Тёмный

RECAP: Vita ya ALIKIBA na DIAMOND yapamba moto, WANAIJA wamuijia juu Simba kwa kukopi, KONDE anena 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 189   
@novakimende4354
@novakimende4354 Год назад
🇨🇩🇨🇩 nimeipenda Iyo kbx, ni ushauri kwa Diamond mi Nishabiki wa diamond Platnumz, na kiukweli hatuja Penda alicho kifanya. Mumemshauri kuji Inspire Kwa nyimbo za zamani za Bongo. Ila tatizo lenu nyie Wa Bongo akiji Inspire Kwenye nyimbo zenu Japo ni za zamani Nyie tena ndo Mtakuwa wa kwanza Kumtukana kuwa ameishiwa Utunzi... Nimeipenda iyi RECAP SNS for life ❤❤❤
@FromTanzaniatoNorway
@FromTanzaniatoNorway Год назад
Amazing conversation, mimi kama Mtanzania imeniuma sana kiukweli, but we are learning!. Kama namuona Diamond sikumoja akipokea tuzo ya Grammy, na kuwadiss vibaya sana hahaha i am waiting for that moment coz i believe in what he is doing❤ well done guys!
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious Год назад
Natamani Wasanii Wote Wangekuwa Wanatizama Hiki Kituo Cha SNS Na Hasa Hiki Kipindi Cha RECAP Kuna Vitu Vingi Sana Wangejifunza Hasa Jinsi Gani Wanaweza Pata Maokoto Yao Kwa Idea Ya SNS. Hobgereni Sana SNS Kwa Kazi Nzuri Na Tunawaombea Muendelee Kufanya Vizuri Zaidi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@chuseboy
@chuseboy Год назад
Ndo uwezo wako ulipoishia kufkiria😂😂sns wenyew Kuna vitu Ving awavijui coz hakuna hata mmoja humo anaeujua muzik wote ni watangazaj hao
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious Год назад
@@chuseboy Kumbe Wewe Bwege! Nimeandika Kingine Na Ume-reply Kingine! Kapimwe Haja Kubwa Kwanza 👈
@rivermtus
@rivermtus Год назад
@@Mbeyaconsciousaka pimwe na mate pia 😂
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious Год назад
@@rivermtus 😂😂😂😂 Hakika 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@yama_virginhairthequeen1065
BELIEVE ME THEY DO
@marioarlindo5074
@marioarlindo5074 Год назад
Simba❤❤🦁🦁🦁🦁🦁🎻
@Mcsceo
@Mcsceo Год назад
Sky, esco, creez favour's i always login and feed my Ears favorite, Nimeskiza mwanzo mwisho hii recap and u can't believe it nimetumia siku 3 kuimaliza yote niliskizab siki ya kwanza nikaishia robo, siku ya pili na siku ya 3 nimehitimisha honestly nimependa How positive you guys are Daima nitabaki kuwa upande wa Sns sababu mmekuwas sio tu tv ya Online me nachokipenda ni tunapata masomo ya kujifunza daily sky keep it real bro u'll always be no 1 media personality in Bongo,🔥💪🏾
@jacobmwadingo
@jacobmwadingo Год назад
Much respect, kazi ya kizazi sana. Kongole from a screenwriter EA from Kenya.
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 Год назад
Chris you got the point, they don’t want other african country to take the higher prize than them.
@stevenckanumba7
@stevenckanumba7 Год назад
King kiba na Mondi ndowe game ya Tzn siku zote
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Год назад
Muacheni SIMBA🦁 Atawale Bana
@nai7876
@nai7876 Год назад
Niko hapa🚶‍♀️🚶‍♀️... napenda sana recap ♥️
@rammahdhanhlushanga8688
@rammahdhanhlushanga8688 Год назад
Simbaaaàs ndo cmba
@gb-one6435
@gb-one6435 Год назад
Hii imeenda 😅 enjoy
@thebeneficialknowledge3399
@thebeneficialknowledge3399 Год назад
Fantastic episode, can’t wait for more content, however, I do feel like something huge was missed out: The whole situation taught us about the reality of a huge group of Tanzanians who hate Diamond and cheer on Nigerians even in matters where people are supposed to unite. Mange kimavi spoke with so much hate and WAKAZI supported the pointless abuse lashed on by Ms Kimavi. Kiufupi watanzania na wasanii wao chuzi kubwa sana wanayo kwa dai which is shocking to see, aibu sana. Dai huyu huyu ame employ over 125 tanzanians in his companies na anasaidia vipaji vya watanzania kwenye sector mbali mbali, namely presenters, editors, lawyers etc. Leo hii tunashindwa kuonesha uzalendo…hadi waghana wanamsapoti mondi sisi tupo na wanaijeria aibu sana.
