Тёмный

Raddi kwa Mtoto wa Bachu || Juu ya Fatwa ya Shikh Uthaymiyn || Ust Abdallah Shee || Part 1 

waladul Ikhlaas
Подписаться 605
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@Muhsinbute
@Muhsinbute 4 месяца назад
Yaa salaaaam baarakallaahu fyk sayyid Abdallah, uko swahihi kabisa mola akuzidishie kheri
@waladulikhlaas7870
@waladulikhlaas7870 4 месяца назад
Amiin shukran usatdh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 4 месяца назад
Shukran
@Captainome
@Captainome 4 месяца назад
Hebu tuambie hii ADABU NA MTU KUWA NA TABIA MZURI KUREKEBISHA KOSA HUWA VIPI KWA MAANA Omar (R.A)karebishwa on the spot na akakubali khalifa wa kweli.mbona mmekuwa watu wakukimbilia kichaka cha ooih hana tarbia.basi asomeshe pia kukataza kusujudia makaburi kina barzaji shirki kibao.bachuu . Allah akuzidishie elimu yako sunnah innuke zaidi in shaa Allah
@yussufhajj4129
@yussufhajj4129 4 месяца назад
Mashaallah ❤❤
@MuftiGunda
@MuftiGunda 4 месяца назад
Mashallah. Inafurahisha kwamba Bado vijana wanaojielewa wapo
@darajanida
@darajanida 4 месяца назад
naam hata mimi nimefurah insha allah laakin tujitahu-id kusoma ili tuitetee dini yetu allah atujalie ilmu yenye manufaa
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 4 месяца назад
Mashallah Mashallah Mashallah
@swabirattwas.12
@swabirattwas.12 4 месяца назад
Mashallah
@hamzazein8542
@hamzazein8542 4 месяца назад
Masha Allah ❤
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 4 месяца назад
Maa Shaa ALLAH 💚
@SwafiyaAlhussein
@SwafiyaAlhussein 4 месяца назад
Sawa sawa umesema vizuri kabisa nakufahamika asofahamu hatafahamu tena abakie na
@darajanida
@darajanida 4 месяца назад
muhammad bachu wacha ujanja ujanja hii nidini alla atungoze sote insha allah
@CubeedCali
@CubeedCali 4 месяца назад
Mungu atuhifadhi na makhawarij
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 4 месяца назад
MASHAALLAH
@BaburaIssa
@BaburaIssa 4 месяца назад
mashaallah naona kila mmoja atetea shekhe lake
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 4 месяца назад
Mashaallah
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 4 месяца назад
Mabasha hawa kazi kufumua watoto.ustadh wakweli hanyoi ndevu alivonyoa uyu mtu
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 4 месяца назад
Mungu akusamehi kwa maneno yako machafu ana aihifadhi famialayako nama neno macafu kama hiya kwako
@arifali3942
@arifali3942 4 месяца назад
UNA JIB LA KUJIB KESHO KIAMA KWA ULILOLUSEM CHUNGA SSNNA
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 3 месяца назад
Mawahabi mbona hampendi kukosolewa
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 4 месяца назад
Uislam wa technology una balaa na fitna kubwa sahii huez skia kasema mtume sahii ni kasema technology ya mzungu na dalili ni twaona Kila kitu mambo yako wazzz😂😂mtume apo ameachwa nyuma kiac sababu technology hakuzipata ALLAH ATUONGOZE SOTENI INSHALLAH
@MuhsinAhmad-vh4ck
@MuhsinAhmad-vh4ck 4 месяца назад
Bachu kila ukiwakoseya adabu wanazuwoni mungu hukushusha chini ,utashuka hadiqiyama
@iddimutua420
@iddimutua420 4 месяца назад
Wewe tazama video vizuri Mohammed Bachu hajamkosea yeyote kafanya sawa lakini yenu ni ushabiki tu wala si dini
@mohammadathman616
