Тёмный

RAIS SAMIA 'AWA MBOGO' IKULU SAKATA LA WATU KUTEKWA "NAELEKEZA WIZARA ZOTE" 

Uhondo TV
Подписаться 602 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 144   
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 Месяц назад
Nakuelewa vizuri sana Madam president ila namna unavo ongea kama nawe unamlalamikia mtu afanye toa tamko la jumla hao unao waongoz bila kuwa mkali kazi haiendi
@RahmaToki-w6p
@RahmaToki-w6p Месяц назад
Ya allah awahifadhi mama samiya na ndugu wote wa tanzania
@HaulSidney
@HaulSidney Месяц назад
Shida mama wahalifu unawajua na huwatumbui,watumbue hawa kinana, makamba,nape na bashe,kura yng nitakupa
@salamwajeka-yo6su
@salamwajeka-yo6su 4 дня назад
Mungu akubariki mama shugulika na watekaji
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Месяц назад
WATEKAJI NI JESHI LA POLISI. 👁️👁️
@salumsimai642
@salumsimai642 Месяц назад
Unauhakika au ilimradi tu naww ukoment
@user13375
@user13375 Месяц назад
Ubwaaaa😮😮
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Месяц назад
​@@salumsimai642KINACHO MFANYA ACCOMENT VIBAYA NI KUTOKANA NA KUTOKUPATIKANA WAHUSIKA HADI WAITWE WASIOJULIKANA NA JUZI TU KUNA KIJANA ALITEKWA DAR KWA MDOMO WAKE AKASEMA WALIOMTEKA NI POLICE WAKAMPELEKA HADI KATAVI MBUGANI NA KUMPIGA RISASI NA KUMTELEKEZA HUKO, MUNGU SIYO MTU WALIJUA WAMEUA KAFUFULIWA NA KARUDI SASA POLICE WASIMAME WALE WA KITUO TAJWA WAJITETEE WENYEWE WASIKAE KIMYA AMA KULIJIBIA JUU JUU TU. SIYO KITU KIZURI MLINZI KUAMBIWA NDIYE ANAYEIBA BADALA YA KULINDA.
@fatmapondeza1984
@fatmapondeza1984 День назад
Na wabakaji pia ni wao
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 Месяц назад
Hiii nchi shida sanaa hawa ccm Raisi analalamika badala ya kuja na solution harafu tunaviongozi kweli viongozi walalamikaji?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Umeenda kuhamisha wazanzibar wote umewapa kazi zote nyeti kumbe mkiwa na malengo ya kutumaliza. Kila mahali na wazanzibar kwahiyo watanganyika watoto wetu wamekuwa wa kungoja kuuwa hata kama wanatafutia maisha yao
@LucasMtatiro-c4v
@LucasMtatiro-c4v 4 дня назад
Mama yetu tuokoe mungu yuu nyuma yako utekaji umekidhiri vunja magogo wa vgombo vya usalama wa raia acha jeshi2
@MickyMgeri
@MickyMgeri Месяц назад
Kiwango cha juu cha unafiki..anaongelea watu kujiteka ila haongelei kabisa yule aliyetekwa aliyepelekwa karakana ya kituo cha polisi osterbay hagusii kana kwamba hana taarifa.shame on you.
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Sio aliye sema walio maana sio mmoja ati.Sjui leo ndio kajua
@josegambi7149
@josegambi7149 Месяц назад
Mama watekaji unao hapo hapo. Wapo police ambao wanamadaraka hayo na usalama wasio na utu na uzalendo
@MatikoMarwa-g6m
@MatikoMarwa-g6m Месяц назад
Vizuri mkuu wa nchi welldone we believe you too
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r Месяц назад
Angalau umelisemea .Tunaumia sana,mtu kupotea for ever.Inasikitisha sana.