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 Год назад
Take it easy, mashabiki wanabadilika wanamuziki wanabaki this is musicfootball, trending ya my baby ft chike imewaumiza sana wanaigeria.
@fannyfarrah
@fannyfarrah Год назад
Team Recap. My favorite segment on Sns
@jeanpierrekwizera6400
@jeanpierrekwizera6400 Год назад
Diamond anatumia nguvu zake zote ili kupepelusha kimataifa bendela la Tanzania, bahati mbaya yake hapati support toka kwa watanzania; sasa kama hajapendwa myumbani Tanzania Nigeria itakuwaje? Akifanya mazuri wa Nigeria wanafumba macho, Kumbukeni interview ya Flavor jamani, mimi sio mtanzania lakini kama favorite fan inaniuma sana to be honest. Nakumbuka enzi za Steven Kanumba jinsi gani tulikuwa tuna enjoy every new bongo movie , baada yake kufariki kila mtu alishuhudia kilichotokea badae kuhusu Bongo movie hadi leo. Nimeshangaa kuona positive comments nyinyi zimekuwa za watu toka other countries like Ghana, Kenya,etc na sio za watanzania wenzake.
@trillionthamani
@trillionthamani Год назад
Angelina ya burna kasikilize Gauo ya magic system wa every coast
@yama_virginhairthequeen1065
Lol I was not aware 😢let me Go listen
@mpehedonog1214
@mpehedonog1214 Год назад
Oyooo
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Год назад
Mashabiki wapo wa aina nyingi sie wengine tunapenda mziki mzuri wa Tz wote tunawakubali kwa nyimbo zao
@mozdee7685
@mozdee7685 Год назад
Mbaya zaidi nawaza hizo ngoma za diamond ziizo kua tayali kutoka itakuaje Sasa Na kimenuka sindiomambo ya kuludisha studio tena
@mbembelatv
@mbembelatv Год назад
🔥
@gracemwende8054
@gracemwende8054 Год назад
Nothing is brother to brother ❤
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Год назад
Sky chawa wa mondiii
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Год назад
Kuandikiwa sio tatizo diamond bado mshamba sana
@sponsor7882
@sponsor7882 Год назад
recap ur the best wabongo wengi elimu hawana wanajua matusi but diamond anajishusha kucopy madogo wanaigeria
@innatyusuf6031
@innatyusuf6031 Год назад
uyo alovaa red ndo kaongea vizuri ila uyo mwengine kaongea ki team sana hadi koo limemkauka
@mubarakhassan2618
@mubarakhassan2618 Год назад
Wakwanza kuhangalia hii reecap kama unakubar hawa jama , 👊
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Год назад
Mashaallah ❤
@mrfashion1687
@mrfashion1687 Год назад
Hivi hii chanel haizungumzii football??.
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Год назад
Mario hafiki mbali
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 Год назад
🦁🦁🦁🦁🦁
@fabicshofficial
@fabicshofficial Год назад
❤❤❤
@mwanaishiaomar5695
@mwanaishiaomar5695 Год назад
👏👏👏👏
@jacobmwadingo
@jacobmwadingo Год назад
1M LIKES to the IQ used in this recap, MAD RESPECT🙌🙌
@serianjamal8254
@serianjamal8254 Год назад
Esco jitahidi kuongea kwa ufupi zaidi, unarudia rudia sana mpaka unaboa😂 by the way nawapata vizuri kutoka Bedford Bedfordshire United Kingdom 🇬🇧
@noahlameck1564
@noahlameck1564 Год назад
Wakuu nawakubali sana kwa uchambuzi wenu ila mwambieni camera man aongeze screen ili ata akiongea mtu mmoja mnaonekana wote sio mpaka azungushe camera Najua nyie mnaweza kumpa ushauri huo diamond mfikishieni basi wakuu tunawakubari sana
@leonardchondo8863
@leonardchondo8863 Год назад
Wamuache simba simba banaa 📌
@hassansela1393
@hassansela1393 Год назад
Wanaijeria wameanza ku panic kuona Diamond ame trend huko kwao 😂😂😂
@lebelgross2656
@lebelgross2656 Год назад
Simba ana sababu yakuwa simp anawa vuruga alafu awape dawa maana watakuwa wanamchukulia poa
@lebelgross2656
@lebelgross2656 Год назад
Nikama kufuli ya mwenye yumba mlangoni uifungue ndio upenye sasa wamepagawa hawaamini macho yao 🦁🦁🦁🦁🦁👆👆
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Год назад
Asitrend kwa kukopi nyimbo za watu sasa Si aimbe tu nyimbo zke mpka Akopi? Hana jambo 😂😂😂😂😂😂😂
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 Год назад
​@@missmwayway4704kamwambie ndugu yako Aly na yeye afike huko basi.kwakazi zake zisiyo zakuiba basi😂😂😂
@hamisibakari342
@hamisibakari342 Год назад
Yah,,katrendy kwa WIZI ndiomaana wakakasirika
@m___ck799
@m___ck799 Год назад
This will be the most viewed recap ever! I Predict ..
