Hey, Tanzanians, you compete with Nigerians in order to win my heart! Can't decide who's better yet. Probably I will cheat from time to time with both of you;) BTW you are doing great job. Wasafi rocks!
Ndo leo naisikiliza vizuri hii nyimbo. Nzuri sana na mashairi yameendana na mazuri. Wanavyojibizana so wonderful. Very nice kama sabahalkheri mpenzi. Very nice song
Qween darlin uko poa na rayvanny bby bby wampenda nn ? hhh mzuri sindio ana sauti yuko seariuo sikama ww rayvaany qween darlin nimekupena na ujasiri una haki ya kuiimba keep rayvanny ww pia sijasema nihuimbi vizuri pia ukompoa lkn kuwa kama qween darlin upyuko na proud kuwa mwenye proud💪💜💓💔💕💖❤💗💙💘💚💛💝💞💟👌👊👏👏👏👏👏keep up all of you i love
This is one kid I respect! Very beautiful voice, lyrics and rhythm..... If he keeps it up I assure him one he's gonna hit the world charts..... Thanks you
Amjawah nianguxha team ushidi team maujuzi nawaelewa sanaaaaa #wcb kazi juu ya kazi afu mnafanya kazi zinazoeleweka yan ata MTU ukiangalia uchoki unarudia kila SAA #ilovethisgame
Kama Si Rayvanny ..MUGACHERERE ingekuwa kelele tu Kama Si Rayvanny KIJUSO ingekuwa kelele tu Kama Si Rayvanny SALOME ingekosa Ladha inayofaa Uyu Kijana ni Super talented
inaitwa Team work. you never know. unaweza kuta kijuso yenyewe wametunga rich mavoko na harmonize. rayvanny na queen wameimba. diamond kafanya mpango wa pesa na izo style za kucheza na mambo ya apa ja pale. maboss wameplay part ya kusambaza na kuipenyeza we all don know. ila wapongezwe. wcb are well organized
+Alphonce Mbilinyi sure kabisa unachosema maana kuna style humo naziona diamond katia mkono wake hyo ya kuchezesha miguu ya hao madada na queen darling
Jaman kale ka AJE REMIX kawatu kamebumaje mweee adi huruma maskini, embu tuwape LIKE za masikitiko mana si kwa ndemberego hili duu WCB mnasifa walay 😀😀😀
deo bony wcb ni master planner waliharibu majivuno yote ya anaejiita mtu wa watu hamna lolote anatuletea marangirangi alisikia hatujui clabs yupo na label kubwa anafanya utumbo tu
Damn... 🔥🔥🔥.... am speecheless.... kwanza salute kwa WCB management.... you guys mko on top.... lets keep goin... Bongo flavour to the world.. what else can we say.... wat a dope video..... Blessed WCB... Mbeyanish Boy RayVanny i see u hommie... appreciate that.... lets keep watchin good music... #HawatowezaHaters