Тёмный

Ray Vanny amlipua Paula, amuambia ana 'domo kubwa', alichojibiwa ni balaa, aitwa 'Short Fat Guy' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 89 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 344   
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Год назад
Ila Sky unavyoongea na kufoka utadhani we ndo wahusika 🤣🤣🤣🤣. SnS for life...... ni mimi shabiki mandazi wenu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
😂😂😂😂
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 Год назад
😃
@lydialaurian4734
@lydialaurian4734 Год назад
Kitumbua niko hapaaa Yani siganduki na SNS
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
😂😂
@marynderu4619
@marynderu4619 Год назад
🤣🤣🤣
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Год назад
Paula kajala ravnnyn anamupenda zana Paula kajala 🐅♥️♥️
@noru9028
@noru9028 Год назад
Instagram ya moto😂😂Uku Zari n Fantana uku Paula ,ray na fayhma😂😂Wambea tunakaushwa damu😂😂
@serianjamal8254
@serianjamal8254 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Год назад
😂😂😂😂
@joycendanundanu9218
@joycendanundanu9218 Год назад
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Mi mtazamo wangu,,,sitaki kuikosa episod two. Niko hapa nasikilizia😂😂😂😂
@kimah9855
@kimah9855 Год назад
Ray kiherehere😂😂Paula amesema ukweli yake😂😂😂😂😂😂😂😂
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Yani stor akiisimulia sky, utajuta, yani anaelezea kama alikuwepo nyuma yao 😅😂😂😂nakupenda bure Bro sky, Mungu akupe umri mrefu na Afya NJEMA 🙏
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Nilikuwa sikuelewi paula xaxa naona nakuelewa ilove paula
@RichWise671
@RichWise671 Год назад
Labda Bongo wasanii washinde Grammy ya Dramma ila sio Music 😁😁😁😁
@noru9028
@noru9028 Год назад
Kwa kweli n kiki😂😂
@KMatrix628
@KMatrix628 Год назад
Tazama kazii kalii mtu wangu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-s8ZQFZWggxg.html
@ireneisack6671
@ireneisack6671 Год назад
Kwa Kwel
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Kweli kabisa
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Kweli kabisa
@mwajumakweli
@mwajumakweli Год назад
Paula awanyoshe TU pumbavu Sana Awa van na mwanamke wake ! Usimuone Kobe kainama juwa ana Tunga Shelia Pala nip na w ewe mkono Kwa mkono adi peponi wamekuchokoza wenyewe Awa watu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Amewakomesha😂😂😂
@harerimanaannemarie6396
@harerimanaannemarie6396 Год назад
Tunajua paula hana adabu
@mwajumakweli
@mwajumakweli Год назад
@@harerimanaannemarie6396 kisa nini
@teklajuma2093
@teklajuma2093 Год назад
Ile ukweli mi nampenda paula 😂😂😂😂😂
@hanifaidrisa
@hanifaidrisa Год назад
Hata mimi nampenda saaana paulaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Hahaha Fat guy kapatikana asante Paula kwa kunichambia watu 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Год назад
😂😂😂😂Umesahau adjective short
@EMILYRehema-e7x
@EMILYRehema-e7x Год назад
😂😂😂😂😂Mpaka raha jamani
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
@@EMILYRehema-e7x 🤣🤣🤣
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Год назад
Fat wkt kalalwaaaaa mpk kalalwaaaaa Tena Baada ya kushiba Ndo unatapika wkt vitu vinesha kwendaaaaa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
​@@EMILYRehema-e7x 😂😂😂😂
@mamajd269
