Тёмный
No video :(

Rais RUTO amefanya kosa la kimkakati kufanya Round Table kipindi hiki! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 442   
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Месяц назад
Heshima haipewi kiongozi mwizi, rais anayetaka kuifanya Kenya Mali yake binafsi, hatumtambui . He must go.
@abdallazakaria6953
@abdallazakaria6953 Месяц назад
Infact the journalists asked the right questions zenye kwa ground tulitaka aulizwe
@shantisam-wo8wj
@shantisam-wo8wj Месяц назад
Period
@WILLY_SKY1
@WILLY_SKY1 Месяц назад
You are right better angefanya huyo Dennis Itumbi hapa alimdanganya the ground is still hostile
@naqiahmad26
@naqiahmad26 Месяц назад
Dj asma binafsi nakukubali, lakini usiingize udini kwenye siasa, kiongozi wa Siasa hachaguliwi na mungu. Umemshusha sana mungu kwenye macho yako
@eliassospeter
@eliassospeter Месяц назад
Huijui Biblia wewe soma hapa warumi 13:1
@BenBella254
@BenBella254 Месяц назад
Maswali aliyoulizwa ni yale wananchi walitaka aulizwe😂
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Месяц назад
DJ SMAA KENYA WANA KATIBA YAO NA TAMADUNI ZAO TANGANYIKA TUNA KATIBA YETU NA TAMADUNI ZETU RAISI KWAO SIO MUNGU MTU KAMA RUANDA!!
@mohamedsuwari2588
@mohamedsuwari2588 Месяц назад
Very good answer for this Analyst.Kenya we don't take Presidents as GOD.
@abdulswamadabdallashee5802
@abdulswamadabdallashee5802 Месяц назад
Kweli kabisa ndugu yngu mwambiye ukweli Huku Rais nikma MTU wakawaida ,
@abdallazakaria6953
@abdallazakaria6953 Месяц назад
Yow brother Sky.....pin this please......
@aby.beka1630
@aby.beka1630 Месяц назад
sio kenya tuu dunian kote mwandish kaz yake ni kuuliz hawan makos bhan~
@CandyLoud
@CandyLoud Месяц назад
Mwambie kweli maana hii ya leo hajui asemalo Sma wewe sio Mkenya na kuna mengi huyajui
@jafaribori5428
@jafaribori5428 Месяц назад
Naitwa Mr. Bori nakufatilia sana kutokea hapa UK England hakika upo vizuri mdogo wangu nimefurah sana na uchambuzi wako.
@maxwellnzai9542
@maxwellnzai9542 Месяц назад
Dj sma,,,tunamujua raisi wetu,ndo maana kulikuaa hivyoo
@nicoledinga9948
@nicoledinga9948 Месяц назад
He don't get it...ruto is a psychopath and that's how he should be treated
@GentleGiant-pj2rk
@GentleGiant-pj2rk Месяц назад
You are the psychopath, Ruto is beyond your level of thinking and acting
@tinakaitsa7334
@tinakaitsa7334 Месяц назад
In Kenya we have boring president 😢
@hassanomar1041
@hassanomar1041 Месяц назад
Bro Sma, kuna vile labda umezoea wataka rais waulizwe maswali kulingana na cheo chake na hizi ndio bado tunarudi nyuma ila fuatilia round table za awali pia alikua anaulizwa maswali kama haya na Mohamed Hussein. This is kenya Uhuru wa wanahabari upo.
@allycruzz3991
@allycruzz3991 Месяц назад
Real talk
@kelvin8324
@kelvin8324 Месяц назад
I think it's the first time baadhi ya watanzania for first wameona hii....Kenya ni kawaida tu
@ibrahimsalim6835
@ibrahimsalim6835 Месяц назад
Ndugu Hawa walilazimishwa na ruto huo ndio ukweli na kule kuvamiwa na wandishi was habari nikwasababu ruto ni nimzuri wakuongea bro huyo twamfahmu sana.kweli ruto siorahisi kumuolewa mpaka uwe Kenya coz amedanganya sana.tosha hio mdahalo wa ruto haukuwa na maana hivyo.shukran
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 Месяц назад
Dj smaa sawa ila usisahau ukinunua umeme makato yameongezeka!.
