Тёмный

RECAP: DIAMOND NAFASI YA PILI SPOTIFY, WAKENYA WAPO JUU, ALIKIBA YUPO CHINI SANA KWA NUMBER SPOTIFY 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@OMARKOMBO.9984
@OMARKOMBO.9984 6 дней назад
True kenya kuna mziki bro
@user-xr4dp1cs5b
@user-xr4dp1cs5b 6 дней назад
Salute 254 banaaeeee
@collinsnyoro1450
@collinsnyoro1450 6 дней назад
Yani bro napenda vile unavyochambua industry ya mziki, huna ubaguzi kaka,big up bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254
@KasichanaKaingu-wx7kr
@KasichanaKaingu-wx7kr 6 дней назад
hyu kaka ako vzr kwa kuchambua napenda kazi zke hongera kaka
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 7 дней назад
Kazi nzuri sana pro umetuelimisha sana hatukuwai jua hayo
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 6 дней назад
Nime kubali bro research yako🙌
@KasichanaKaingu-wx7kr
@KasichanaKaingu-wx7kr 6 дней назад
ukweli wauma kaka
@mrenobishoo1118
@mrenobishoo1118 7 дней назад
Bongo bado safari ndefu aisee!! RU-vid Kama facebook inabidi wa bongo waelewe
@michaeljuma254
@michaeljuma254 7 дней назад
Mnakuanga mmedharau muziki wa Kenya ila muziki wa Kenya unatamba nje sana sio ndani
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 7 дней назад
Tanzania tunakimbilia RU-vid
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x 7 дней назад
Vraiment c vrai , mais assayez d'utiliser plusieurs fois Spotify vous les tanzaniens 🇨🇩🇨🇩💥💥
@gabrielomondi4630
@gabrielomondi4630 7 дней назад
Nikukosoe tafadhali bro...huo wimbo mwaki siyo wa huyo dada sofiya nzau...ni ya DJ wa kutoka brazil anaitwa Zerb...ambaye amemshirikisha huyo dada...kwa kutumia sauti yake tu. Kwa hiyo Diamond ndiye anaongoza spotify kwa wasanii wa hapa East Africa
@willymtnmsafi8875
@willymtnmsafi8875 6 дней назад
Kwenda mwaki ni Kikuyu language kutoka kenya
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 6 дней назад
We tulia uko,wacha jamaa aongee ukweli 🎉
@JohnMars-dt5my
@JohnMars-dt5my 6 дней назад
Mkuu umeongea ukweli Ila pamoja na hayo bado na. Yeye yupo ndani ya wimbo kwa hiyo yupo juu
@trendz_2548
@trendz_2548 5 дней назад
Tukukosoe pia wewe. Wimbo DJ ndo aliuchukua akauweka biti ila mwandishi ni huyu dada
@ankalmzito254
@ankalmzito254 7 дней назад
na Sportfay ndio kuna maokoto😂😂
@NasraAlmasy-v2x
@NasraAlmasy-v2x 7 дней назад
Tatizo ni mashabiki wa Tanzania sapoti Yao kwa wasanii ni ndogo sana sio kwamba wasanii hawafanyi juhudi.
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 6 дней назад
Umekosea kuchanganua, spotify imeingia lin tz, lakini pia unaongelea streams, heb ongelea total streams. Bado tz tupo juu
@iddyclassichb6795
@iddyclassichb6795 7 дней назад
Mwaki sio nyimbo yake
@jonathanslyvester5634
@jonathanslyvester5634 7 дней назад
We unamjua mwak mzee
@RphaelMwambenja-g2g
@RphaelMwambenja-g2g 7 дней назад
Leo umepuyanga mzeee
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 дня назад
Wametuwin wp? Wametuwin kwny aportfy tu, huko kwingine tumewazidi sana. Mungu ni wa wote acha hao wakenya watuzidi kwny sportfy sisi tutagonga kila mahali........ Huyo mwaki tutamwacha tu tulikuwa hatujui chimbo la sportfy😊😊😊😊😊😊
@muanaireraul8320
@muanaireraul8320 7 дней назад
Tz iko juu saana
@willymtnmsafi8875
@willymtnmsafi8875 6 дней назад
Tunawatambua Kwa Kiki Tz😂😂😂😂😂
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r 7 дней назад
Sio wotee wanaingia Spotify nae
@thee_industry
@thee_industry 7 дней назад
Acha wivu
@sheilacruz6458
@sheilacruz6458 7 дней назад
Afadhali kaka sasa umefanya Research yako vizuri nanilikuambia nafurahi umefuatilia vizuri
@ngerezakinyashi
@ngerezakinyashi 7 дней назад
Zerb -mwaki (feat @sofiya nzau) kaangalie vizuri uje na taarifa kamili
@cristabeltamara1465
@cristabeltamara1465 7 дней назад
Mwaki ni nyimbo ya Sofia is a kikuyu song
@kenrifambi
@kenrifambi 6 дней назад
Spotify hadi feature ni wimbo wako as long as uko credited
@tjonetv9149
@tjonetv9149 7 дней назад
acha ujinga wew umeanza kupagawa
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 6 дней назад
Halafu mwambino anasema yeye msanii nomoja🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 6 дней назад
Bado mwambino yuko na safari ndefu sana?.