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 Год назад
Recap oyoo sns respect
@Furaha-t3o
@Furaha-t3o Год назад
Ñakubali sana sns
@othumanahmad
@othumanahmad Год назад
Only one King amenileta hapa
@ngenamartha9282
@ngenamartha9282 Год назад
Me wakwanza leo sns love you guys ❤❤
@mohamedimohamedi58
@mohamedimohamedi58 Год назад
Msanii maarufu Nigeria ambaye kwa Sasa ni diamond ila hapo amepigwa na kitu kizito
@alhabibmkama3566
@alhabibmkama3566 Год назад
Hakuna vita ya hivyo kati yao bali nyinyi ndo mnaikuza. Mnapenda kurudia kuzungumza habari moja hata mara kumi sijui mnataka kitokee kitu gani. Nyinyi watu wa Media ndo mnachangia kwa kiasi kikubwa kuwaharibu watu kuwapotosha watu kuwagombanisha watu kuwachonganisha watu kupandikiza chuki Baina ya mtu na mtu au kwa watu acheni hizo mambo tumieni vyombo vyenu kwa kuleta faida kwa watu sio kuleta hasara
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Год назад
👍🏿😂😂😂😂
@fredylucas2484
@fredylucas2484 Год назад
ingia twitter kama umebarikiwa kuelewa kiingereza na kama utaacha ushabiki mungu akikubariki utaelewa wanachokizungumza
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Год назад
Naona kama unaeleza sawa. Media kwa jumla haswa sisi wa hapa Bongo. Nimekubaliana na wewe. ❤🇹🇿👊
@sammy-b6281
@sammy-b6281 Год назад
Music wa Tanzania nimtamu na unakwenda mbali sana duniani Asa pale diamond anapo shirikia na wasanii wa Congo Ukiangali viewes za top 3 songs za diamond niambazo ameshirikiana na wa Congo Fally, koff olomide, innos b
@yama_virginhairthequeen1065
Ila roho inauma jamani D wetu I hope he will change 😢😢😢😢😮 yn km huku tulipo wengibe duhhh
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Год назад
38:2 Silaha kubwa ya Diamond ni uandishi ,video na performance,Ali kiba silaha yake ni sauti . Kuna kipindi Diamond alikua akisemwa kisa hafanyi performance na Live band ikawa sasa sio msanii bora kisa hatumii Band ,akachukua hio akaboresha sasa anajaribu. Kosa liko wapi kwa Diamond kumsema Ali Kiba haandiki nyimbo zake .