@mohammadathman616 4 месяца назад
Kweli kabisa
@hudheyfanassir601
@hudheyfanassir601 4 месяца назад
MASHALLAH
@MakameMaliwaza
@MakameMaliwaza 4 месяца назад
Jembeeee
@waladulikhlaas7870
@waladulikhlaas7870 4 месяца назад
Jembeee
@ShabanHassan-td3lx
@ShabanHassan-td3lx 4 месяца назад
Wah Abdallah mche Allah, akhiy Muhammad ameonesha kujishusha kwa hali ya chini, kwnye clips hiyo.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 4 месяца назад
Kaonesha utovu wa nidhamu kajishusha kwa lipi wkt bado ni mtu mjinga na ana kosa adabu
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 4 месяца назад
Masufi Munauzunisha kama wewe hatachembe ya elim kupambana nabachu huna kumradi mtu toa aya nahadidhi ndo utaeleweka lasivyo wenimtupu kielim
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 4 месяца назад
Mwambie arudi aje akosoeeee kikojozi wako
@sharifsayyid
@sharifsayyid 4 месяца назад
Niulize tu mbona ma twariqa na Sufi ndo kila mara wanaleta mzozo wa mwezi yani lazma wao wafunge siku ya eid
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 4 месяца назад
Sisi tuna mzozo sisi ni wafuasi wa mtume ndugu kwa ushahidi sio maneno ya kuunga unga
@sharifsayyid
@sharifsayyid 4 месяца назад
@@rashidhemed1444 Sufi hamfati mtume hata kidogo maana mwezi ikitangazwa na mtu wa ahlul Sunnah Sufi hakubali hadi Sufi mwenzao aone
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 4 месяца назад
@@sharifsayyid mwezi wa mtume ni mwezi wa popote na mwezi wa maswahaba ni mwezi wa popote na mwezi wa tabiina ni mwezi wa popote na mwezi wa tabi tabiina ni mwezi wa popote kwa ushahidi wa hadithi ya ibni Abasi swahaba wa mtume ktk qisa cha qurayb
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 4 месяца назад
@@sharifsayyid sasa mimi nishakupa hilo weye kosoa halafu unipe mwezi wa kufata sauia je ni mwezi wa kitabu gani
@SaleheKhamis
@SaleheKhamis 4 месяца назад
Huyo bachu hana lolote muuza pweza tu huyo
@masoud744
@masoud744 4 месяца назад
Nakushauri ukasome kwanza
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Wewe mbona usijibu hoja 19 Mohamed bachu alitaja kuhusu uongo ndani ya barzanji....ama tukupangie munaqasha ushinde kujibu hata moja kama wenzio
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 4 месяца назад
Haha mwezi mumekula kona mutakula kona sana na fitna zenu mulizotumwa
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 4 месяца назад
Yani masufi wanahangaishwa ni bachu ,,,,ama kweli masufi mmazuzu sana
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 huyo bacho kawagusa inaonekana.... 😅😅😅😅 kwani kasemaje haswa??? Mbona mumekuwa wengi mnaomsema??? Yaonekana kaongea haki... mimi sijui lakini mara nyingi ukiona mtu ashangiliwa na kila mtu basi ameongea haki!!! Laa sivyo mbona mna waswasi???? 😂😂😂😂😂
@bmkaskazinib4363
@bmkaskazinib4363 4 месяца назад
Na hyuy bachu arudi kwao asitukanishe fani yake yuko mdomoni sana
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 4 месяца назад
Wacheni ujinga wanafunzi wa kisufi ,,mliona mwenzenu said alipata umaarufu kupitia bachu ,,nanyi mwaanza kujitokeza ,,
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 4 месяца назад
Mbona matwaalii ya miji ya tanzania inatofautiana.