@mamajd269 Год назад
😳😳😳 mtoto anachamba alaaaaa 🙆🏽‍♀️
@mariamnur1036
@mariamnur1036 Год назад
😂😂😂😂
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Nimempendaaaaq
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Год назад
😂😂😂😂😆😆😆
@NesereKesike
@NesereKesike 5 дней назад
Ray chui mwenyewe ❤❤
@7evenlyrics154
@7evenlyrics154 Год назад
Sasa napenda vituu sambuli hii.... wa bongo mpooo lov❤ 🇰🇪
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Kwakweli 😂😂😂
@aishaothman782
@aishaothman782 Год назад
Sambuli hiyo vipi 😂😂😂😂😂😂😂😂
@nuruosward8161
@nuruosward8161 Год назад
Namsikitikia Msichana mdogo kuharibika kias hiki duuuu Mungu linda vizaz vyetu umalaya tyuuu kutumika tuu cha maana hatuon huyu kakimbilia ukubwa tena mkubw kuliko wakubwa wenyewe ila dunia itakufunzaa tuuuu Age hii kugombania mabwanaaaa dah😢anajiona mwamba upumbavu ila Mungu awasaidie tyuuu
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 Год назад
they are playing with akilizenu dada usijitie jasho bure ,ameharibika kesho anapata dili la kutangaza brand analipwa pesa ya kama yule aliesoma na madegree au zaidi
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Asante Mungu kwa kuzaliwa Tz ningeyapata wap haya😂😂😂😂😂😂
@jookhanjoram1770
@jookhanjoram1770 Год назад
Kwasisi wanaume hap kweny kuvunjwa ubikila Rayvanny inabidi achukuwe kombe 🤣🤣🏆💪 atakama Paula uchambe vip hatujal bana
@shyllahnekesa216
@shyllahnekesa216 Год назад
Mnaposoma majibu ya Paula tone aisee tone inafurahishaaaa😂😂😂
@hawamichael5051
@hawamichael5051 Год назад
Nimecheka 😂😂😂
@shyllahnekesa216
@shyllahnekesa216 Год назад
@@hawamichael5051 🤣🤣🤣🤣🤣
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Год назад
Najua Ray itamuuma sana lakini wanaume tier wavumilivu, Ray asiendelee na kadhia hii as AS MAN , @ Dr Mkk 🇬🇧
@DeBeasts66
@DeBeasts66 Год назад
MUKE WA BIKRA HAONGEII IVOO HUYO WALA ANA BIKRA CHOCHOTE PUMBAVU HUYOO😶‍🌫️😶‍🌫️😶‍🌫️🤢
@Theraldylaniscool
@Theraldylaniscool Год назад
That's why i like Paula😂😂 tell him girl.
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Год назад
There’s nothing to like her because she’s malaya can you img she fk*t wit diamond he mom ex😂
@phinaswai4718
@phinaswai4718 Год назад
Anajidhalilisha tu, siku zote mwanamke ndo kinyaa
@NaomiMaingi-pp9mp
@NaomiMaingi-pp9mp Год назад
Washa lambana,,,,utamu yao wanajuwana
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Год назад
I love Paula so much 😍 but kwan hakujua kua Ray ana mwanamke wake?? tamaa jaman mbaya alikufata ndiyo na gari lake kwann usinge kataa ?ona sasa binti mzur mdgo unajisemesha mbele ya media kua umetolewa.......na Ray ☹️☹️☹️☹️ for a Man ukiandika hivyo ndo anaonekana Mwamba then wewe ndo unaonekana cheap ☹️☹️anyways we all learn through mistakes keep chasing your dreams 🤗🤗🤗😍😍
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Год назад
Rayvanny mpumbavu sana alianza kumla mtoto wa watu akiwa mdogo what's is he yapping now..shurrup Rayvanny kenge ww
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk Год назад
Wee Vani mamayo
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Год назад
Unauhakikaa? Mbona kaanza toka shule inavyosemekanaaa
@JacintaBati-sm7cc
@JacintaBati-sm7cc Год назад
MARIOO SOMA NA HAYO....MWENZAKO AKINYOLEWA CHAKO KITIE MAJI...YOU ARE THE NEXT!!!