@davidomar-un4op
@davidomar-un4op Год назад
Sio mashabiki wa WCb ni nyie watangazaji msitupe lawama kwa mashabiki
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 Год назад
SNS❤❤❤
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Mumeongea ukweli sana
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Год назад
Wadanganyika kwa kujifariji Mnaongoza, eti Mondi aliwakalisha kina Davido 😂😂😂😂 wakati Davido huyo huyo ndie aliemtbulisha Nasibu kimataifa na nyie wenyewe mshasema hapa hapa SNS na nasibu kasema mara nyingi tu
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf Год назад
Oyooo ila mond ni kiboko ya mapopo
@lebelgross2656
@lebelgross2656 Год назад
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Год назад
Wanaija wivu tu hapa duniani hakuna kigeni
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 Год назад
Sio wivu mbona wasanii wengi wa nigeria wanamheshimu kiba? Coz Hawana chakumfananisha nacho zaidi kumpa taji Lake la King of bongo flavour diamond haonewi wivu coz nikitu gani kikubwa amekifanya kinaeza wababaisha wanigeria? Hakuna title ya mziki wa africa bado unaendeshwa na afro beat ya Nigeria 🇳🇬 tusimpe misifa diamond kakosea ajirudi he is a big artist ajitambue zaidi
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 Год назад
Wai wasimjiye juu alikiba
@michaeljuma254
@michaeljuma254 Год назад
@sns@Diamond Platnumz is a big artist but from what has happened, diamond platnumz should understand the following things; 1. Should know that Nigerians are his big enemies 2. He should accept corrections from any person surrounding him. 3. Diamond Platnumz should avoid producing hit songs that relate any Nigerian artist's song. 4. Diamond Platnumz should understand that now Grammy has included every genre in Africa and Nigerians will never accept Grammy award go to any other country. 5. Diamond Platnumz should accept enemity and start rivalry with Nigerian artost emmediately. 6. Diamond Platnumz should stop entertaining Nigerian artist. 7. Diamond Platnumz should accept to have writters for his songs to gain enforcement 8. Diamond Platnumz should now forget the past. Should now assume to begin and start his career as a new artist, forget about his achievements and pride and focus to starting new things. Lastly, diamond should not be discouraged by what is happening in the media, this indicates how big diamond platnumz is. We love him and big up @diamond platnumz
@erqmusic5973
@erqmusic5973 Год назад
Alivyo tande ni mkubwa akimuongelea our supper star Diamond kwetu ni shega mbona...coz mbona Asiniongelee Mimi na wengine? Kwanza ameona na ukubwa wake anaweza kujiongeza zaidi through Simba Dangote #DIAMONDPLATNUMZ....
@nabaodesigner9449
@nabaodesigner9449 Год назад
Mimi nina taka kuuliza, uwezi kufanyikiwa bila kua upande wa Diamond? Ninyi mujifunze kitu anaye abudiwa ni Mwenyezi Mungu pekee!!!!!!!! Uyo Diamond, Big Brother South Africa 🇿🇦 alikua ayupo kiivyo gisi alivyo leo. Suit alio vaa nime mpunguzia mimi anajua Taichi South Africa 🇿🇦 ata Shilole ana faam ilo. Kila mtu anaweza kua mkubwa. Leo na mimi nipo USA 🇺🇸 Atlanta Georgia. Nime kua mkubwa
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj Год назад
Kweli❤
@simulizi2632
@simulizi2632 Год назад
Creez ishu ya Diamond ku copy wasanii ambao wadogo ndio ina make sense kuliko ku copy wasanii wakubwa. Maana wasanii wakubwa ndio mtindo wao ili watu wafikirie kwa ukubwa wao WAO ndio wameanza.. so ka copy kweli🙋🏾‍♂️
@mosesharushimana9440
@mosesharushimana9440 Год назад
Mimi siwapendi wanaijeria hata kidogo kwasababu niwapuuzi sana hata wasanii wao sija follow yeyote
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
ndio wanawakilisha africa nyie hapa tanzania mnajamba jamba tu unawapunguzia nini sasa? mbona ndio wanapepea majuu uko UK marekani uko ndio kama kwao
@AbdullkhanKoi-m4p
@AbdullkhanKoi-m4p Год назад
​@@sifatiiman sababu ya America na uk awajui kiswahili ndio mana wanawapenda wasaniii wa Nigeria hawataki lugha zetu hata kidogo
@mosesharushimana9440
@mosesharushimana9440 Год назад
@@sifatiiman nikweli lakini waache dharau ndizo ambazo tunakataa, unajua kira mwanaum yeyote hapendi kudharauriwa
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
@@mosesharushimana9440 😁😆😆na bado dawa itawangia tu chezea naija wewe hadi muombe poo
@yama_virginhairthequeen1065