@saidmtetwa4363
@saidmtetwa4363 Месяц назад
Watekaji ni jeshi la police Tanzania
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 22 часа назад
Unakumbuka shuka kumekucha watu wanatekwa kilasiku leo ndio unajitokeza
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Hana maneno huyu mbwa wanawjuwa wanaowateka na kuwauwa watanzania
@johnsonsamwel7207
@johnsonsamwel7207 Месяц назад
Kwani yule jamaa aliyesema watu wakipotea wasitafutwe vp mbona kimya hajasemewa
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Месяц назад
Na kuuza Inchi ndo maendeleo na mbuga za wanyama kuchimba madini mokopo nk unarudisha uchifu umerudisha ukabila nk. Baba Wa Taifa alifuta uchifu imekuwaje unarudishwa Samia wamasai Kia watu wanaondolewa kila upande 😔 ZNZ imetulia
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Месяц назад
Mila anawekeza kwenye kuuza bandari na misitu na mbuga za Tanzania Raisi wa hovyo kuwahi kutokea Duniani. Sativa alitekwa na jeshi la Polisi na Mbwana walitekwa na jeshi la polisi kwa amri ya nani kama siyo Raisi
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Месяц назад
Watekaji ni jeshi la police na usalama wa taifa, ila muda utafka tutachoka na tutachukua hatua mkononi kama kenya haiwezekani kila cku watu wanapotea kisa tu mt u kakosoa, af isitoshe anakosoa ukweli.
@user-vf8wv8hi5b
@user-vf8wv8hi5b Месяц назад
Mama toa kauli za kirais usiongee kinyonge ww ndio mkuu wa nchii
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 20 часов назад
Wachunguzi wa utekaji watoke nje ya nchi,
@djfaraji
@djfaraji 4 дня назад
Uyu ndiyo laisi wangu ninayo mjua mimi samia tena
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni Месяц назад
Mama mh Raisi Wang umeongea ukweli
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 Месяц назад
Mambo haya yote yanapotokea ni dhahiri shairi kuwa serikali ni dhaifu, viongozi ni dhaifu kuanzia na raisi mwenyewe. Unafiki bado ni changamoto kubwa kwa viongozi. Mpaka raisi na viongozi wengine watakapotekwa ndio kitaeleweka.
@nicholausmahenge8247
@nicholausmahenge8247 8 часов назад
Watu hawatekani misiba udhulia kuanzia kesho ndo utajua watu wanatekana
@charlesmkisi8052
@charlesmkisi8052 4 дня назад
Hongera sana mama🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Месяц назад
Mungu hatoi madaraka. Ndo Maana unachagua viongozi kwakua kwenye katiba unaruhusiwa. Umewahi kusikia mtu anachaguliwa kama hajajiandikisha au ?
@user-xh3kl1oo9y
@user-xh3kl1oo9y 3 дня назад
Raisi umeongeakitu ambacho Tanzania tunakipotezasasatuanze salamukwako raisi nimefurahisaana kwamane ohayo ya tamadunizetu
@obednyagani506
@obednyagani506 7 дней назад
Huyu aliye sema shughulika nao mbona humtaji mama
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud Месяц назад
Kukopa na kuzulumu watu pia ni mafanikio utanzania ni CCM kuwa dino na wanaccm kuwa ni miungu watu
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 Месяц назад
Kuwa na adabu basi
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile Месяц назад
Hayo ni maoni yake toa na wewe maoni yako tuone adabu yako ​@@nahlaaasidee1848
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 5 дней назад
Somo la historia nalo umelisahau huwenda wenye roho za utekaji wakajifunza utu wa tz
@nicholausmahenge8247
@nicholausmahenge8247 8 часов назад
Watu wanakufa jamani RAIS wanakudanganya kwahiyo hii misiba ni Burundi
@emmanuelsiwale7100
@emmanuelsiwale7100 Месяц назад
Sativa kajiteka kajipiga risasi kweli drama hizi
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 Месяц назад
Kabisa mama YETU HUWEZI ukasema una maendeleo alafu umeziacha mila na desturi zetu. Nakuunga mkono asilimia mia. KAULI YAKO Mh RAIS imekuwa na msukumo Mzuri. Kuteka Albino na watoto halikubaliki Mh RAIS wetu Dr SAMIA SULUHU HASSAN. USIKUBALI kemea kabisa mtoto yule alivyokuwa Mzuri anauwa bila sababu za MSINGI. Be bless Mh RAIS.
@Simion-wy6vt
@Simion-wy6vt 3 дня назад
Watekaji ni hao police wako
@The1979bornagain
@The1979bornagain Месяц назад
Kwa ishu ya utekaji bila shaka hana taarifa sahihi na za kutosha. Amelishwa uongo na hajalisema na kulitolea maelekezo kwa mamlaka stahiki. Rais Samia kwa hapa umechemka!!
