Тёмный

Rais wa Belarus Alexander Lukashenko awaita Kamala Harris na Donald Trump ‘Wapumbavu’ 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 дня назад
Safi sana lukachenko kabisa wanaijielewa hawawezi kuwapigia kura wauwaji wamwagaji damu
@emmanuelugosmligo1016
@emmanuelugosmligo1016 2 дня назад
Ni sahihi
@adnanomary1955
@adnanomary1955 2 дня назад
Ukiwa na putin kila mtu unamuona kima 😂😂
@SarhaSaid
@SarhaSaid День назад
Haswaa 👌😂😂
@Saikalyasi
@Saikalyasi День назад
😂
@BabuDikwela
@BabuDikwela День назад
Kabisaaa😂😂😂
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 День назад
😂😂😂
@faridithomas4859
@faridithomas4859 2 дня назад
Hizo ni kauli za mtu mwenye marinda😁😁 Mtu asiyekua na marinda kama Sleep Biden hawezi sema maneno ya kishujaa kama hayo
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
Aah ha kwakweli
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 20 часов назад
😂😂😂😂
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 дня назад
Eti wote ni wapumbavu😂😂😂😂
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 дня назад
Big up
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 2 дня назад
Kama kamala harris ndo MPUMBAVU wa kutosha 😂
@amirinestory
@amirinestory 2 дня назад
Mwamba huyo...👊
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 дня назад
KIDUME LUKASHENKO😀😀😀
@MudyBoss
@MudyBoss 2 дня назад
Nikweli hawa wote wagombea wa marekani nizaidi ya wapumbavu
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 дня назад
Wenzetu Europe wako wazi wazi..WAPUMBAVU!!
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 2 дня назад
😂😂😂
@Juma-e8l
@Juma-e8l День назад
Bongo ungeambiwa una chaining dhidi ya nchi yako
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 дня назад
Aiseee😂
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 2 дня назад
Kabisa
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 2 дня назад
Vikaragosi vyenye kucheza na maisha ya watu uhai wa watu
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 21 час назад
Lukashenko yupo sahihi.
@LazaroMushi-j9k
@LazaroMushi-j9k День назад
Kweli
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 2 дня назад
Eti pumbafu
@martinndunguru7103
@martinndunguru7103 День назад
🎉🎉🎉
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 16 часов назад
ktk Maraisi ambao siwapendi ni huyu mwenye kichwa cha Panzi😅
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 День назад
Ni zaid ya wapumbavu...
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 дня назад
Hawa ndio wale wazee wakiwa kwenye jamii huwa na amani yakutosha
@SarhaSaid
@SarhaSaid День назад
Kabisa 👌
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 День назад
@@SarhaSaid 😊😊
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 6 часов назад
😂😂😂 daah
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 дня назад
Uchaguzi wa aafari hii kiboko
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 2 дня назад
Nikweli wapumbav
@mudriqsuleiman1
@mudriqsuleiman1 День назад
Km alivosema papa, wote Haris na Trump ni maahetani, labda tu angelic yupi ni afadhali ktk mauaji
@saidabdullah4878
@saidabdullah4878 2 дня назад
Amenifilisi 😂
@JAHANGOGOMI
@JAHANGOGOMI 16 часов назад
Du eti wapumbavuu😂😂😂😂hii Dunia inawati wababe xna
@justinmbangukira7034
@justinmbangukira7034 День назад
Yeye ndo mpumbavu
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 2 дня назад
Israel inasambaratika huko ili kufcha kinachoendelea et wanatembeza propaganda kuwa vinu vya nyuklia vya iran vinawaka 😂😂😂 wakati wao huko hapakaliki ngoja waione joto ya jiwe vita vinarudi kweny makaz yao waone raha yake na vile walivyo waogaa😂😂😂
@jamessiame5169
@jamessiame5169 День назад
Ana jipya shetani mukubwa huyoooo
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 День назад
Team Putin hawanaga unyonge 😂😂
@Kujason12
@Kujason12 День назад
Mzee ni jasiri si mchezo
@Saikalyasi
@Saikalyasi День назад
Lukashenko 😂😂😂😂
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 дня назад
😂😂😂eti wapumbavu
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 День назад
Nachojua wote hawa wagombea hawataipeleka mahala salama nchi ya America. Wote 2 wanapigania agenda za wengine . Time Will tell.
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 2 дня назад
Sns Mmepata taarifa kinu cha nyuklia cha katika mji wa kharaj iran kinawaka moto...🔥💥
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 дня назад
Umenistua duh ngoja niafatilie
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 2 дня назад
@@hajjiomary2383 ooh una Telegram ndugu yangu nikuelekeze taarifa iliporushwa
@AmaniMathod
@AmaniMathod 2 дня назад
Machoko wa kimarekani acheni jazba
@januariovirgiliodabali121
@januariovirgiliodabali121 2 дня назад
Sisi sote ni Afrika sasa kwanini kila siku muongele mambo la Ulaya tu? Jirani zeno "ndugu zeno wa Mozambique" wana matatizo makubwa kabisa, ila nyinyi umupo na woa. Badilikeni jamani........