@BigZhumbe
@BigZhumbe Месяц назад
Wakenya hawataki kumsikiliza RUTO they want to hear what they want to hear na sio tatizo lao ni hasira na maumivu yanayomsikiliza RAISI ni kama Dj Sma alivyosema timing ya interview ndio mbaya na hata RUTO angekuja na facts nzuri kiasi gani bado watu wasingemuelewa.
@Abbasbakarsth
@Abbasbakarsth Месяц назад
Sure
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op Месяц назад
Kosa lako smaa hujaimaliza kuiyangalia mchambuzi mkubwa kama wewe kitugani kinakushindwa kumaliza kuiyangalia yaani leo umeboa smaa, ulitakiwa uiyangalie yote kisha ndio uchambue sasa utatoa faida gani hali yakua wewe hujamaliza kuiyangalia
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 Месяц назад
We ni miongoni mwa anti-fuse, lala mbele mzee
@Qqambaa
@Qqambaa Месяц назад
Mi ni mkenya kachambua vzr 😂😂
@allankenyali1535
@allankenyali1535 Месяц назад
uyu kama ame hongwa na RUTO this SNS ni Kama wafwasi wa RUTO Wana taka Kenya tuangamie
@hadijagere
@hadijagere Месяц назад
😂😂😂😂 kunywa maji kidogo
@nextstudiostz
@nextstudiostz Месяц назад
Unaposema Fact and logic, kwenye hii video unatoa fact and logic and umetumia vizuri sana points zako kwenye uchambuzi. Kaa apa🔥
@kavorama983
@kavorama983 Месяц назад
I watch from France 🇫🇷 ❤
@BenBella254
@BenBella254 Месяц назад
In Kenya we have free media. Kiungo muhimu katika kujenga Demokrasia
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
Kwahilo wakenya hongereni, mko na free media and most of the media it's vibrants.Kongole karibu Tanzania ila Mimi napenda kuangalia sana Citizen Tv ya Macharia.
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Месяц назад
Leave us alone sns
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA Месяц назад
You are getting it wrong. Hayo maswali hayakuwa ya Wanahabari yalitoka kwa raia. So usilaumu waandishi wewe hauko neutral uko upande wa Ruto 😂
@kevicristian2738
@kevicristian2738 Месяц назад
Without two D you can not understand Dj asma😂
@salmasaid7058
@salmasaid7058 Месяц назад
Kbs
@salmasaid7058
@salmasaid7058 Месяц назад
​@@kevicristian2738d gn nyinyi mumezoea kuabudu raisi nop cc tuko n democracy kwetu sw
@kawogoremigius8152
@kawogoremigius8152 Месяц назад
Nafikiri Wakenya wampe muda Rais Ruto ,, na pia alikuwa sahihi kufanya roundtable ili kuonyesha serikali imeonaje na inachukua hatua gani ,, kuliko kusubilo muda upite , wananchi wanatakiwa kupata taarifa hasa Rais kuongea mapema zaidi kukiwa na matatizo makubwa kama hayo yaliyotokea Kenya
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Месяц назад
Familia ya SNS,FUSE nimerudi kwenye kipindi baada ya simu yangu kupotea sasa tupo pamoja
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs Месяц назад
Poie sana ndugu karibu tena
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 Месяц назад
Karibu tena
@alphadreammedia
@alphadreammedia Месяц назад
😊😊😅😅😅
@JastoLeleJnr
@JastoLeleJnr Месяц назад
Kenya kuna uhuru wa media Sma, hao waandishi waliuliza maswali ya wakenya kutoka ground and Ruto did not give clear answers to all the questions...one thing i must agree with you though, it was not the right move for the president to conduct any kind of interview given the intensity of the situation at hand..... and by the way, i think It's the responsibility of the journalist to ask the hard and critical questions