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 4 месяца назад
Kwanza kabisa wazushi tabia moja hii hamuwezi iwacha hata iweje. Kuwafanyia watu khiana!!! Hii ndio silaha yenu kubwa, unawaambia watu fulani yuko hivi wakati yuko vyengine. Pili ufisadi na kuchonganisha baina ya dola na Mashekhe wa kiwahabi, kwa sbb bila kuekewa vikwazo na serekali hao Mashekhe wa kiwahabi nyinyi mnakosa hoja na hamna amani hata kidogo, na uovu wenu unakaa wazi, kwaio lazima mushirikiane na dola kuwafanyia ufisadi Mashekhe wa Sunnah, ili mupate wasaa wa kueneza bidaa zenu na shirki zenu, na mbele ya Allaah mutashirikiana kwenye moto kwa ufisadi munao wafanyia Mashekhe wa Sunnah!!! Tatu, nyani haoni..................... Nne, nyoyo zenu wazushi na mahasidi nyote zina waka moto wa Hasad kwa Shekh Muhammad Bachu kutunzwa na kupewa uwanja na kupewa thamani na nafasi ya kufanya Da'wah hapo kenya!!! Hasad mbaya sana, lengo lenu nahapo pia aondoke ili mupate kutamba kwa shirki na uzushi wenu!!! Mi nauliza kama kweli Shekh Muhammad Bachu katovuka adabu kwa Maulamaa, alie tovuka adabu si anafunzwa hio adabu😂😂😂😂😂 Nakama hasikii unabainishwa utovu wake wa adabu kwamba nihuu nahuu. ..................................................... Kuhusu kukitupa chini kitabu kilichojaa uchafu wa shirki, uzushi, na urongo, hili alikosea kwa sbb moja tu, ndani ya kitabu kuna Aya za Allaah Azza Wajalla, na kuna majina yake na ya Mtume wake Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaam, na alipo lijua hilo, alifanya uungwana na inswaaf kubwa mnooo, akaja tena mbele za watu na kutubia kwa kosa hili. Inakuaje unalileta hapa sasaivi lengo lako nini? Sisi tunawajua mashekhe zenu masufi ni mabaradhuli-mashoga, na wengine ni mabasha-walawiti, na mpaka kesi zao zime andikwa, lkn hatuji kutaja aibu zao, na wengine tumeskia kua wamesha tubia kwa Allaah...... Kwanini muna tabia ya kuchafua sura za watu, na ikitokea Shekhe kakosea na katubia kosa hilo nyinyi kwenu hio ndio njia munayo ishikilia ili kuwafanya watu wamuone mbaya na yale mabaya yenu ambayo ni maovu zaidi yaendelee kuonekana ni yasawa! Masufi tabia hii mumejifunza kwenye Dini gani; 1-Uislamu. 2-Uyahudi. 3-Ukristo. 4-Umajusi. Uislamu hauja fundisha tabia hizi chafu, bali uchafu huu mmeuchukua kutoka kwenye. 2,3,4. Pia Shekh Muhammad Bachu alianza raddi yake kwa maelekezo na maneno mazuri kabisa, nawala haja kusudia kumchafua mtu, lkn kwann wewe umekaa na wazushi wenzio na mukaona njia nzuri yakuanzia raddi yako ni kuingia kwenye kuvunja heshma ya Shekh Muhammad, na kumchafua kwenye macho na maskio ya watu, kwanini iwe hivi? Sisi twafahamu kinacho endelea Zanzibar sasaivi, kwa kuchukuliwa wajinga ndio wakapewa mamlaka ya kuamua mambo ya Dini. Lengo tunalijua na hii fitna haijaanza kwa Shekh Muhammad Bachu, bali hii ndio njia ya watu waovu na watu wa baatwil wote duniani, akionekana mtu anakuja na mafanikio yoyote yale, basi atazimwa mapeema, ili wajinga na mafisadi wandelee kwenye................... Madhwaalim waendelee .......... Wazushi na washirikina waendelee kwenye..................... هذا هو حال المبتدعين الفاسدين المفسدين في مجتمعنا اليوم! يقتلون ويعزلون ويحاربون كل شريف كي لا يكون شاهدا على بدعهم وضلالاتهم وفسادهم وإفسادهم!!!
@binaamour318
@binaamour318 4 месяца назад
Ww Omar umeandika ukurasa mzima malalamiko kejeli dhanna tuhuma zarau umeacha hoja y msingi kauli utheh my kuhusu muindamo w mwezi misimamo yake kuhusu arafa unakuja na madhambulizi binafsi kana kwamba una ushahid mpaka mbele ya alwah hayo unayoyasema na utakwenda kuulizwa ulijue Hilo!
@saidali9255
@saidali9255 4 месяца назад
Huyu jamaa mbona anaongopa?.wapi Bachu alifukuzwa Zanzibar?..si ukweli huo,Bachu anatowa daawa zanzibar bila shida yoyote ile na watu wanampenda sana! Maswala ya Haajar Tv ni ya kikazi tu!..wacheni porojo tafadhali..
