Тёмный

Rais mpya wa Congo Tshisekedi augua ghafla akisoma hotuba yake 

NTV Kenya
Подписаться 2,5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Felix Tshisekedi ameapishwa rasmi kama rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Rais huyo sasa anakumbwa na changamoto za kuliunganisha taifa hilo kutokana na mgawanyiko wa kisiasa pamoja na kuboresha uchumi wa taifa hilo. Aliyekuwa rais wa taifa hilo, Joseph Kabila, ameahidi kumuunga mkono rais Tshisekedi katika uongozi wake huku akihimiza wananchi kumuunga mkono rais mpya.

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
Далее
EN CAMPAGNE FELIX TSHISEKEDI CANDIDAT PRESIDENT N°20
1:57:44
Matangazo ya Dira ya Dunia TV 18/01/2024
28:16
Просмотров 9 тыс.
Citizen Nipashe 4th September 2024
20:35
Просмотров 39 тыс.