@daimondplatnumz pls 😢 kakayetu usirudie au sample za hao wakina angel kidjo iwe mingoma mikali ya kutambaaaa yn mm is not fan of burna but sometimes I can't stop listening his music pls pigilia humo humo na ww wasanii wakubwa mbona wengi sana watu hawajashika au kuzikumbuka nyimbo zao 😢😢😢 Nigerians they're make fun of us jmn km mm nikiwa gym pls 😢😢chaiiii siwapendi mmbwa hawa wanazingua tu ila kiboko yao ni wasouth wanawanyanyapaa wanakuwa wadogo km sukari😅😅
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 Год назад
Watu achiye simba wetu sisi tuna mpenda
@ramasonkalujefa4620
@ramasonkalujefa4620 Год назад
Diamond alisema yeye ni maji so wanaijeria wamekunya ndo mana wanamuogelea lego lake limetimia,wanamtagaza DIAMOND kimataifa bilakujua😂😂😂😂😂
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Diamond nimkubwa sana, ndio mana wanamfatilia, watu wengi wana copie, lakini akuna wakuwafatilia… wabongo awajuwi kujitetea…
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Amna kitu kipia chini yajuwa… watu wote wana copie…
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Год назад
Kama unajua unajua tu. Diamond kukopi si Jambo Baya kama aliemkopi kafanya kitu kizuri kwani hata hivyo ni njia ya kumsapoti huyo aliye mdogo. Ingawa shida yetu watanzania hatuwezi kumsapoti mtu WA kwetu anaye Fanya vizuri Kwa chochote. We mtafute Samata anavyotukanwa Kwa sasa tumesahau makubwa aliyo yafanya ktk soka la Afrika. Diamond endelea tu nakile unachoweza kukifanya
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 Год назад
Diamond anazinguwa tu,aache mambo yake ya ku copy,tena yy hu copy kuanzia Beat,uimbaji,kuvaa,mpaka Melody uimbaji,mpaka style anacopy,kila kitu anacopy,anabowa kinomaa,kuhusu kuandikiwa hii sio katika Muziki,aliandikiwa Michael Jackson na wengine,cha msingi kile kinachoimbwa kifahamike,haya Yy mwenye huyo Diamond ashaandikiwa sana tu na Kina Harmonize na kina Rayvanny,na wengi wengine tusiowajuwa,na yanajuilikanwa hayo.Kwahiyo sio hoja kuandikiwa.
@brightmbelva4572
@brightmbelva4572 Год назад
Utajiju😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 Год назад
@@brightmbelva4572 ushakula kwanza?
@imidythelegendtv2048
@imidythelegendtv2048 Год назад
SNS sounds like Team Mondi....
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Год назад
43:42 Diamond is business oriented like Drake . Drake amesemwa sana kuchukua flows za wasanii wapya ikiwemo Xxxtentacion. Huezi mskia Kendrick Lamar anafanya Drill ama Afrobeat lakini kwa Drake ni kawaida . As long as kuna makubaliano nyuma ya pazia na watu wa haki miliki,kila kitu kiko sawa.
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Год назад
@@Zidanexfabien I am Drake fan since '09 ,I am October very owns as well. Drake , Diamond and Cristiano are my all time Inspirations. They all started their peak on '09 These guys are business oriented,compared to their all time competitors. Kendrick,Ali Kiba and Messi;are naturally talented,too comfortable on their zone) You can enjoy listening to Ali kiba's vocals, Kendrick getting lyrically deep and Messi's nutmegs but for my case they can not inspire me to grow! Why Drake is close to new artists because he wants to stay on the wave with what the young generation brings he is fluid ,he gets Inspirations and use it in his way. Look at the numbers of the numbers of the guys I have mentioned and their Longevity in their craft. Drake forsees music trend and artists who will blew up before they hit the market. Music is business and as a business person you have to be visionary. Numbers and influence for you to win, in the end success matters ,they have family go to feed. Look what Drake did on (One Dance ) with Wizkid . When was that hit released ? now every global artsit is on Afrobeats. It is possible for Ali Kiba to switch but that is not him ,listen to SUMU (is that even a vibe piano or a bongo fleva song with a story )as we know Amapiano is a Club banger! You can Compare Shu! By Diamond V/s Unavailable by Davido and for a fact (SHU! WINS!, The energy in Shu! Is high) and that is Amapiano. They will get the Claps but Diamond and Wasafi will get Cheque.
@Joelfreedom4
@Joelfreedom4 Год назад
@@saidabdulkadirmjahid8255Diamond doesn’t go above and beyond like Drake. He works with his own producers, why not work with Abbah, Kimambo or yogo? If he wants to push TZ music why is he only working with people in his label or people close to him?