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Месяц назад
Oya Bro anayafahamu yote ila kwasababu yeye ndo anayewatuma watu wachini yake wafanye hayo mambo ndiyo maana hakazii juu ya hilo Take an example Sativa alifuatwa na jeshi la polisi kwao na akajikuta yupo Katavi,Je yeye kama Raisi amemuwajibisha huyo Polisi aliye tenda hivyo? Kama sivyo kwa nini? Kombo Mbwana alitekwa na Jeshi la polisi anajua ila analeta propaganda as if anaongea na watoto hivi.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
kwa kweli
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Mahakama zetu police mpaka wananchi tuje tuwachome tuanze moja
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Nyerere aliyekomboa Inchi hii na kuweka vizuri aliondoa uchief wewe nani? Hata kurudisha uchifu?
@allykassim1120
@allykassim1120 Месяц назад
dah! MWENYEZI MUNGU atusaidie hili janga maana hivi vyeo kumbe ndio vinavyosababisha haya😢😢
@PaulTajiri-vu4xu
@PaulTajiri-vu4xu День назад
Nani kamlindq kama siyo wewe rais wetu watanzania wako mkonononi yako unamwambia nani amlinde
@doiabel3793
@doiabel3793 Месяц назад
Sungu Sungu urudi nchi nzima kila mkoa kila wilaya kila kijiji Sungu Sungu, bakola sana
@dn.n4983
@dn.n4983 Месяц назад
Kweli jamani Doa kumbwa nchi kabisa umongea kweli
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Hawo waliokupendeza kuwa msaidizi wa raisi ndiyo walikusea na Kikwete anajigamba ati ndiye alifanya hivyo. Na wewe Kikwete mtapata laana kubwa na vizazi vyenu kwa haya yanayotokea katika Inchi hii hata wanaotakiwa kujihuzuru wameng'ang'ania tu utadhani wamekandishwa. Ni kwa sababu hawajamaliza malengo uliyowapa ta utekaji na kuuwa?
@ElishaMwita-v2z
@ElishaMwita-v2z 6 дней назад
Mam chukuwa hatua mamuzi magum ndo suluhu
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 Месяц назад
Kwani mapungufu yapo kwanani mbona kwa jpm hayakuwa hivi minazani wamekubeza au ujitaidi amli usiseme mkajitaidi Yani wewe tatizo unaagizatu unaoagiza hawatendi kama kipindi chambe
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 Месяц назад
Rais hichi sio kizazi cha kuomba na kunyenyekea watu Ww ndo una msheshi waambiye walinde Raia hao askari wako ndo chanzo Cha yote
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 7 дней назад
Kwel mama ata mm siamin kama ni polis wanao Fanya haya hapo nakumbuka mambo ya Mbwen Tunaye muona ndg ndiye aliye kuwa anatekeleza huu upuuz😭😭
@rutashobyanovath1116
@rutashobyanovath1116 Месяц назад
Mbona unasema watoto husemi wakubwa?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Alafu anabwabwaja wanajiteka. Ally Kibao alijitoa kwenye busi na kujiuwa? Siku moja utakuta mwanao au familia yako imefanyiwa ndiyo utajua. Tutahakikisha tunaingiza watoto wetu kwenye hivyo vyombo ili nasi watanganyika tujitetee siku moja au tulipize kisasi.
@ElishaMwita-v2z
@ElishaMwita-v2z 6 дней назад
Mama umechelewa Hawa watu wamekuwa sugu hatuwezi kutumia hela za walipa.kodi kuwalipa wauwaji
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Месяц назад
Mama tuma vikosi maalumu vifanye uchunguzi kama ni kweli mtu anaweza kujiteka Dar na akajipeleka Katavi na kisha kujipiga risasi na kujitupa mbugani au albino kujiua na kujikata viungo, hapo nadhani wa kutusaidia ni vyombo vyako vya usalama. Ila hii kutekana na kuumizana ni utamaduni mbaya sana. SERIKALI TUOKOENI WANANCHI.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Wewe nadhani warabu wamekupa objectives to achieve. Ili warabu waweze kuja kujazana Tanganyika. Mbona unauwa watanganyika tu. Hao wazanzibar wako salama? Kwani unalipiza kisasi gani kukupa kututawala ndiyo kosa la watanganyika. Wewe siyo mtanganyika Ondoka haraka hatukuitaji wewe kwa sababu una agenda mbaya kwa watanganyika. Wewe siyo mtawala bali muuwaji mkubwa.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Wewe unabwabwaja kujifurahisha ili ufurahie kwa kuuwaondoa vijana wa watu wewe Watoto wako wamekuzunguka lakini hii laana unayoingiza Tanganyika iyakufafuata wewe na vizazi vyako kola mnakoenda. Ondoka unamaliza Watoto na ndugu zetu. Kauuwe wak usikie uchungu tulio nao pia. Unapongea ujinga tunaumia zaidi
@user-xh3kl1oo9y
@user-xh3kl1oo9y 3 дня назад
Sawakabisa lazimatuheshimutamadunizetu
@etropialangai6415
@etropialangai6415 4 дня назад
😭😭😭😭😭
@pueblo148
@pueblo148 Месяц назад
Mama nakuomba sana mama yangu na kiongozi wa taifa letu. Hili swala la kutekwa mama linaumiza sana hasa sisi wakina mama.Naona unaongea Kwa uchungu mama mpk nahisi kuumia na Mimi lkn bado mama kazia sana na hapo taifa linatoa machozi mama.