@user-sq1ol2fb3i
@user-sq1ol2fb3i Месяц назад
Watazania nyinyi wakatiwote uwamwanjifanya mwanjifanya kujuwa sana Matapeli wa tazania wengi
@ombeniyohaneaustin8415
@ombeniyohaneaustin8415 Месяц назад
Tupo pamoja toka cape Town south africa 🇿🇦
@vinnyinjenga
@vinnyinjenga Месяц назад
wewe wachana na mambo ya Kenya,ruto is our servant,he is our servant we are his Boss,hapa sio tanzania mnapiga upinzani risasi 30 na hakuna kelele
@BrianHuncho-kc5zs
@BrianHuncho-kc5zs Месяц назад
Ruto hafai kupewa nafasi yoyote ....tunamjuwa sisi .... kwa hiyo siasa za Kenya ...tz amuwezi elewa .....# RUTO MUST GO #ZAKAYO SHUKA
@user-de8qk5ij6m
@user-de8qk5ij6m Месяц назад
Hujui lolole tuachie wenyewe huyu
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Месяц назад
🤣🤣🤣🤣
@ttss7716
@ttss7716 Месяц назад
Kabsa huyu namuona hajielewi akwende uko nyau😂
@hollymore4904
@hollymore4904 Месяц назад
Ni sahihi katka hili kafel
@jumajames1767
@jumajames1767 Месяц назад
😂😂😂😂
@allycruzz3991
@allycruzz3991 Месяц назад
Real talk
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga Месяц назад
Anyway nimewapenda sanaaa wakenya wanadai haki Yao fasta tena bila uoga sio kama bongo
@Ibrahimkhamis005
@Ibrahimkhamis005 Месяц назад
Sns mie ni mtanzania lakini hebu niulize mbona hamuongelei uchafu wa tanzania kwa viongozi wetu mie najua kuwa mnafahamu kila kitu kuhusu mambo yanayo endelea tanzania
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
Mkuu unajifanya hujui tofauti ya katiba za kijamaa na Katiba za Kibepari?
@user-ev2xf1tv3w
@user-ev2xf1tv3w Месяц назад
Kwel kbs hawaon uchafu unaofanyoka tanzania apo umefel sma sema na tanzania
@billjames1216
@billjames1216 Месяц назад
​@@user-ev2xf1tv3wsasa ata wakisema mambo ya Tanzania nyie mtafanya nn??😂😂Habari ni biashara my friend and kenya will always sell more than Tanzania
@ENGLISHMOVIES-DOCUMENTARIES
@ENGLISHMOVIES-DOCUMENTARIES Месяц назад
Who cares what you think bro...in kenya the president is not worshiped, and that was dialogue conversation so keep your punitive observations to youself na uache kutupigia kelele...i really like this channel 'sns' but this guy is totally underrated
@jameskitoto3315
@jameskitoto3315 Месяц назад
Ndio maana napendaga Makala 360 by Fredrick bundala and frank
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 Месяц назад
Kenya kuna demokrasia unaeza uliza chochote kwa kiongozi wako bora yasiwe matusi na haya pia yanafanyika pia nchi za ulaya, kama Biden uulizwa maswali magumu na wandishi wa habari Ruto ni nani
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
pia Trump hadi alikua anachukia cnn
@benardmakori4012
@benardmakori4012 Месяц назад
Waandishi wa habari wanamujua vizuri sana,Ruto na kupanga,na kutenda alaah!
@moonamoona6838
@moonamoona6838 Месяц назад
Kupanga ruto kutenda aaaaah😅
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru Месяц назад
Umewahi kuona wapi mtu muongo kupewa heshima tatizo ruto anaongea sana .
@rosemaryogambe4498
@rosemaryogambe4498 Месяц назад
Dj Sma wachana na wakenya utaumwana kichwa bure. Haujui machungu tunayoyapitia wewe si mkenya haujui katiba ya kenya. Chambua ya kwenu tafadhali hautawai kupata wakenya waki waste time yao wakizichambua mambo yenu.
