Wallahi kweli hasa wanawake kwa kupika Ramadhani!! Akina mama wanajisahu sana kufanya ibada! Muda unampita wa kusali kwa kupika Kaimat , Vipopo, tambi , Vibibi ! Basi muda mwingi unaishia humo Wengine wanakula mpaka wanashindwa kusali! Inasikitisha sana!