I was in Turkey 7 years . Turkish people are very crazy. I was in antalya manavgat. I was in Ankara. Marsin. And busa. Turkish people to work with them. Unaitaji uvumilivu mkubwa sana. Kwanza niwaongoo sana. Alafu wanatabiya za kutokulipa watu mshaaara. Ni wakora sana. Nimezunguka turkey yote kikazi. Nawajuwa vizuri sana. But kuna maboss wengine niwa nzuri. But only 5 %ndio wanzuri 95% yote wakoratu. Nimesumbuana sana nao kupekana police na haata kupigana ukidayi mshaaara wako😢
But kila mtu huwa na bahati yake. Mtu yoyote asitishike kwenda Turkey. Cz kila mtu huwa ako na bahati yake. Unaweza kwenda sehemu pakakukataa mwenzako akaenda pakamkubali so kila mtu na bahati yake. But don't put more expectations when you plan to go abroad to work because . Kila mahali kuna uzuri wake na ubaya wake.
The best easy way to travel any country without. Problem. Ama kukatiliwa kwa visa. Go to India. Uki aply kazi yoyote ukiwa India asumbuliwi kabisa. Kwasababu kenya nilisumbuka sana kupata viza ya turkey. But nilivyo enda India nilipata maroja bila usumbuliwa. Viza yazi ya mwaka sio tourist viza. Ni lipata viza ya kwa 50 days kenya hapa sijuwi tumerogwa unaweza kuwa na kilakitu. Na bado ukanyimwa viza.