Тёмный
No video :(

RC MWANRI: Mimi ni Al-Watan nani anabisha?/Semeni tunatoboa mwaka huu/ Tabora kama Toronto 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 230 тыс.
50% 1

Tazama Mkuu wa Mkoa wa Tabora akitema cheche leo mkoani humo kwenye shughuli ya upandaji miti.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@hechihechie5558
@hechihechie5558 5 лет назад
Nimekupata mkuu,,kumpenda Mungu sio kutembea na kusema Mungu nakupenda ni kutii amri zake.....tukitiii amri ndipo Mungu anajua tunampenda...nimeipenda hiyo baba!!!!hongera kwa kazi zako nzr
@alivuai5674
@alivuai5674 5 лет назад
Huyu mzee Mungu ambariki anajua kazi yake sio siasa anaongelea kile kinachohusu wananchi wa mkoa wake kwa jumla .lazima atapata kuungwa mkono na kundi kubwa maana haoneshi ubaguzi wa kichama . apewe muda awafundishe wakuu wa mikoa mengine yote
@dennischarles8524
@dennischarles8524 5 лет назад
Kati ya mambo muhimu tumesahau ni kupanda miti halafu tunalalamika joto kali, huyu RC anaelewa sana hilo, big up
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 2 года назад
Kata kata pembe
@danysikira4302
@danysikira4302 5 лет назад
Ingekuwa bora sana wakuu wa mikoa wote waige mfano wa utunzaji mazingira big up sana cpt mwanri
@balakakalagho1388
@balakakalagho1388 2 года назад
Semeni tunatoboa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Number one of Tanzanian huyu mzee kama unabisha nyosha Mukono jifanye kama unajikuna
@sophsoph4740
@sophsoph4740 11 месяцев назад
Jikune sasa😂😂😂
@mlewaisavile9793
@mlewaisavile9793 5 лет назад
R,c mwanry pongez sana hii ni zawad toka kwa mungu.Tabora inabadirka mpka Raha.yaan kama Toronto.mwanzon nilikuwa sikuelewi kabisa,lakn kwa mwaka Jana umenikosha yaan unafanya kazi kwa vitendo
@joshpraisebuzaniye2958
@joshpraisebuzaniye2958 5 лет назад
nakukubali mzee piga kaz
@carmellecarmelle287
@carmellecarmelle287 5 лет назад
huyu baba jamani mi kilasiku nikimuona tu naceka kabla hajaanza hata kusema 😂😂kama unabisha jifanye unajikuna😂😂
@josephchuwa3532
@josephchuwa3532 5 лет назад
haha karibu tabora
@emmanueledison2366
@emmanueledison2366 5 лет назад
Vp nikama tulihitimu wote chuo 2017 au nimekufananisha
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 4 года назад
Ha! Ha! Haaaa
@jumamusa1545
@jumamusa1545 4 года назад
Ahahah
@peterhatibu8342
@peterhatibu8342 5 лет назад
Huyu mzee namkubali sana
@mumybhay6561
@mumybhay6561 5 лет назад
Mkuu wa mkoa anasema yeye ndio alwatan wa tabia2 na kama anabisha fanya to kama unajikuna.😦
@elishaedward2383
@elishaedward2383 2 года назад
Daah hakika navutiw sana napo ona uongoz wako najifunz vingi
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 5 лет назад
Mzee Mungu INA mana Raisi au sheria
@christopherkivuyo8590
@christopherkivuyo8590 5 лет назад
Kwa kweli mzee unafaa sana kuwa kiongozi
@gm7045
@gm7045 4 года назад
You’re right ..keep God commandments
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 лет назад
Mbuz wa tabora wameendelea Sana kumbe wanakula had vitumbua
@dennisdennis7559
@dennisdennis7559 5 лет назад
Na ubwabwa
@ananiamaswi7204
@ananiamaswi7204 4 года назад
Wana kula balaaa
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 лет назад
Big up Sana mzeeee
@tatuta6529
@tatuta6529 4 года назад
Uyu ni kiongozi mzur sana
@abbyjma7355
@abbyjma7355 5 лет назад
Dingi nakukubali sana
@khamisrashidy1348
@khamisrashidy1348 5 лет назад