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 Месяц назад
Our president is having mental health challenges.he is mad
@mariamkassim9925
@mariamkassim9925 Месяц назад
Respect
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 Месяц назад
@@mariamkassim9925 andika comment Yako nkt
@hamooummar7298
@hamooummar7298 Месяц назад
I gat u my fellow kenyan😂hjui tofaut ya reply na section ya kukoment kiujumla😂
@mariamkassim9925
@mariamkassim9925 Месяц назад
@@everrineanyango7410 🤣🤣🤣🤣 makasiriko ya nini ama leo hauna chakula
@cocotz1892
@cocotz1892 Месяц назад
@@mariamkassim9925😂😂😂
@evansogutu4167
@evansogutu4167 Месяц назад
Tunamjua ruto vile wewe unamjua Mama Samia
@makwegarashid-ui1oe
@makwegarashid-ui1oe Месяц назад
Mawazo ya wakenya yashakuwa negative kwa Ruto,kwa kipindi haikuwa sahihi kufanya huu mdahalo. Pia waandishi hawakuwa na heshima ya nafasi ya Urais, waandishi walipaswa kuheshimu nafasi ya urais walikuwa wanamkandamiza walikuja na majibu yao. Kwa mantiki hii hadhi ya nafasi ya urais Kenya imedhalilishwa sana. Mawazo yangu Rais yeyote atakeyatawala kenya hatopewa hadhi.hata mtoto ndogo akijisikia kumtukana rais anaweza na asifanywe chochote. Wangempa nafasi Ruto alikuwa anamawazo mengi Zaidi mazuri na anaonyesha ni kiongozi mzuri sana.
@makaoyafutaa1302
@makaoyafutaa1302 Месяц назад
WanaSNS Rais wetu ni mdanganyifu mno😂😂 ndio maana hata alikuwa anakwepa maswali mengine, hongera sana wanahabari wetu Joe, Linus na Erick Latiff 😂viva✊💪
@kepharichard4183
@kepharichard4183 Месяц назад
Acheni kuvuruga nyinyi watanzania mnajifanya wachambuzi hayo mambo hayawahusu vibaraka wa government.
@aby.beka1630
@aby.beka1630 Месяц назад
sizan kam iyo ni kaulinzul husem watanzania kwa mawaz ya mt m1 ten wasem et hayatuhus inaonekan km uwezowak wa kufikilia ni mdg~
@shantisam-wo8wj
@shantisam-wo8wj Месяц назад
Ewaaaa😂 hakuna Kitu wanajua 😂ebu waongee kingereza kidogo
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Месяц назад
Kiengereza ni nn c in ukoloni tu bado mnakumbatia nyinyi wakenya...muko ovyo sana.​@@shantisam-wo8wj
@RamadhanBurji
@RamadhanBurji Месяц назад
Hawa hata hawajasoma
@RamadhanBurji
@RamadhanBurji Месяц назад
​@@aby.beka1630Niukwel, even me I am a Tanzania but I am educated in kenya . kenya are more Educated than Tz
@lucasmartin431
@lucasmartin431 Месяц назад
Yaani ulivyo Hara Dj sma....ningekuwa karibu ningekupokonya mike
@RamadhanBurji
@RamadhanBurji Месяц назад
Mm ningemfuta kazi, maana hajui wakenya wanafeel vp
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 Месяц назад
Bro, this is the real democracy, sio kukosea rahisi heshma. Wali mkatisha alipo kuwa na kwepa swali, the guy is smart but the reporters were smart too. Tz jifunzeni kitu apa sio ku ponda tunacho kililiya Kilasiku accountability ya leadership.
@philipkahindi3499
@philipkahindi3499 Месяц назад
Brothers from Tanzania we love you soo much.... Lakini kwa hili uyu Ruto na vibaraka wake niwaizi wameiba pesa nyingi sana huku wakenya wakawaida tunateseka sana..... Sisi hatutamhurumia ata kidogo
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Hii ndo laana yetu waafrica sijui Kwa nini tuko selfish, Ruto tajiri Kwa nini bado anataka kujilimbikizia mali? Lakini mnadhani mnaweza pata kiongozi mwenye kupenda haki? Wote mijizi tu.