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 Месяц назад
Hii nchi ishaoza
@Mwanafundi
@Mwanafundi 5 дней назад
Duu
@melvingodfrey7036
@melvingodfrey7036 Месяц назад
Hapa kiongozi kuwa mkalo haswaa Kila kiongozi afanye kazi yake viombo vya usalama wafanye kazi haswa
@obednyagani506
@obednyagani506 7 дней назад
Na mzee kibao nae kajiteka mama kuwa na huruma mbona Zanzibar hatusikii watu kutekwa
@HellenaMky
@HellenaMky Месяц назад
Hao viongozi ndo wanao huska. Kuua watu. Ongea kwa ukali weka msstizo hao wanagazi yachini wawajibike. Wanashirikiana navigogo
@Gaynor1234
@Gaynor1234 10 дней назад
Watu wengine wepi kama si Waarabu wako? Unafanya nini, na unasema nini. Matukio hayo yote si ni sawa na watu kutekwa na kuuliwa, mbona ulinyamaza kimya. Sasa nini kimekusibu mpaka umeamua kutasema leo.
@amotvtz1302
@amotvtz1302 Месяц назад
Toa tamko Moja sio kuongea hvo wew ni raisi wa nchi mamalaka zote zipo chini yako mbingu na ardhi vimekuchagua
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Месяц назад
Somo la historia muhimu sana ndo lililsaidia sana.
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka 25 дней назад
Okay okay lakini tuna mahitaji ya muhimu Sanaa nani atatusaidia kutuongoza cc mmm machifu sio suluhisho bora zaid kiboko ya wachawii😂
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
❤❤❤❤
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k Месяц назад
Mbona mama yupo vizuri kwann hawa wanaomsaidia wasimuunge mkono mama tatizo nini kwa mnaomsaidia Rais mbona mnamwangusha?
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Месяц назад
Nape alivyosema goli la mkono amekuchafua. Chalamila naye kalewa madaraka na kusimanga wamachinga. Watumbue
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Nchi ya mifano kila kitu ntawapeni mfano. Nyinyi wenzetu maendeleo mnayo mmetoa wapi?
@JUSTINPiniel
@JUSTINPiniel Месяц назад
waganga bila kwisha
@profs.a5412
@profs.a5412 Месяц назад
😂😂🏃🏃🏃
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Месяц назад
Mama wewe mama watekaji unawajua bhana 😢😢😢 kemekea hiro jambo
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 Месяц назад
Wanaolawitiwa wenyewe mbona husemi? Ukatili umezidi nchi hii.
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
SAF SANA MAMA YAN TUNAKUPENDEA HICHO UNA MANENO YA BUSARA SANA NA NDO MAANA NCHI YETU IKO SARAMA
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg Месяц назад
Wakosoaji wanatekwa na nani nani anawatuma
@user-ez7lk3it5s
@user-ez7lk3it5s 6 дней назад
Mbona kwakikwete.mkapa.mwinyi.hayakuwepo.yautekaji.tujiurize.serikari.nikweri imera.wewe.siunaona.hata.migambo.wajiji.wanavyotesa.wanaiichi.mtu.kabebe.beseni.yandizi.kichwani.kacho.kaona.akae.chini.apumzike.mgambo.hawo.hapo.wanabeba.ndizi.wanaondoka.nazo.maisha.nimagumu.machinga.anakosa.pakukimbiria.wapeni.ruhusa.wamachinga.wafanye.kazi.kwauhuru.make.inaonekana.nihasira.yamaisha.ndomana.yanazidi.kuwa.mengi.hiro.naro.kama.serikari.mriangarie.watu.hawana.imani.naserikar.yao.