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 4 месяца назад
Muhamad bacho ana harara sana kisi ufahamu wake haujatulia
@SafiaHaji-fo3sl
@SafiaHaji-fo3sl 4 месяца назад
wacheni mawaidha yenu ya mipasho
@shadhilfaki1457
@shadhilfaki1457 4 месяца назад
Mm mwenzenu naona huyu kijana si muelewi na alie radiwa ni mwingine na anaejibu ni mwingine, Sasa ikiwa yule alie radiwa amekosea watu jukumu unalo ww?
@darajanida
@darajanida 4 месяца назад
mtoto wa bachu hawezi kujibiwa na shekh said ali hasani ilo uilfahamu ndugu yangu
@rushu1232
@rushu1232 4 месяца назад
Huyo ni mjinga anasukumwa na baadhi ya watu kuingilia masheikh wakisufi mbona hao wanaomtuma hawajitokezi nimpuzi sana huyo bachu.
@issahabdallah9018
@issahabdallah9018 4 месяца назад
Mwengine Uyu kaja kutafta umaarufu
@darajanida
@darajanida 4 месяца назад
nyie mukujibiwa mwasema watu wanatafuts umarufu kwa hiho muwachwe tu muwadhalilishe mashekh zetu haiezekan tena saiv
@Bombwejr18
@Bombwejr18 4 месяца назад
Ila hii dini bana watu wanauhasama sana na Bachu aisee sasa mtu akirekebishwa ndo zarau au hii dini bana watu baada wafate hoja wanaleta Ushabiki kwenye dini alikosolewa Amiril muuminina Omar aliposema ntakata kichwa chake mtu atakaesema mtume amekufa hapo hapo swahaba mwenzie Abuubakar r.a akamrekebisha kwahyo hilo jambo kama mtu kakosea kurekebishwa ni lazima na lipo katika dini sio kupetuka mipaka wala kumkosea heshima kama unavofanya ww hapo ostadh
@NasrulislaamCBO
@NasrulislaamCBO 4 месяца назад
Asemae bachu hakukosea heshma .hakusikiza vizuri maneno yake ya kejeli kuwa sheikh hastahiki kutoa maneno ya utheimiin..mpaka kutaja kusimama atajwapo mtumi kwenye maulid. Sh said nimtu anaheshimika kenya na inje
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 4 месяца назад
Tunashkuru kuwa ufumbuzi wa mwezi mawahabi wote wamwkubali ndio maana wamekimbilia kwenye makaburi na maulid ha ha ha mawahabi bwana
@khamisali5942
@khamisali5942 4 месяца назад
Yaani nyny mnataka muharbu dini halaf muchekewe tu ndo mnavotaka mukiambiwa kua jambo hili sivo mnanuna na kumfanyia mtu hasad lkn tutawambia tu mukinuna musinune hii dini sio yenu. Huyu kijana atawanyoosha na tunamuomba ALLAH amzidishie elimu na ampe umri mrefu ili azid kuwanyoosha
@darajanida
@darajanida 4 месяца назад
sasa nyinyi mawhawabi ndo munaitengeneza ivo au
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z 4 месяца назад
Unamuombea kwa Allah ili azidishe kupotrza watu?