Mwenyekit ni kanyaboya dah kama umesikia lik yk hp
@dj5_tz971
@dj5_tz971 5 лет назад
Kata pembe kata pembe kata pembe😂😂😂😂😂
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 5 лет назад
Denis Johanes Ndugu Naomba uangalie video ya kaswida yangu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-VEbezgrNzHw.html
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 года назад
😂😂
@genesassenga2247
@genesassenga2247 5 лет назад
Mbuz wa tabora wapojuu kulkombuz wote cz siokwakula ubwabwa+vitumbua wapovzr aisee kata pembe kata Pembe kataaa
@yusuphkassim4188
@yusuphkassim4188 5 лет назад
Hahaha nina wasiwasi huyu jamaa alikua mchungaji maaaana duh anachana mawaimbi balaa
@txraphaellaphael2155
@txraphaellaphael2155 5 лет назад
Mzee da utauwanga mt sio kwa vituko hv yan hiiii wameisha hao mbuz na ng'ombe w tabola
@severnekazungu8892
@severnekazungu8892 5 лет назад
Mbuzi wana kula ubwabwa 😁😁
@davidobonyo7558
@davidobonyo7558 5 лет назад
Tunamtizama kwa jicho la dharau na bila heshima
@jordanalphonce4413
@jordanalphonce4413 5 лет назад
Uyu kiongozi me Bila kampeni m kula Nampa kula yangu Ata awe Chama pinzanani
@siwonikewilliam8832
@siwonikewilliam8832 5 лет назад
Watakuelewa tu mkuu
@godlovegeorge2334
@godlovegeorge2334 5 лет назад
Soma hiyoooo alaaah
@emanhokilinda326
@emanhokilinda326 5 лет назад
semeni tunatoboa!hahahaha
@amosmadaha6428
@amosmadaha6428 5 лет назад
Tabora ni utemeni utemi utemi nikwenda kitemi tu
@shabanimwema7334
@shabanimwema7334 5 лет назад
Hahahaha uyu jamaaa ni noma #sema sheria
@victustemba
@victustemba 5 лет назад
Jifanye kama unajikuna tuu..!😀😀
@JosephDesideri
@JosephDesideri 5 лет назад
Mzee wa Toronto
@chiefkimata9731
@chiefkimata9731 4 года назад
Mbuzi anachungwa na Simba Lol nzuri sirinikwa hasalanikwa muzabucha:
@chiefkimata9731
@chiefkimata9731 4 года назад
Wanataka ubunge wakati wana kithethe:
@thomasndumila4382
@thomasndumila4382 5 лет назад
Tukiona mbuzi na ng'ombe barabarani ujue ni kiparapara! 😁😁😁😁😁
@paschalmakondo3163
@paschalmakondo3163 5 лет назад
Mnamwona kama comedian ila nimchapakazi
@allidogo5660
@allidogo5660 5 лет назад
Paschal makondo nikweli kabisa
@babusijoseph1434
@babusijoseph1434 5 лет назад
somaiyo
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 лет назад
Yani agreiy mwanri nikimuona. nafurahi hataka kama nimefiwa na mama yangu mzazi
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 лет назад
Kanya boya
@chiefkimata9731
@chiefkimata9731 4 года назад
Tola ameshikwa nauzuni Leo tumpe ndege ya mdogowake Lol nzuri.
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 лет назад
Yala mama mbavu zanguuuuu
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 2 года назад
Mzee sijui yuko wap
@shakazrtzboy4272
@shakazrtzboy4272 5 лет назад
mbuz wana kura ubwabwa😂😂😂😂
@vicentomondi3927
@vicentomondi3927 5 лет назад
Jifanye kama mtemi mambo yaende
@nkwabitz233
@nkwabitz233 5 лет назад
mkuu
@flova7022
@flova7022 2 года назад
Weeeee wacha hiyo kitu
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 5 лет назад
Jifanye una jikuna jamaani mimi napita tu 🤔
@Kijijihomestead
@Kijijihomestead 5 лет назад
Chikichi chikichi chikichi 🕺🕺💃💃😎
@worldwidetv1443
@worldwidetv1443 5 лет назад
wa Kwanza kukoment piga like
@dullayorashiddullayorashid6725
@dullayorashiddullayorashid6725 4 года назад
Semashelia
@charlesnyembeke6907
@charlesnyembeke6907 5 лет назад
Hebu xema xheria----!!
