Congratulation to all for the good song, May Almighty God bless you all abundantly and fullfill your ambitions each one of you for wherever you go and whatever you do,more congratulation to priest kisaka
Aisee mmefanya kazi nzuri sana. Sana kwa kweli, beats, sauti, vocals, dressing, dancing steps aisee mpo juu sana ndugu zetu. Am proud of you guys! Mungu wa Baba yetu Kuhani Musa awainue kimataifa. Mzidi kung'aa kimataifa kabisa. Hii song inatakiwa iuzwe online katika platforms kubwa. Yesu Kristo wa NGOMENI akatangazwe kimataifa kupitia nyinyi. Once again congratulations Mungu awainue zaidi katika karama na kipawa chenu cha uimbaji