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 4 месяца назад
Sasa hapo kanyoosha nn zaidi ya kujifedhehesha tu ni ni mtu jaahili sana yaani ni mjinga sio msomi hata kidogo
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 4 месяца назад
Kuwanyoosha kwa kusema anaangalia watu kwenye televisheni,mtume ndivyo alivyokua akifanya,ivi kama sio utandawazi uisilam ungekua haujakamilika?,na kama jibu ni hapana,kwanini uislam wa siku hizi hadi tuone vyombo vya habari vinasema nini.mtume yeye alifanyaje ni kipindi hicho hakukua na televisheni wala nini,inamaana hawakua sahihi?,tuache uislam wa vyombo vya habari
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 4 месяца назад
BACHU ATAKA APEWE DOSI NYENGINE NA USTADH SAID
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 4 месяца назад
Itakua si sawa kwa sababu bachu ni mtoto Sana kielimu na kiumri kwa sheikh letu
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 4 месяца назад
Huwezi kuchukua dozi Kwa chizi asiyejua Sasa saidi anajua nin😂😂
@darajanida
@darajanida 4 месяца назад
@@saidimkwinzu9106 mbona kama hajui kiti alikikimbia nakujikojolea au huna macho wewe
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN 4 месяца назад
Kwan pale alifanya nn SHEKHE said hebu kueni waadilifu mada mulikua munazijua tangia mjala wa Tanga ndiko alipotokea SHEKHE SAID kule TANGA hakukuwana mjadala wa SHEKHE WA BARZANJI BALI WALIJADILI BARAZANJI
@Bombwejr18
@Bombwejr18 4 месяца назад
Yaani m nashindwa kuwaelewa hawa masheikh zetu wa Tz mbona sisi na makkah tunafanana mbona hamtoi mfanano huo ili hoja iwe nzito mnatolea hoja ya china au pakistan kwani sisi tuko Pakistan masheikh mnapotosha Ummah
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN 4 месяца назад
Umesema kweli na wala hawatowi nn maana ya matwalai, ila wanasisistiza tufaate matwai yetu ila SAUDIA matwilaya Yao mbona ni EAST AFRICA STANDARD TIME Kwa sisi walimu wa GEOGRAPHY tunaeafundisha wanafunzinhivyo.
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 4 месяца назад
Kwahiyo arafa nimbili kila mmoja apewa yake hiyo siamini tuacheni !
@hassanrangambo8007
@hassanrangambo8007 4 месяца назад
Mawahabi ni janga ktk uislamu
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 4 месяца назад
Hii ni dini ya Allah asierekebishwa ni mtume tuuu. Hata mtu akawa na cheo au ukubwa kama mbuyu ni haki arekebishwe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maryamsaidmaryamsaid7765
@maryamsaidmaryamsaid7765 4 месяца назад
ndio lakini shekhe hapo yuko swahihi mungu atuhifadhie ust said ali hassan
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Sufi harekebishwi na ukirekibisha basi utaambiwa umekosea sheikh adabu
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 4 месяца назад
Jamani musipate tabu tunajua kuwa mwezi ni mmoja arafa nimoja TU hakuna ya Kenya Wala Tanzania ila ipo makka ikfuatana na ibada yahija
@darajanida
@darajanida 4 месяца назад
lete dalili ya hilo akhiy
@SafiaHaji-fo3sl
@SafiaHaji-fo3sl 4 месяца назад
nyny hamuna mawaidha kila mmoja anajifanya yy anajua
@sharifathman5908
@sharifathman5908 4 месяца назад
Kama amefukuzwa kwao bac afukuzwe msa pia maana ataleta fitna kubwa
@abdulbandari1551
@abdulbandari1551 4 месяца назад
Kenya inauhuru wa dini acha kujisahau
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Suala ya nani ako mzuri kuliko mwingine au nani anataqwa kuliko mwingine kati ya sheikh wako Said na Mohamed Bachu tuachie Allah, bila shaka tutajuwa siku ya qiyama
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Sheikh uthaimin sio mwanachuoni wa Saudia bali ni wa waislamu wote isipokuwa ahlul baaadil na ahlul hawaa
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 4 месяца назад
Mwanazuoni wa kiwahabiya sio wa waislamu wote pimbi wewe
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 4 месяца назад
Kwa uwezo wake Allaah Shekhe Muhammad ataendelea kufanya Da'wah hapo kenya, na atalindwa na Allaah kutokana na shari zenu na maovu yenu. Ama kuhusu masala ya fataawaa za Ulamaa kuhusu ikhtilafu ya mwandamo wa mwezi na masala ya arafa hapa hamuna jipya, na ukitaka kulijua hilo ngoja ifike siku ya jumapili muangalie watu watafanya nini? Mnadhani mutawafanya watu wajinga kila mwaka muwakosesha fadhila, na kuwafungisha skukuu na kuwalisha ramadhani. Angalieni viwanjani ilivyokua mwanzo nasasa nihivohivo, au nivipi!!!