@mosesmuyamwangi7905
@mosesmuyamwangi7905 Месяц назад
Ruto alipiga chenga maswali mingi. Kenya twahitaji revolution
@jumajames1767
@jumajames1767 Месяц назад
Dj sma nakukubali sana ila kwa hili zii mkubwa wangu huyu jamaa ni muongo kupitiliza kaka acha tudeal nae twamjua wenyewe huyu
@mohammadabdul45bb57
@mohammadabdul45bb57 Месяц назад
The protest begins in Mombasa
@NikodemusOgembo
@NikodemusOgembo Месяц назад
Kenya tupo na Uhuru kwani President ni mwanainchi tuu
@allankenyali1535
@allankenyali1535 Месяц назад
president sio mungu mwambie uyu mpuzi KAZI yake kumteta ruta nashangaa anajifanya kuchambua kizungu
@alexbahindolwa3921
@alexbahindolwa3921 Месяц назад
Shida ya Ruto ni mjeuri saan !!.jpt
@allankenyali1535
@allankenyali1535 Месяц назад
this SNS guys nikama wameongwa na RUTO Hawa Miki kwanza na unsubscribe uku upuzi mtupu no wonder Tanzania wako nyuma democracy
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
​@@allankenyali1535Hawajaongwa ila hawana taarifa sana kuhusu Kenya, Nyinyi ndo mnaelewa mambo mengi sana ya Kenya ila sisi huku TZ twapenda democracy ya Kenya.
@mikechidi3339
@mikechidi3339 Месяц назад
Wakenya wengi hapa tunakupa mda wa kukusikiliza but umeanza kukosea wakenya respect kwa kumpongeza ruto...
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. Месяц назад
Unabrainstorm sana kabla hujaja na analysis kwenye session. I like to listen to smart minded guys like you mkali.
@chomasensi
@chomasensi Месяц назад
Siasa za Kenya huwezi elewa hadi uishi humu. Hakuna mtu aliyemkosea Rais heshima, katiba inatupa uhuru wa kujieleza bila woga. Kenya tunaamini Rais anachaguliwa na watu, mungu hatujai muona akipiga kura.
@AbdallahSalim-tf1ee
@AbdallahSalim-tf1ee Месяц назад
Simulizi wajua ww hujui kenya vzuri wamjua ruto kweli wwukiina watu paka wameandamana ujue watu wamechoka
@vincej9275
@vincej9275 Месяц назад
Wewe SNS hujui Ruto, hujui wakenya wamepitia shida kiasi gani kwa sababu ya huyu Ruto !!
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 Месяц назад
Following from Swaziland 🇸🇿,Ruto hafai kuwa Rais wa nchi hiyo.
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Месяц назад
Mpeleke mamako akaongoze kenya
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 Месяц назад
Walimfanyia vibaya😢😢😢😢😢 wanaifanya km vijana wote walikua na kazi wakati saa zote kenya Africa sio rahisi wote au half of the country. That's disrespecting the president. They didn't want to question him just kumnyanyasa tu😢😢😢 🇬🇧
@mndolwahiza
@mndolwahiza Месяц назад
Nikweli kaka sapoti hatamm sikupenda
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra Месяц назад
Kaka Kenya Tulisooma Katiba Vizuri..Na pia Tunajua Uhuru wetu uko wapi Sasa wewe Wala Usisononeke
@Hamisi8465
@Hamisi8465 Месяц назад
Eehee heshima tena.. Heshima utapewa tu kama inakustahiki wala sio venginenyo
@abdallazakaria6953
@abdallazakaria6953 Месяц назад
Brother huezi kuelewa hii kama we si mkenya.........hiku tuko na uhuru wa uandishi wa habari.....so the president can be asked anything cause he is a servant of the people.....he owes every citizen an explanation
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr Месяц назад
Wanasema mfa maji haachi kutapatapa sasa Ruto kayakoroga wacha ayanywe Bravoo Kenya mmeonyesha mfano Nyie ndio mabwana wa East Africa huko kwengine ni Coward peoples
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 Месяц назад
Tumetenga tu tutafanya aaaah Uongo tu ukweli aaah.
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra Месяц назад
Yani wewe Hata Haujui Unaongea Nini Surely 😅😅😅
@kusudihalisi9537
@kusudihalisi9537 Месяц назад
Alikkosea sana kuishambulia urusi. Hiyo ni laana kwake
@gracelema2374
@gracelema2374 Месяц назад
University of Dar es Salaam motto say "HEKIMA NA UHURU".
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Месяц назад
Sasa apewe heshima gani wamezika ndugu zao walouwawa kwa police alowatuma😢
@alexsilungwe1620
@alexsilungwe1620 Месяц назад
Watching from Zambia
@athmanabushir1622
@athmanabushir1622 Месяц назад
kaka tafadhali mambo ya kenya tuachie wakenya sns hufuatilia sana chanel yako rais wetu tumechoka nae sai ndio aseme ukweli. siku zote wakati mtu ako na hasira kauli anayotoa huleta maana kuliko kumuacha ajiandae ndio atudanganye.
