna Dr Islam hajamzungumzia Shekhe Ali wa Shekhe Bachu Apo ila ni fitna Za watu fulan ila ukiangalia izi picha zengine utawajua tu waliotengeniza ii fitna na ku edit it clip ya Dr Islam
@Chiefdomain
@Chiefdomain Год назад
Wapi amesema kuwa anawalenga waliowekwa kwa clip hii.. jichunge akhi ,
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
😂😂Mgeendelea kuziacha picha zao kina Bacho na Aly mpaka mwisho wa vidio ingeleta maana lakini kutoa na kumix kisa Dr islamu anasema haya Wekeni na ile anayopinga Maulid alafu muweke picha ya Sabas na Yusuf Diwan
@JamalAbdallah-m1o
@JamalAbdallah-m1o Год назад
Tulia dawa iingie
@bagalucha
@bagalucha 10 месяцев назад
Masufi hawana tofauti na mayahudi;wao ni uwongo tu,anaekusudiwa hapo ni huyu ustadh Said Vinandada wa mambrui,a Hana new na Bachu ambaye ni Bahari ya elimu,Allah amuweke Ampe Afya njema,Simba wa Allah,mtawaombea sana mabaya,tena mtakufa na roho zenu mbaya mazindiq nyie.
@techdream8852
@techdream8852 Год назад
Wachaaa ujinga ww unamweka dktr kwa upuzi Dktr amempa shkh bachu nafasi kazungumuza katika misikiti ama huna habaari
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c 10 месяцев назад
MAWAHABI UKISHAPATA CHETI TUU NDO USHAKUWA SHEKHE HATA KAMA DARASANI ALITOKEA WA TIRO NA KAMA HUNA CHETI KWA MAWAHABI WEWE SIO SHEKHE HATA UWE NA ELIMU GANI KAMA HUNA CHETI WATAKUDHARAU
@babubabz4507
@babubabz4507 Год назад
Wakati ule msela wa watamu alipokua akitukana masheikh mulikua wapi sahi mumepata kijana damu iko moto Hawaeki anawakosowa vibaya sana bila kuogopa ndio mumeanza kulalamika aibu imetoka sasa hamna pahali ya kujificha 😅😅😅
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 Год назад
Ana elimu gani yakukosoa watu huyu?
@ابومعاذاحمدناصر
Ali faza acha unafik
@AmaniHepautwa
@AmaniHepautwa Год назад
Said 0mar Ashiraazy mbn hujamuweka na yeye ni mchanga mno
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Год назад
Hajafikia kukosoa wanavyuoni wala kudharau masheikh waloikhtilafiana nawao wala Hajafikia kukufurisha ummah wala kutoa hukmu ya Aina yyte naiyo ni kutokana na kusoma adabu kwnza Kisha ndio akasoma elimu
@SaidMohamed-xt9yr
@SaidMohamed-xt9yr Год назад
Hayo maneno ya shekh hayahusiani na sheikh Muhammad Bachu Yeye anapinga bidaa na upotovu
@SaidMohamed-xt9yr
@SaidMohamed-xt9yr Год назад
Na ndo maana akikosea anajirudi Yeye ni mpinga bidaa Acheni kupindisha
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Год назад
​@@SaidMohamed-xt9yrswadakta
@jumu1964
@jumu1964 Год назад
Hoja 19 kwanza achen kupotezea nyinyi masufi
@kherimakame212
@kherimakame212 Год назад
ukitak kujua huyu jamaa fuatilia kuhus mwez upi ufuatwe na yy amesem vip na muhamad bacho anasem vip ndoutamuelewa anachoongea
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Год назад
Hahahah ety maneno ya Dr Islam huyo hajakusudia bachuu Wala sheikh ally abubakar
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Nyie masufi hata mueke video ngapi Maulidi ni haramu uchafu
@darajanida
@darajanida 3 месяца назад
ni haramu naswi gani akhiy
@rashidandayi5514
@rashidandayi5514 Год назад
Mbona waweka picha za masufi na msemaji ni wahabi.. Uko wapi kaka
@ابومعاذاحمدناصر
Eeee masufi tena ?
@hadanahadana4205
@hadanahadana4205 Год назад
Acha kutukana huwo sheikh Mana tunafaidika n'a darsa zake
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 Год назад
Wakikua wataacha.ashabaab nisful-junuuni.ujana ninusu yauendawazimu.
@jordan.3109
@jordan.3109 Год назад
Nyinyi mashia kazini yenu ni kuabudia makaburi na roho mbaya tu hamna chengine.
@Captainome
@Captainome Год назад
Wacheni unafki wenu masufii makhurafiii huyuu ameeka pic ya mashekh apate views kama mshaelewa huezi kutufitinisha wala kutia chuku baina shekh dr Islam katika vita vyenu na Muhammad bachuu musitutoe kwenye hoja yundo 19 ziko palepale mwambie saidi na fadhil wajitokezee.
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Год назад
khurafi babko na mamako na sufi babako na mamako
@Captainome
@Captainome Год назад
@@mafiatv5479 sasa unakataa majina yenu masufi wakubwa wapuzi round hii hamta a wadhulumu waisalamu wadogo wadogo.hata ukatusi ndivyo mlivyo masufi ma kukhurafi.
@Mukhlis-w8k
@Mukhlis-w8k Год назад
Bila shaka video haijataja jina la mtu lakini sifa za hawa walioekwa hapa wanaendana nazo hadi leo kuna masheikh wakubwa wa kiwahabi lakini hawajaonesha kuvuka mipaka kwa masheikh wenzao Bachu ajifinze Adabu na Heshima Elimu ni pambo kwa watu wake jipambie na sio kibri
@medimisi6930
@medimisi6930 Год назад
ni unafik. maana huyu dr islam hakubaliana na bidaa kAbisa yakiwemo hayo maulid tafuta mawaidha yake yapo mengi. tu yakupinga maulid na bidaa kama hizo.
@muhsinsalim6257
@muhsinsalim6257 Год назад
Ilikua hakumjuwa kama ni jaahil huwezi ku.mfananisha bachu na Doktoor lslam kabisa kabisa, mwambieni akasome asiwadanganye na ilimu yake ya rawdhwa
@AbdulAziz-q3o4m
@AbdulAziz-q3o4m 8 месяцев назад
Acha fitna
@MustafaSambala
@MustafaSambala Год назад
Hivyi nyinyi waislaam mbona mnabishinian vitu vya kijinga Sana ..
@OmarSaid-nt2xd
@OmarSaid-nt2xd 3 месяца назад
Fitna
@muhsinsalim6257
@muhsinsalim6257 Год назад
Anaesema maulidi ni uchafu yy pia nimchafu wakupindukia akichunguzwa mutaona aibu zake jinga ww jahil murakkab
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 Год назад
Maullid ni bih’daa nani uchafu ndy…na haifai kwa hoja na dalili
Далее
Day 2 | IEM Rio 2024 | Playoffs | КРNВОЙ ЭФИР
6:11:51
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
02 CHAKULA CHA MATANGA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
9:21
Просмотров 4,7 тыс.
Day 2 | IEM Rio 2024 | Playoffs | КРNВОЙ ЭФИР
6:11:51