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Год назад
Mzee nimekuvumilia Sana just 🤣nyamaza Kaka Sky umetisha sanaaa💐
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Год назад
Dunia ya Dar-es-salaam hii🙌🙌🙌
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 Год назад
Fire in the house 😮😮😮let's go Paula😊
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Год назад
Paul haana lolote lile hunajuwa kwanini zuchu na Paul hurafiki Akuna is because Paul kaliwa na mind so family hiyi himelaaniwa vibaya mno
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Ila jmn mapenz yakifika mwisho huwa shubir dah😅😅😅😅😅😅😅
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 Год назад
Hahahaaa! Kaka sky unavyoisoma jmn yafurahisha Sana! Hawa wasanii wa bongo loooh! Sns chanel yngu pendwa sijutii kumaliza bando langu hapo
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Год назад
Inaumaje kutolewa bikra na short fat guy! 🤣🤗 we paulaa weeeE ebu tupe ubuya mana kwa clip ile alikuwa anajichekesha chekesha tyuu.. Dadeq Chui #sfg! Huyo ndo Paula sasa
@louangesid
@louangesid Год назад
Wew😂😂😂😂
@bifezadofra4453
@bifezadofra4453 Год назад
Damn 😂😂😂😂😂😂😂😂
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Год назад
😂😂😂😂
@lilyjones3584
@lilyjones3584 Год назад
😂😂😂
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Paula umenipa aptait ya kulaa leooo asante
@صالحالصوافي-غ5و
Paula ❤
@RichMediatz
@RichMediatz Год назад
Nawakubali sanaa
@munaomar9532
@munaomar9532 Год назад
Upuuuzi hawa walivotakana kumsifu miaka 20 mule mule leo ooo huyu nae anashangaaa ujingaaaa mtupuuuu 😊😊😊
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
WABONGO mnapeeenda izo ngumbalu 😃
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Год назад
Sky walker huo usomaji veeepee 😂😂😂😂 unavaa uhusika kama lufufu umetisha sana
@peterkiio6925
@peterkiio6925 Год назад
vanny boy ulitoka bikira we unapenda wote
@officialidakeys
@officialidakeys Год назад
I Like You Paula🥰🥰🥰🥰 zidi kumwaga Mchele mana wame washa moto wenyewe sasa ngoja washuhudie Show yako🤣🤣🤣🤣
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 Год назад
Weeee Paula shikamoo 😂😂😂😂
@saidaramadhan2099
@saidaramadhan2099 Год назад
Sawa na pua lake kubwa alikufata ungekataa angekulazimisha pesa ndio zilikuponza mwee
@donatandayisaba7258
@donatandayisaba7258 Год назад
Vipi na pua la marioo hahaha
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Год назад
Apa ndio napomuelewaga Diamond Platnumz kwanini anakaaga kimya😂😂😂😂pole Chui
@OmaryRajabu-bq5hb
@OmaryRajabu-bq5hb Год назад
Paula akuwa bikra alikuwa kashatolewa kitambo na mr beneficial tuliosoma nae tunamjua bikra ilikuwa ishatolewa kitambo
@aminaabdullah1198
@aminaabdullah1198 Год назад
Asanteeee paula❤❤
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 Год назад
Ningekua mamake Paula ningekua proud atleast anajua kujitetea but pia ningekua mamake nisingekubali achezewe na wasanii hawa watu niwaharibifu sana hawana mapenzi ya kweli watakuchafua na kukudhalilisha kwenda mbele hapa Kajala amefeli kweli
@westcijosh
@westcijosh Год назад
Sawa ndio maana hujawa
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Год назад
@@westcijosh 😂😂🤣😂🤣😂
@officialidakeys
@officialidakeys Год назад
Paula Twende Kazi Mama 🤣🤣🤣🤣
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 Год назад
Chui siku zote ana tamaa ya kula nyama 😂😂😂 cezea chui alafu kunakiboko cengine kwakupenda nyama niatari zaidi kinacoitwa simba😅😅😅😅
@jumahassan273
@jumahassan273 Год назад
Kipindi wanatiana awakuonana vituko mpk wameachana ndio wanatuambia uyu anadomo kubwa na uyu anakijimboro kifupi
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf Год назад
Wapiiiiii. Leo tena. Maneno ya mkosaji hayo
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Год назад
Duh kwa kweli huyu Paula ashakuwa kubuhuu ,,,si mtoto tena ,😁😁😁😁
@jacklinejackson9600
@jacklinejackson9600 Год назад
Hapo kweny "B" tumepigwa😅😅😅
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Год назад
Paula bado mtoto kweli
@hastatz
@hastatz Год назад
Nimechoka hizi habari za kipuuzi
@dorislema2465
@dorislema2465 Год назад
Uyo ray yeye haoni ilo li domo lake Wala Paula hana domo kubwa,dah wanaume wabaya sana
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc Год назад
Huyo bint awe kmy kwan mamake yupo wap jomon anajidharirisha hv ww akatai anatoka na rayvany mamake c alisema pau co mdg
@jaystrongmagaboy1633
@jaystrongmagaboy1633 Год назад
Paula amehonja vidudu vya Bongo Fleva harmonize, Diamond ,Rayvanny,Marioo,😀😀😀
@AndrewMchafu
@AndrewMchafu Год назад
Stori kama hzi sky unazipatiaga sana unafaa kuzileta kabsa,
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂 hiv walishawahii kuwaa wapenzi kweli😂😂😂😂😂😂 shikamo mapenzi
@HappyFrontal
@HappyFrontal Месяц назад
Mmmh unajua kutangaza vp unalipwa we kijana mbona una Domo kubwa vp my brother
@miriamvihenda7408
@miriamvihenda7408 Год назад
paula kaende Kwani iko nini 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@klcmedia2503
@klcmedia2503 Год назад
Wanatafuta kick kuboost reality show yao, ingekuwa kweli wasingebishana hadharani
@hildashalwa7634
@hildashalwa7634 Год назад
Kwahiyo Paula alikua bikra😂😂😂😂 kwahyo alivotoka na konde alimwekea puani au 😂😂😂 iz drama jaman
@rhodamorara1235
@rhodamorara1235 Год назад
Not she revealed rayvanny took her virginity 😢😂😂😂. Her mama failed her. She's pretty but by just speaking you can realize her head is empty.
