Hongera your Highness, Madam President Dr Samia for receiving such a "Grand Receiption", in Indonesia. Mambo haya ndio yanawachomaga sanaaaa.. "Wapinzani". Nilifurahi Sana kuona Dege letu likitua Indonesia. I felt so proud. Congratulations our "Great President." Mimi nishakupigia kura ya ✓na bado kuapishwa tu.
Akika tunamuombea mama yetu mungu amulinde na Kila aina yoyote ya mabaya mungu ibaliki Africa,mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿 Asante na woch nikiwa Nairobi🇰🇪But my home is Tanzania, 🇹🇿 Bukoba mkoa wa Kagera,Mugana kiziba ,Bwanjai virage.
Heshima amepewa hilo gari ni na aina ya m benz G wagon kaki sana...lakini alipo shuka hakusalimia wengine.wueh hilipwe mshahara na african presidents niwapee mawaitha pesa ziko africa....hongera Tz president🎉🎉🎉.
Roho. Za kishetani hizo ! Kuna siku utajiua wewe ! Kama hujajaza luku tutajuaje ? Uzembe wako unatutangazia sisi ! Maisha yako duni hayatuhusu , si ukaolewe?
Angekua mama yako ungesema maneno hayo? au kwakua sio wako na hii ujifunze ndio maana ya wivu WA kijinga yaana mafanikio anayopata asie kuhusu unatamani yaondoke kifupi ndio tunaita roho za kwanini?
Huu uandishi wenu uchwara,unakuja na kichwa cha habari chako cha kipuuzi. Ulitaka Rais aingie kwa baiskeli ya miti au bajaji? Mkue na kukomaa akili zenu.
😂Kwa wale limbukeni,washamba.na mbumbu hapo rais hajapewa heshima kama samia.Kinachopewa hiyo heshima ni Taifa.Hata mngepeleka kichaa,Tahira wao wangeangalia Taifa atokalo.Ndiyo maana wale askari wamebeba bendera ya.nchi. Mpo machawa?
Chuki zako zitakukondesha broo, huyu mama anaheshimika huko nje kuliko ww unavyodhania, ww endelea kumchukia tu ila untill 2030 tukonae mjengoni, never stop her ,