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Rais nawaliomteka yule aliyepatikana Katavi Ikoje
@kibambiibrahim5714
@kibambiibrahim5714 Месяц назад
Wahusika wakubwa ni wahanga wa kienyeji Kwanini serikali inatoa leseni? Chunguza kwanza hao Sio Kweli kwamba hawahusiki
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg Месяц назад
Kikosi kazi hawana kosa, wanatumwa na Wanasiasa, nyie Allah awalaani hapa duniani na Akhera awatie katika moto wa Jahanamu daraja la kwanza kwa ugali,
@GangaJamna-i3l
@GangaJamna-i3l Месяц назад
Drama drama tu mama umewashtukia
@HellenaMky
@HellenaMky Месяц назад
Unachokiongea walahukijui badala utoe tamko. Police wanakazigani. Wanajeshi wanakazi gani. Kwahiyo inataka yakitokea watu wasiseme. Maana ulalamatu. Kwamba unayasikia. Nayakitokea lawama kwa. Selekali selekali ndyo unajua. Watekaji?
@user-mp6vh3mz9t
@user-mp6vh3mz9t Месяц назад
❤🇹🇿❤️
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 Месяц назад
Jamani wachini awana mshahara wanakata tamaa watafutie posho mh
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад
Utumwa upon mama SI unaona tumesomesha watoto harafu bandari wamechukua tena
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Месяц назад
Wanaohusika na utekaji niwanasiasa hilo lipo wazi naipo siku atajulikana mbwa sana kuichafua serekali
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b Месяц назад
asante sana je nauliza awa wateka nyara ni kinanani je serekali sinawajua je nauliza tunatekwa Ili nini. Serekali iwache porojo kutuletea watendaji kutoka maeneo mengine tunataka haki tupewe tusipopewa haki zetu itakuaje mkituambia tuko huru chunga sana watanganyika Samia Wacha udini naubepari tengeneza sura alisi ya Tanganyika kwamaana iyo watanganyika Awana ajira ata mmoja atuambie sababu nchi yetu tunateseka Wacha kusumbua. ya watanzania wafanye nini atutakubali kamwe CCM itugandamize kwa miaka 60 bila huruma. wazee Awana pensheni yao wakina kinana kikwete wao wanapewa je sisi wazee wa kimasai mbona amuwaoni wazee wooote wa kitanzania wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na wezi wachache mwsho wao umefika
@KissussiIbolinga
@KissussiIbolinga Месяц назад
😢
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Месяц назад
Yaani mambo serious kama kutekwa kwa wananchi unaona ni lakukaa na machifu? Na je nani anayetupeka utumwani kama siyo Wewe kama Raisi kwa kuuza bandari kwa waarabu na kuwapa mamlaka ya kuipekua hata mizigo inayokuja Tanzania hata kama tupo Vitani na Dubai? Nani nani nani kama siyo wewe Wewe ni Yuda Eskariote msaliti shetani mkuu wa Tanzania jambazi mkubwa.
@alexdukes5547
@alexdukes5547 Месяц назад
Siri ya uongozi ngazi ya urais uwe mkali toa kauli,na usiwe na utamaduni wa kukaa ofisini toka nje sema wajibu,na imani ukitoa maelekezo na tamko kama amiri jeshi mkuu hivi vitendo vitakoma kabisa
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 Месяц назад
Tuwe wazi, hakuna kulala, SERIKALI. TUKUMBUKE KUNA WAKATI WAZIRI MKUU ALILIA!
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Месяц назад
WACHAWI WETU NDIO MILA ZAO WANAPENDA KUWA MAALBINO KWA MAMBO YAKIJINGA
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Месяц назад
Warabu walileta mambo yao tukayafanya kua ya kwetu.
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Месяц назад
Mama unaongelea utekaji wa maalbino vipi wale wanaokosoa serikali?? Inakuwaje mtu anatekwa anapelekwa karakana ya polisi?? Kwa hilo lazima wananchi walaumu serikali hakuna raia anaweza kumteka mtu kisha akampeleka kituo cha polisi.