@dorcasnasimiyu9002
@dorcasnasimiyu9002 Год назад
😂😂😂 this is the comment, her head aki no brains, malezi mabovu,
@louangesid
@louangesid Год назад
😂😂😂😂😂
@cutecutie1411
@cutecutie1411 Год назад
I always saying this..her momma failed her long time ago.
@irenepaul3110
@irenepaul3110 Год назад
😂😂😂
@Zilizopendwa_60s
@Zilizopendwa_60s Год назад
Virginity which🤣🤣👈
@jaysonny3
@jaysonny3 Год назад
Uyo choko asiongee sana maan ameshatatuliwa biashara yake imeisha 😂😂😂😂 kilichobaki ni wahuni kujipigia TU na kupita kushoto😭😭😭
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Год назад
Huyo mtoto mamaake mwenyewe hamuwezi msiwaonetu kwenyemitandao wakipendana mamamyu anapitiamengi kwahuyomsichana
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Год назад
Ulijichezea mwenyewe na mama akachukulia poa, bikra ziko zakuuzwa tutajuaje ilikua feki, bikra ndo nn bhana, badilika usishindane namwanaume
@imaculateromulus7047
@imaculateromulus7047 Год назад
😂😂😂😂 eti bikra mwenye bikra wala hajitangazi jamn khaa labda bikra ya sikio
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Год назад
chai tz makambu paula she was sleeping diamond and her mum too was sleeping diamond like mother like daugher
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 Год назад
Vimeachwa vimebaki kulialia tu mama analilia kushoto mtoto kulia yaani ni msiba mzito huu tuwaombee tu
@aminabashir1167
@aminabashir1167 Год назад
😂😂😂😂😂
@m___ck799
@m___ck799 Год назад
😂😂😂
@bellauwase8908
@bellauwase8908 Год назад
Lmao I love her😂😂😍😍
@babubabz4507
@babubabz4507 Год назад
Hiyo sio tabia fresh kabisa kuchezea watoto wa watu basi sina shaka na yeye atachezewa na huyo mke wake anaye sema
@deogratiusjacob5658
@deogratiusjacob5658 Год назад
Huku mondi kule vann soon konde anakuja na lake hiio ndo bongo bhana
@naimamkude4997
@naimamkude4997 Год назад
Wote hawajielewi hasa huyo anaeitangaza bikira yake ndo anazidi kupoteza uanamke wa kiafrika ..angenyamaza angepata heshima zaidi...namkumbusha bikira hairudi akae kwa kutulia
@thatforeign4590
@thatforeign4590 Год назад
Sky hiyo tone “mzee nmekuvumilia sana” 😅😅😅
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Год назад
😅😅
@mauwaishara7351
@mauwaishara7351 Год назад
Watu baada yakuwa wakweli munakimbilia ushabiki fayvanny ajasema vibaya kwanini asinge mtumikisha mtu wake
@chuchudorice8531
@chuchudorice8531 Год назад
Huyu Mtoto anachamba walai😂😂😂
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Год назад
Huyu mtoto angeenda shule haya yote angeyakwepa
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 Год назад
walisemahivyo kwa LULU ,kwamba amefeli maisha ataozea jela lakini tofauti shule bongo waliosoma hata bando lamatano linawashinda
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy Год назад
huyu ray aache ujinga wake, alipokuwa na paula hakuona hayo, pumbavu na huyu anaejifanya mume wng atarudi alikotoka si alijifanyaga hachitiwi huyu, mbona alibwagwa kweupe
@teedullah5708
@teedullah5708 Год назад
Pole pau
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Год назад
Mwanamke bikra sky aongei hivyo .. paula tunakujuwa vizuri sema tumekaa kimya huyu van ndo anajulikana kwenye media na yule dad uliyekuwa unadate naye mpumbavu ... Bikra ya wa wapi .. na vay ni mjinga mmoja tamaa ndo zimesababisha mpaka unaoneka mwanaume suruali una bolo ..