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 6 дней назад
Cjawah kusikia mwambino akisema yeye namba moja ww ndo umesema
@Oman-k4j
@Oman-k4j 7 дней назад
Uwaminiwe we kwni msaafu au pepo hiyo
@mejamiela7436
@mejamiela7436 6 дней назад
Hio mwaki unatupiga
@NestymmwampambaNestymmwampamba
@NestymmwampambaNestymmwampamba 5 дней назад
Huo wimbo wa mwaki ameshilimiswa huyo dada
@jamessimba749
@jamessimba749 6 дней назад
DOH KIJANA UNATUPIGA KAMBA AS IF HATUNA SIMU .WALA HATUWEZI KUFUATILIA 😂😂😂😂😂.
@NgasaBoy-m6s
@NgasaBoy-m6s 7 дней назад
Ashakufaa huyo Binti wemutangazaji mujinga wakenya mabusha tuu
@Sultanrawahy
@Sultanrawahy 7 дней назад
vipi kijana sijakusikia
@ngerezakinyashi
@ngerezakinyashi 7 дней назад
Mwaki sio nyimbo yake kashikishwa mwenye nyimbo msanii wa Brazil
@cristabeltamara1465
@cristabeltamara1465 7 дней назад
Mwaki is a kikuyu song ni nyimbo yake ameshirikisha huyo jamaa
@ngerezakinyashi
@ngerezakinyashi 7 дней назад
@@cristabeltamara1465 muongo kaangalie ipo kwwenye ukurasa wa nani na Ina maelezo gani
@suleboytv5853
@suleboytv5853 6 дней назад
We unafikiria kufanya na mbrazkl ni kazi ndogo
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r 7 дней назад
Sasa kam mm nshabiki wMsanii lkin siendiii Spotify nikisikiz RU-vid mbc
@RphaelMwambenja-g2g
@RphaelMwambenja-g2g 7 дней назад
Kenya bado sana kwa tz
@robertkisasa1346
@robertkisasa1346 7 дней назад
Yah mando…kenya walikuwa exposed sna na digital platform zaidi yetu..sisi tulichelewa sana digital platform ila sshv wataelewa tu wasanii wanakua sana
@recreationalcommitteerecot
@recreationalcommitteerecot 7 дней назад
Mando mbona unajisahulisha swala la namba sportfy sio la wasanii ni inshu ya mashabiki kushindwa kuwasapoti huko na kuikalia RU-vid pekee wabongo tunakimbia sana sportfy hivo nikuombe uhamasishe wabongo sio kulaumu uwekezaji wa wasanii maana sio kosa lao
@recreationalcommitteerecot
@recreationalcommitteerecot 6 дней назад
Wasanii wakishafungua akaunti na kuweka kazi zao kinachobaki ni mashabiki kwenda kustream kwa wingi na ndipo msanii anapata namba lakini sisi tumejilemaza na RU-vid hasa jambo linalowarudisha nyuma na kuwadogoisha wasanii wetu dhidi ya wa mataifa mengine maana sportfy ni digital yenye hadhi kubwa hata kimalipo hivo unapozingatiwa huko kwanza inaonyesha mwamba pili unatengeneza pesa Mda mchache kaka
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 6 дней назад
Hivi Kenya wanaimba🙌🙌🤣🤣🫡🫡
@natureboy972
@natureboy972 7 дней назад
Utuambie Tena na Spotify ilifikaga lini tz ? Na niwangapi wanaoyitumia nawewe pia unaingiaga malangapi kwasiku ?
@jadenmsafi
@jadenmsafi 7 дней назад
Hawezi kukujibu
@edwardjason5017
@edwardjason5017 7 дней назад
like your x😊
@JumaSaidi-xq7ui
@JumaSaidi-xq7ui 7 дней назад
Unachokisema nikweli Spotify himechelewa kwe2 sio swala la uwekezaji km anavyo sema yeye
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 7 дней назад
Sportfy pamoja na apple music nahisi zote zilichelewa bongo sana,afu isitoshe walegend waiotangulia pia walishindwa kuingia soko la kimataifa mapema kama wakina 2face idibia, kingine wabongo tusijazane tu tz twende kuzaliana na kukaa mataifa mengine uko, zile namba za nigeria na south ni za kwao wenyewe wanakaa mambele😂😂😂
Далее
World’s Tallest Man VS Shortest Woman!
15:07
Просмотров 17 млн
DIAMOND PLATNUMZ , HAWEZI KUNIZIDI PESA , NAMKANYA
8:04