@robertnkovuma7488
@robertnkovuma7488 Месяц назад
Jitafakari raisi unakusanya wachawi ndo unaongea nao
@msabahaali758
@msabahaali758 Месяц назад
utekaji je wengine wanapelekwa vituo vya polisi
@jaffarjuma1326
@jaffarjuma1326 Месяц назад
Ukipiga marufuku ushoga na ukawa ukawa mkali kwa machafu mungu atatuelewa
@ramadhanihamadi6304
@ramadhanihamadi6304 Месяц назад
Brooo ushoga unaanza ngazi ya familia zetu tunapaswa kukemea sisi sote ushawahi skia mmasai shoga? Tusimvishe mh mzigo mkubwa
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
​@@ramadhanihamadi6304Ndugu wote hao hawana Kinga, kinachotakiwa kupambana na adui kwa kila njia. Wazungu wana mbinu nyingi za giriba. Ni kupambambana hakuna haliye salama asilimia mia.
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Месяц назад
​@@ramadhanihamadi6304weee lazima aubebe hukuziona ofisi zingine zilianza kuweka bendera za ushoga ? Na kingine kenya 🇰🇪 nao walianza kupandisha bendera za ushoga mpaka wananchi tukalalamika ? Hawa viongozi wanakopa mikopo kwa mashoga huko Europe
@MaulidMazombwe
@MaulidMazombwe 4 дня назад
Hahahahahah
@tatuali8538
@tatuali8538 Месяц назад
Bado tunalaumu serekali kwa sababu hawajatilia mkazo suala la utamaduni kwenye vituo vyao vya kibalozi wao ndo wawakilishi wa Tanzania nje wasiposimamia hilo Diaspora waliopo hawawezi kulifanyia kazi serekali iweke umuhimu iwe inapeleka afisa utamaduni kwenye mabalozi
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Месяц назад
Huu utawala mbovu tu, huna uwezo wa kuliongoza hili taifa. Maisha magumu mtaani, kodi zimekuwa lukuki na kufanya maisha ya watu kuwa hovyo. Jua tu huna uwezo wa kuliongoza hili taifa, ninakushauri usigombee 2025 vinginevyo utajiletea laana kwa vizazi vyako vyote.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Месяц назад
Sanaaa!mmbovu sijui kama yeye haoni
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa Месяц назад
Pole sana kwa mawazo mgando kutegemea serikali ikupe maisha..
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Месяц назад
​@@MkungwaNgwarumbwakama serikali inakata kodi bila utaratibu je ? Mishahara ipo chini kodi zipo juu zaidi ya mishahara
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y Месяц назад
Tuhuma ni jeshi la polisi linahusika asilimia mia moja kwa Moja kwa sababu aliyetekwa ameeleza Kila kitu kwamba alipelekwa kwenye karakana ya polisi oyster bay polisi Sasa wewe unazungumza utekaji gani yaani Rais simpendi huyu Tena mkuu wa nchi anasema Hana taarifa machifu ndio wanajua taarifa Sasa machifu nani anawajui
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Месяц назад
Jamani mmekazana sativa na nyie mpo kama huyo Samia ambae anaongea maneno upande mmoja mfano hebu chukulieni watoto kigamboni wanatekwa,na kuwaua , je hapo mnasemaje semeni sativa na watoto wadogo wanaolawitiwa
@PeterNMzee
@PeterNMzee Месяц назад
Sijamwelewa..... Hata kijiweni tunaongea hivyo pia....
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 Месяц назад
Watu wasiojulukana wa Awamu ya Tano wamerudi baada ya wewe Kumteua Yule KUWA Mkuu wa Mkoa Utekaji umerudi Upya ukizoea kula nyama ya Mtu Kila Mara utakuja Mtu Pangua wakuu wa Mkoa wiote wa Awamu ya Tano Wana Harufu ya Damu za watu ndiyo sababu mambo yanajiruduarudia Damu za watu zinawalilia.
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Месяц назад
Hehee mkimchukia mtu kabla ya makonda mbona tumepiga kelele sana za utekaji mpaka tukawa tunauliza Magufuli bado yupo mbona watu wanaendelea kutekwa hizo ni chuki sasa
Далее
MINECRAFT CREPPER EXPLODES SHARK PUPPET!
00:15
Просмотров 8 млн
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 655 тыс.
World’s Tallest Man VS Shortest Woman!
15:07
Просмотров 17 млн
Palestine takes new seat at UN General Assembly
1:04