@Abdullah-hb6sf
@Abdullah-hb6sf Месяц назад
Kabsa bro
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Месяц назад
Kweli kabisa
@KhamisBeja
@KhamisBeja Месяц назад
DJ sma hii ungengoja kama siku mbili Tatu bro ukafwatilia deep alfred kiter kutekwa kwake imekua issue coz he was a former member of parliament but watu wanachukuliwa bro fwatilia
@Dearm-ome2in1huba
@Dearm-ome2in1huba Месяц назад
I am a Kenyan citizen and I look closely at your RU-vid but today you were not given the best among Ruto and they have news when Ruto was growing up he was asked a question Ruto answered other things
@abdullahnassor9433
@abdullahnassor9433 Месяц назад
Kwa bahati mbaya anafanya kampeni bila kueleza hali ya sasa nchini Kenya
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
nimeskia round-table yote. Napenda vile wakenya wanaujasiri na kumuuliza Rais wao maswali magumu..na pia nimemuona Ruto anaakili ya kuzaliwa. Kenya wanaRais shupavu..mie napenda sana Ruto..Kenya wampe mkuu nafasi...ngoja ss nikachuue maji nisikilize kaka zangu hawa
@RahimMollel-yi9nd
@RahimMollel-yi9nd Месяц назад
Ruto kumbuka kua sisi niwa afrika ataupewe Amerika mbado wa Kenya wata andamana Fanya kuwasikiza unachotaka
@Emanuelfrankasei
@Emanuelfrankasei Месяц назад
Tupo pamoja nafurahia kupata habari bora
@abdulswamadabdallashee5802
@abdulswamadabdallashee5802 Месяц назад
Please halafu usifikiriye huko kwenu Tanzania ukaliganisha na Kenya, nyinyi bado hamujielewi kisiasa ndio ukaona kuanzia Tanzania ipate Uhuru wake mpaka Leo chama NI kimmoja tuu CCM, kwahivyo nyinyi hamujielewi kisiasa kwahivyo wacha kulaumu wakenya wanavyofsnya saii kwa Rais ruto
@ChireGriffin
@ChireGriffin Месяц назад
Tanzanaia waandisshi mnaweza kumuuliza maswali kama hivyo
@rukkynassor2279
@rukkynassor2279 Месяц назад
Wewe hujui kenya tunayopitia maisha .serekali ni wizi wakubwa hujui hao wafanyakazi pesa zao zinavochukuliwa na serekali .kila mtu amechoka na hii serekali
@kelvin8324
@kelvin8324 Месяц назад
Kenya hatupangwingwi President is our employee kama anataka kazi lazim ajibu maswali venye tunataka.....tupeeni huma mama samia one week muone aki badili mpaka dini ....sisi ndo wale wabaya...🎉🎉
@nicoledinga9948
@nicoledinga9948 Месяц назад
Ruto sympathizer, invite him to sns and treat him like a king aje awadanganye....you cannot tell us anything about this wicked evil man
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 Месяц назад
Ruto ana makosa nyingi kka sma maneno yak na matendo yk nivitu viwili tofauti adjusi from Mombasa
@AmadiJumanne
@AmadiJumanne Месяц назад
Kati ya kipindi nimeona unachambua mambo hapa umechemsha uko upanda wa raisi na nimegundua uko upande wa ruto.
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 Месяц назад
Sns hakuna kitu unachambua hapo, siasa za Kenya wachia wakenya...huwezi elewa hii maneno...you are so personal
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Месяц назад
Kwahiyo unajari vitu kuliko maisha ya watu? Aiseee ebu waachie wenyewe
@romanusjuma-up6eb
@romanusjuma-up6eb Месяц назад
Ruto anawaita Wahalifu- Criminal tena Kwa uhakika. Sasa wanapombana Ruto kuthibitisha Hilo mbona unamtetea? Acha kabisa uhuru wa habari Kenya uko safi.
@chrisnyarugeta8814
@chrisnyarugeta8814 Месяц назад
So disappointed na Dj. Bundala why allowed this guys. The way Tanzania hueshimu president wenu , it s so different na kenya.