@jumaradhomary8591
@jumaradhomary8591 5 лет назад
Semen tunatoboaaaaa
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 5 лет назад
Jumaradh Omary Ndugu Naomba uangalie video ya kaswida yangu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-VEbezgrNzHw.html
@mzungualex3373
@mzungualex3373 5 лет назад
semeni shikamo baba
@chiefnorbertkangalu1403
@chiefnorbertkangalu1403 5 лет назад
Mbuz wanakula ubwabwa na vtumbua
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 года назад
Toronto canada itakua tabora ongeleni tbr
@waleoofficial6816
@waleoofficial6816 5 лет назад
kata pembe kata pembe Kaaata
@majidmasud6960
@majidmasud6960 5 лет назад
👏👏
@yonamalanda4642
@yonamalanda4642 5 лет назад
kipara para
@ptheonemainwonder8404
@ptheonemainwonder8404 5 лет назад
Achaizo baba hiyo ndio nini
@chiambegu3468
@chiambegu3468 5 лет назад
huyu rc ni noma
@simonzinkeyboy618
@simonzinkeyboy618 5 лет назад
Saluti mingi kwako mwanri
@kelvinmichae728
@kelvinmichae728 5 лет назад
alf huyu dingii hachekii!!!
@gloryngunda9664
@gloryngunda9664 5 лет назад
ukiona ng'ombe anasumbua kata pembeeeee😁😁😁
@wilbrodmagwaya7590
@wilbrodmagwaya7590 5 лет назад
Mambo
@Thuon_
@Thuon_ 3 года назад
Fyekelea mbali mkuu wa mkoa.
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 года назад
Toronto na tabora wapi na wapi mkuu.
@charlzruboha8469
@charlzruboha8469 2 года назад
Uyui imekaa kama bakuri😂😂
@cachybest3879
@cachybest3879 5 лет назад
Kata kataaaaa kataaa pembe za wanaojifanya hawataki kutuletea umeme wananchi fyekeleeeaaa mbaliiii
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 года назад
Unaongoza nchi ya dunia ya tatu yaani third world. Mkuu chunga ugonjwa wa moyo
@stevensimbakila5383
@stevensimbakila5383 5 лет назад
Kataaa pembeee
@joeljulius6389
@joeljulius6389 5 лет назад
Torontooo
@godfreypaul2161
@godfreypaul2161 4 года назад
Nadhan raia huwa anayaona na kuyasikia maneno yako mheshimiwa
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 4 года назад
Wewe nikiongozi wamkoa au nibaba paroko unahubili bibilia
@kibekran10
@kibekran10 5 лет назад
kanya boyaaaaa
@nelsongodfreylumalisha2857
@nelsongodfreylumalisha2857 4 года назад
We we we,wacha iyoooooo... Hhahaaaaa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
@flova7022
@flova7022 2 года назад
Kata pembeeee
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 лет назад
Tunatoboaaaaaaaaah
@sumaabdy8328
@sumaabdy8328 4 года назад
Hahaha
@domicianpontian1409
@domicianpontian1409 5 лет назад
Mchiriziii
@jumasaleh5043
@jumasaleh5043 5 лет назад
duh
@upendoissack7979
@upendoissack7979 5 лет назад
Nyooosha mkono jifanye unakikuna tuuu
@jumasaleh5043
@jumasaleh5043 5 лет назад
iweje alafu
@josephparutu8460
@josephparutu8460 5 лет назад
Wewe ni wa vitendo mzeee mwanri tabora oyeeeeeeeee
@stevensimbakila5383
@stevensimbakila5383 5 лет назад
Kataaa pembeee
@josephjoseph8982
@josephjoseph8982 2 года назад
MUNGU akupe maisha marefu tunataka viongozi mfano kama wewe
Далее
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 1,5 млн
RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"
19:33
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53