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Duuh kumbe ray ndo aliokashindilia ubooo na kuharibu bikra ya Paula,aisee ni ray ulipata bahati sana hongera kwa hilo afu ingekuwa kwaivunja bikra yake ningekuwa kimya tu kujivunia kutoa bikra yake
@chuchudorice8531
@chuchudorice8531 Год назад
Kwa kweli ana bahati alaf Paula katolewa Bikra na mwanaume wa watu iwish ingekuwa marioo
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Год назад
@@chuchudorice8531 nakapenda sana Paula ila na yeye kwann atembee na mume wa mtu ?? Ka binti kazuri ,mdgo Mashallah 🤗🤗 Ray didn't value this poor girl
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Год назад
😅😅😅😅😅 oya kumbe rayvany ndo alifungua mzigo mpya wa paula
@chuchudorice8531
@chuchudorice8531 Год назад
Imagine rahaàa
@MiaTheLathini
@MiaTheLathini Год назад
TuliosoMa cuba, DOMO kubwa haijamaanisha MDOMO kama tunavyojua😂 HIP HOP wise
@youngkingssehle
@youngkingssehle Год назад
Wakati kondeboy anapost new banger with kingpromise wao wanapost drama 😂😂😂😂😂
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Год назад
Wamekutana wote na marriooo wote wanamidomo mikubwa😁😁😁😁😁
@JovinChristopher-v4r
@JovinChristopher-v4r 2 месяца назад
Paul Malaya ww dada daa punguza😮
@rukiarashid749
@rukiarashid749 Год назад
Napenda mambo ayo mm
@doreenrabera
@doreenrabera Год назад
Rayvan is old enough to leave this young girl alone let him focus on his marriage If ukweli ameoa na if you see your man argue with his ex my dear that's a red flag 🚩 anakutumia kumuumiza
@dukakigogo4527
@dukakigogo4527 Год назад
paula wape dozi yao tena wanaume kama hao hawafai kabisa paula ulianzaje kua na mtu kama huyo unavyo mpa ukweli wake unamungia ha kwenye unyayo ww ni mzuli bwana
@imma_billy
@imma_billy Год назад
Aloooh 😳 Uuuuwiiiiiii!!!!!! Vita bado mbichiiiiiiii 🙆🏽‍♂️
@ikentertainment3145
@ikentertainment3145 Год назад
I mean she kinda has point tbh 😂😂
@FurahaEliya-df5fo
@FurahaEliya-df5fo Год назад
Duh!
@nasirkilapo6041
@nasirkilapo6041 Год назад
Daah paur nimempenda bur🤣
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Год назад
Wa tz akuna mdogo eti alinfata na puwa lake
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Год назад
Hy ni Paula aliefunga Busta ya mdomo wa giggy money🧐
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Год назад
Mbona shuleni ilikuwa...... Alafu Sasa bikra😲😲😲
@jeanmarie4665
@jeanmarie4665 Год назад
Paulla satulie na Marioo asi nganganiye penzi la watu😅
@walterblessings7181
@walterblessings7181 Год назад
Wachane Ray wapeleke ufala huko waliacha harmonize 😅😅😅😅😅😂😂😂
@leinaamos
@leinaamos Год назад
Haaaa kweli
@singidaone5628
@singidaone5628 Год назад
Marioo ajiandae na yeye na yeye ipo siku ataitwa red blue
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf Год назад
Bongo hatujambo kwa reality shows. Nchi nzima tuko vizuri. Hata sisi humu tuko kwa reality ila camera ziko busy tuu hazijatufikia😂
@louangesid
@louangesid Год назад
😂😂😂😂😂
@Zuchu11
@Zuchu11 Год назад
😂😂😂
Далее
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25