@MwauchiMwatela
@MwauchiMwatela Месяц назад
Nawakubali sana ila kuhusu ruto tunamjua ss wakenya
@J4UPro
@J4UPro Месяц назад
Huyu ni mchambuzi ko haruhusiwi kwani?
@mohammadabdul45bb57
@mohammadabdul45bb57 Месяц назад
bro umesema ukweli ameamsha hamasa upya
@josephshitindi9072
@josephshitindi9072 Месяц назад
This is good, but now he has to go back asikilize yote achambue tena. Hajabalance story yote we need full uchambuzi
@ashabaibe1450
@ashabaibe1450 Месяц назад
Uko upande wa ruto sijui ndio asmaa you're not a Kenyan and you can't understand chenye Kenyans wanapitia kama hukupenda wanahabari wetu focus na tanganyika yenu yenye mumekaliwa na viongozi lakn mko kimya sasa ww kama nani wasema hujapendraa pyeeee #Rutomustgo
@sarahonguso6187
@sarahonguso6187 Месяц назад
Interviewing Ruto, don't think it's easy. He never got proper scrutiny. Kenya is a democratic republic, and the supreme power belongs to the people. Can you ask yourself this question, first it was #RejectFinanceBill2024, and now people have changed the tune to #RutoMustGo!
@romeotv2542
@romeotv2542 Месяц назад
Bro it's better you focus on gaza and not Kenya 🇰🇪...we kenyans we know what we want ....# ruto must go... Please we know how the democracy works ...
@SundayMtachi
@SundayMtachi Месяц назад
Bila A mbili huwezi elewa Dj sma ni Genius....wengi hawataelewa
@eliyanibitanga4770
@eliyanibitanga4770 Месяц назад
Amen Dj ❤
@chrisnyarugeta8814
@chrisnyarugeta8814 Месяц назад
Before huu chambue, you need to have all the resources, sio kwaku fatilia one interview moja . The MP walisema NUMBER ZAO ZIKO OPEN na akuna alie pigiwa simu.
@cocotz1892
@cocotz1892 Месяц назад
Ukiwa huna D 2 uwezi kumwelewa Dj sma vitu vingine Kama vya Taifa utakiwi kuongea kwa hisia au kuwa na upande
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j Месяц назад
Katiba ya Tanzania na Katiba ya Kenya ni tofauti. Kenya rais sio Mungu ni mtu tu,Tanzania rais ni Mungu na hana makosa aheshimiwe hata kwa akifanya maovu.uchambuzi wako huo kwa Wakenya ni kama kipofu kumuonesha rangi mtu mwenye macho mazima na yenye kuona.
@user-wu7yx9zj6o
@user-wu7yx9zj6o Месяц назад
Yeye mwenyewe ndio kajivua heshima sio wahandishi wahabari
@abassimussa7473
@abassimussa7473 Месяц назад
Watanzania nyinyi hata kuchoma picha ya raisi mtu anapelekwa gerezani
@gideonmageto4623
@gideonmageto4623 Месяц назад
Sisi ndo tulimchagua anafaa atuheshimu .. period my guys did well
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Месяц назад
Ww dj unafahamu maana ya round table hii ni meza huru hakuna limit ya muda kuongea ni kama mnakua muko kwenye meza ya kahawa pale barabarani.
@Laughfun48
@Laughfun48 Месяц назад
We Dj sma unataka tukusalimie? Focus mambo ya Kenya huelewi
@TwahaMaziku
@TwahaMaziku Месяц назад
Dj smaa upo vizuri sana umesema kweli mingu ndo humchagua kiongoz awe mzur au mbaya
@abushaddad989
@abushaddad989 Месяц назад
Dj Sma umesema ukweli kafanya kosa kubwa sana kufanya hii roundtable , kwa sasa vijana hawana heshima kabisa na Rais Ruto yan kila mtu anamtusi kadri anavyojua matusi yake
Далее
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,6 млн
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 276 тыс.
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 435 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
Israel launches preemptive strikes on Hezbollah
3:34
Просмотров 231 тыс.
JEAN CLAUDE VAN DAMME | FULL MOVIE | SIX BULLET ( 2012 )
1:54:44