Tunataka deputy mwenye si kibaraka kma gacagua,hatutaki kuchaguliwa na president,tuulize tunaye mtaka alaaa❤❤❤❤ martha,gathoni,kioni hao ni materii wa mt kenyaaa
Hamna mwenye tatizo ni Dp bcz ya kusemasema hakuna hata mmoja mwenye akili can support kugawanya watu nyie mumezaliwa na chuki na ukabila from ur parents
President huyo ni deputy wako wetu ni gacagua aliyechaguliwa na 50 million people huyo ni nominated na unaeza mfukuza keshoke n amechaguliwa na watu mia mbili,heshimu 55 million minds its their country thy kenya thy want😮😮😮😮
Gachagua, ulimtukana Uhuru na ukatumia goons ku destroy mali yake. Ok hiyo yote kando. I hope all of you Kenyans learn the lesson from this situation. You are all disposable in Ruto's world. Do not support Ruto because at the end, he was trained and is worse than Moi. Lesson learned the hard way. Work toward removing the Head now. Gen Z, will not give up. He will be held to account even when he is out of the office. And his goons, children and the ones that have benefit from the loans that we are responsible for paying in taxes and which they have pocketed and bought mansions in and outside the country as well as put the money in their personal accounts abroad and at home. Itafika one day that you will all be held to account. Musijiringe now. System of Oppression that you are the head off. Believe me when you think you have heard everything, this man who lives in his own world and describes himself. Muaji, tafathali utachomwa na Mungu mara mia haihesabiki Mr Ruto for all the lives you have ordered taken. Utalipa yote wakati yako ikifika. Kanisa being used in a terrible way haitakusaidia.
Mwenye alitumana kondoo siibiwe ni ichung'wa na alisema juzi hakuna Haja ya kiekelea DP hata kama humpendi revenge belongs to God,,,, usifurahie asiipindue inje kwako
Ruto is using subliminal shots to hit Gachagua, the man is acting like yeye ni Rapper fulani na hataki ku-spoil endorsement deals zake by talking about on going cases, rude and cold.