Тёмный

Rais Ruto atetea hatua ya kujumuisha ODM serikalini 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Rais William Ruto ameanza ziara yake ya siku nne pwani kwa kutoa hundi kwa vikundi vya maendeleo jijini Mombasa.
Rais ameitetea hatua ya kuwajumuisha wanasiasa kutoka upinzani katika baraza lake la mawaziri akisema ni njia ya kuunganisha taifa. Rais ruto ameelezea matumaini kuwa hassan joho ataboresha maendeleo katika wizara ya madini na uchumi wa Bahari. Naye gavana wa mombasa ametaka familia za wale waliopoteza maisha zilipwe fidia.

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@SeyongMasi-ug6sb
@SeyongMasi-ug6sb Месяц назад
Ruto is a veteran in this game😂😂😂😂👊👊👊. Gen Z is only a scratch.
@amanijuma4484
@amanijuma4484 Месяц назад
Sasa jameni awa viongozi
Далее
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Просмотров 6 млн
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 19 млн
Familia zaidi zajitokeza kudai kupotea kwa jamaa
3:43
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
Vituko na sarakasi za makala ya mirindimo
4:35
Просмотров 163 тыс.
Ruto’s Tricky Gamble on Raila
13:42
Просмотров 8 тыс.