@jamessiame5169
@jamessiame5169 День назад
Mutimwa wa Putin uyooo
@starjay3052
@starjay3052 2 дня назад
sasa uku africa inakuaje kama uko watu wanatoa aadi na wanatimiza lakini wanaoneka wajinga je awa wanao aidi na wanaingia mitini na kua mabilionea 😁😁🤣🤣
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 2 дня назад
LUKAshenko ni mkweli,hata Pyongyang ilisema vivyo hivyo!Magharibi yaaani Marekani na bwa wadogo zake wameshindwa kila kitu na Putin!Kila mtu anajua hilo,hao wagombea urais wawili wa Marekani ni vibaraka tu wa nguvu zinazowasukuma
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 дня назад
Muongo hizo taarifa umezipata kwa mayahudi kwamba kinu kinaungua hata kama kikiungua watalipa kisasi cha kuumiza
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 16 часов назад
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🪖🪖🪖 Putin akiwa mkali wako unawapa shit tu Hawa mabwege wa NATO 😠LGBT 😠
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 2 дня назад
NGOJA MWAMBA TRUM AINGIE
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 дня назад
Atamfanya nini? Hawana lao jambo hata wamsimamisha shetani.
@SarhaSaid
@SarhaSaid День назад
​@@mwawekomiuda9779😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 дня назад
Yeye ndiye mpumbavu
@dicsonbiko-wz7ym
@dicsonbiko-wz7ym 2 дня назад
na wewe pia mpumbavu
@SumuuKijoka
@SumuuKijoka 2 дня назад
wewe ni mpambavu
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 дня назад
Wewe zubeda tulia na wapumbavu wenzio
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 дня назад
@@jumaamohamed2815 ninyi ni wapumbavu sana
@justingodfrey8282
@justingodfrey8282 2 дня назад
Siansa zenu wajamaa hazina nguvu kimataifa acheni nchi zenye democracy ziwe huru na sera zao
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 2 дня назад
Kabsa wapuuzi😅😅😅😅 sna
@januariovirgiliodabali121
@januariovirgiliodabali121 2 дня назад
Vipi SNS brothers kwani amouni migogoro vinaoendeleya Mozambique! Hau munapenda sana kuongeleya habari za Israel na ulaia tu????
@muddyso1953
@muddyso1953 2 дня назад
???
@muddyso1953
@muddyso1953 2 дня назад
Ndio lazima tuwaulize
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 дня назад
Yaani hata jana Sudan wamekufa watu kibao ila Sns wako bizy na Ulaya
@januariovirgiliodabali121
@januariovirgiliodabali121 2 дня назад
Naoma kama SNS inafuwata nyota "like", kwa ufufi inapoteza moelekeo .
@januariovirgiliodabali121
@januariovirgiliodabali121 2 дня назад
Sisi sote ni Afrika sasa kwanini kila siku muongele mambo la Ulaya tu? Jirani zeno "ndugu zeno wa Mozambique" wana matatizo makubwa kabisa, ila nyinyi umupo na woa. Badilikeni jamani........
@godson-bigt1018
@godson-bigt1018 2 дня назад
Huyu si Ni yule Mtumwa was Putin 😂😂
@hashimuhamisi3182
@hashimuhamisi3182 День назад
Na yupi ni mtumwa wa marekani?
@godson-bigt1018
@godson-bigt1018 День назад
@@hashimuhamisi3182 mimi na wewe😆😁
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 дня назад
Hv najiuliza 😅 America dunia yote imeangalia apo Duh kwl aliye barikia amebarikiwa, sema tu wazungu weusi tunachuki binafs na uwezo ndio huo 😅😅😅😅
@faridithomas4859
@faridithomas4859 2 дня назад
Na ushoga pia amebarikiwa nao😁😁
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 дня назад
Ok yahud mweusi shabikia mashoga wenzio😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 дня назад
​@@muzafarsharif9465 ndy bby nije nikufire
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 дня назад
​@@faridithomas4859 nakuja unipe mkund***
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 2 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 2 дня назад
Iran kunalipuka huko
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 2 дня назад
😂😂😂😂 kinyume chake n kweli kwan Israel yote kunanuka vinyesi hesbolah wanafanya yao muda huu baada ya wahuthi kuwapga wale mashoga juzi n vilio tu makombora kama mvua na hayazuiliki😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 дня назад
Hata ye mpumbavu pia
@dicsonbiko-wz7ym
@dicsonbiko-wz7ym 2 дня назад
na wewe pia mpumbavu
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 2 дня назад
​@dic😂😂😂sonbiko-wz7ym
@MahadSatar
@MahadSatar 2 дня назад
😂😂🎉
@bushiridems
@bushiridems 2 дня назад
Amekoma sasa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-64Yw2sLdxGQ.htmlsi=JJpvNinQ9pMvkcJO
@BoniphaceAhmed
@BoniphaceAhmed 2 дня назад
Yeye mwenyewe mpumbavu alishindwa uchaguzi akatumia jeshi kubaki madalakani kila siku raia wa nchi yake wana maisha magumu wanakimbilia poland
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 2 дня назад
Hata huko Marekani wapo wenye Maisha magumu,
@atutweve4160
@atutweve4160 2 дня назад
Kuwa na maisha magumu Marekani ni uvivu wako kazi zipo za kumwaga na pesa ipo lkn nchi ka hizo hamna mishahara tembea ndo uje ucomment, kazi kushabikia tu kutafuta passport usafiri aaah
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o 2 дня назад
​@@atutweve4160kwaiyo ww una maisha mazuri huko marekani.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 дня назад
Belarus ni upper-middle per capita income na inachangiwa kwa kiasi kikubwa na low population na huge natural resources.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 дня назад
Umeona eeh
Далее
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 304 тыс.
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 2 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 7 млн
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50
Why Turkey Has Finally Had Enough of Erdogan
9:48
Просмотров 309 тыс.
Walichozungumza Tulia Ackson na Rais Putin
4:13
Просмотров 26 тыс.
DOES AOKO TELL THE TRUTH OR JUST FAKE NEWS?
11:43
Просмотров 1,9 тыс.
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57