@binaamour318
@binaamour318 4 месяца назад
Hakuna aliekatazwa mlipaji ni alwah anaefuata soudia na asiefuta ww endelea ushabik w dini t
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Ameleta Ali juma sababu nyinyi mmeficha ustadh wenu kutoka masufi wenu na mnakimbilia waliowahusu, hamna aibu hata
@masoud744
@masoud744 4 месяца назад
Bachu anafahamika wewe hifahamiki..... Ukisema amemvunjia adabu shehe lenu.. katumia neno gani baya.?
@mr.abubakarbausi3982
@mr.abubakarbausi3982 4 месяца назад
Abdallah aonesha si msomi aende akalale
@yasinmustafa6710
@yasinmustafa6710 4 месяца назад
خالف تعرف
@issahabdallah9018
@issahabdallah9018 4 месяца назад
manapo kosea lazma mrekebishwe
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Wewe endelea kukosa fadhila ya yaumul arafa na upotoshe wengine na utabeba dhambi zao
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Na kwa bahati mbaya hujajibu mas'ala Mohamed Bachu ameziguza hata moja, nenda usikilize video yake tena
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 4 месяца назад
Na Kwa bahati mbaya huelewi kama huyo Bachu
@ShihabudiniSaidali
@ShihabudiniSaidali 4 месяца назад
Ustadh hakukataa kurekebishwa but huyo bachu ajifunze adabu mwanzo
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 4 месяца назад
Watu bora walirekebishwa na haikuwa ni utovu wa adabu, Umar amir al muuminina alirekebiswa na mwanamke mbele ya watu na akakubali.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
Hamtaki arekibishwe lakini atarekebishwa yeyote atakaye poteza ummah, like it or not. Meza wembe
@YaziduIddy
@YaziduIddy 4 месяца назад
​@@abuuaisha6110acha uongo
@rushu1232
@rushu1232 4 месяца назад
​@@mohagurey2214Basi mwenye kurakibisha ni huyo kipuzi angalia tafauti yake na ustadh miaka 50 yufanya daawa ana markaz yusomesha zaidi miaka 40 na ametoa wanafunzi bila hisabu hata huyo bachu hajazaliwa.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 месяца назад
@@rushu1232 hata kama difference ni 100 yrs mtu akikosea lazima akosolewe
@Maresca368
@Maresca368 4 месяца назад
Wataka shekhe lako apotoshe watu aangaliwe tu! Mwanzo ww huna kisomo ulichokipata kwake ulisoma kwengine ukaja kumaliza kwake! Kama ni kweli atoe kijana alomkuza nwenyewe ajibu suala hili . Said Ali Hassan ni ubepari tu ndani ya Gongoni lkn hana maendeleo yoyote kwa watu wa Gongoni kwa kielimu!
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 4 месяца назад
Mmmmh Hamna kitu hapa
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 4 месяца назад
Hebu tupe na wewe vitu vyako
@swabirattwas.12
@swabirattwas.12 4 месяца назад
​@@abdallahassan2080Hhhh Kabsa Atupe Hayo Alonayo😂
@khamiisathmaan4362
@khamiisathmaan4362 4 месяца назад
Nyie ndio wale wa kufuata upepo
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b 4 месяца назад
wewe omba munakasha na sheikh muhammad bachu kama ni kidume kweli,alafu uone namna ya ufahamu wako na wake
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 4 месяца назад
Hatutaki kuona mikojo tena
@swabirattwas.12
@swabirattwas.12 4 месяца назад
​@@abdallahassan2080😂😅
@MuhsinAhmad-vh4ck
@MuhsinAhmad-vh4ck 4 месяца назад
Bachu hawezi munaqasha kashajulikana na kila mtu ,izara zilimpata
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 4 месяца назад
​@abdallahassan2080 yenu ni hayo tu ,,upumbavu mwingi ,,nyinyi yenu ni ushabiki wala si dini.
@Attanuny_05
@Attanuny_05 4 месяца назад
Mashallah
Далее
Beyond the Debate | Dr. Zakir Naik | 142
3:14:33
Просмотров 1,4 млн
Webinar 14: Honing Skills For Success
1:01:45
Просмотров 1,3 тыс.
NAMNA YA KUCHANGANYA SWALA MBILI
1:24:02
Просмотров 80 тыс.
TAQWA / SHEIKH KIPOZEO
51:56
Просмотров 77 тыс.