hi! karibu tena kwenye official RU-vid channel ya "REBECCA MAGABA" ...Ikiwa WIMBO huu unaendelea kuwa baraka Maishani mwako"bonyeza "SUBSCRIBE '"LIKE" COMMENTS" and SHARE.....AMEN kaa Tayari kwa Ablam Mpya • REBECCA MAGABA-Ebenezer
Huu wimbo nimeusikiza , nimeusikiza many more time may God bless you 🙏🙏its the best song i like it, am listening from Parklands Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕💕👏👏👏👌👌
Lord u only know the pain I have been through,ur the Ebenezer on my life jesus.as we End this year God remember me remember my family Jesus how far they are bt lord protect them father amen
Ubarikiwe Sana neno langu kwako usichoke usikate tamaa inuka kabisa. Huduma yako Ni kubwa na Mungu amewekeza kwako vitu vikubwa inuka kabisa kwa jina la Yesu kristo.
Shalom Dada, wimbo huu nabarikiwa sana, nikiamka tu lazima nisikilize, kabla yakulala lazima nisikilize nabarikiwa sana... Mungu akutunze kwenye huduma hii
Sitasahau huu wimbo tuliucheza December 2012 na rafki yangu kwa kumaanisha...watu wakajaa tukashukiwa nguvu za roho mtakatifu, watu wakajaa wakatushangaa hatukujal...MARA BAADA YA SIKU MBILI RAFKI YANGU AKAPATA SAFARI YA KWENDA USA(MAREKANI) NA MIMI MWISHO WA WIKI NIKAPATA CHANCE YA KWENDA GERMAN...WAOOOH TULIFURAH MNOOO...
Magaba,Bwana Yesu apewe sifa,kutoka Kenya Nairobi tunakukosa sana...Tafathali naomba wimbo wako tangazo na yuko hapa Yesu.Tunabarikiwa sana na huduma yako.Mungu akatukuzwa maishani mwako daima.
Ninakuombea Mungu akupe haja ya moyo wako mtumishi inuka tena jitie nguvu ktk hali zozote unazopitia naomba mheshimiwa mwingulu nchemba na Angelina mabura wakushike mkono jamani