@comics3437
@comics3437 Год назад
Most ANTICIPATED segment, KUDOS brothers
@maishaforreal7798
@maishaforreal7798 Год назад
Diamond anacopy muda mrefu ndiyo maana hawezi kuwa international muambiyeni ukweli 😂😂😂
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
umeona
@hizamawa6046
@hizamawa6046 Год назад
Hawana vita acheni upuuzi
@gabrielpatrick7509
@gabrielpatrick7509 Год назад
Naipenda sana ila watu wakishindana hivyo ndiyo sawa Ila watambuwe Tanzania bila diamond platnumz hakuna kitu
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
mimi naomba afe ata leo afu tuone huko nyuma huyo jivi hakuepo na bongo freva ameikuta na ataiacha na muda ndio huu ushafika wa kuiacha amebaki ku copy tu
@gabrielpatrick7509
@gabrielpatrick7509 Год назад
@@sifatiiman brother nipo Kenya Ila ukweli ndiyo huyo bila diamond platnumz Tanzania na East Africa kuna msani mwingine anaweza kupambana na wasani wa Nigeria Ila kumbuka diamond platnumz sio wakwanza ku copy wapo wengi Ila ni vile wanamuona amekuja vibaya mbona before alivyo kuwa kimya walikuwa hawajaleta maneno kama hayo
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 Год назад
Tatizo Diamond sio ku copy beat tu..kila kitu hu copy,kwenye nyimbo ya mhusika,jamaa akiingia sehemu habakishi kitu,haki yetu sasa kudhalilishwa,japokuwa yy ataona hajali madhali mpunga unaingia.Lakin anatuaibisha..
@jacobmenganyi7830
@jacobmenganyi7830 Год назад
Mimi naona diamond Yuko sawa kwasababu sio kitu kibaya kuiga au kukopi kwa watu walioendelea na wanaokuzidi kila kitu mfano diamond angemkopa best nasso ndo tuseme anarudi nyuma Sana mm naona Yuko sawa kabsa
@sponsor7882
@sponsor7882 Год назад
nonsense
@yama_virginhairthequeen1065
Wewe hao wasaniii wengine wa Nigeria ni wadogo kwa D kifedha n kiukubwa ujue burn boy yy hakopi wa vidagaaa😮😢😢 elewa asake wajuzi unamkoper n D na hyo wa iyo nyimbo y Aliyo fanya juzi😢😢😢
@jacobmenganyi7830
@jacobmenganyi7830 Год назад
@@yama_virginhairthequeen1065 huna hoja
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 Год назад
Hizo alizozitaja diamond hapo ni ngoma za baadhi ya makabila ya kiTanzania, likiwemo kabila la Kimakonde
@upendokariro4252
@upendokariro4252 Год назад
Nataka niulize ambae hakacopy melody na chochote kile na aseme sasa. vile vile wanaigeria wameumia sana kuona diamond ametrend nyumbani kwao hilo ndio tatizo sasa hilo ndio tatizo wanaigeria wanapenda kuwa juu siku zote ila diamond ndio kiboko yao. burna boy yeye mwenye ana copy nyimbo za femy kuti hivyo watupishe huko
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Год назад
Ni kweli Burn ka copy kwa Kuti Lkn ni Mnaijeria mwenzie na la pili hatujui Mikataba yao na Hati Miliki za Familia ya Faly Kuti na kusema Wanaijeria wana Chuki sababu Diamond ku trend kwao it doesn’t make sense mana Wanaijeria wanakalisha Dunia wala hawana Time na hizo Local Trend za kwao
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 Год назад
Ndo ivo ivo mkubwa jamaa anawapasua vichwa mond anapeleka moto uko uko kwao
@fredylucas2484
@fredylucas2484 Год назад
@@rabsontryphon9254 uwezo umefika kikomo kwa jamaa yetu tukubali tu
@fredylucas2484
@fredylucas2484 Год назад
@@alliymohamedalliy6524 anajulikana tunayemzungumzia
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj Год назад
😅
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Год назад
Mariooo awe makinii tuu Maana yy ni level ya alikiba Simba bado sana Sasa asiingie vitanii😮
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Год назад
Kwa salome siniwazamani
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
@patrickmukundichalamila3038
Recap ya SNS naikubari,nauliza kwann wamekuja juu sasa hivi baada ya nyimbo ya Diamond kushika namba moja RU-vid Nigeria??
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Diamond na Rayvany walifanya remix chambua kama karanga ni nzuri sana.
@SwaggerLificMusic
@SwaggerLificMusic Год назад
Nikweli😂😂 Ya Saida Karoli
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
@@SwaggerLificMusic yes yes 👍🏽
@gracewairimu800
@gracewairimu800 Год назад
Kwani mmakonde anasemaje?
@bovickpascal6554
@bovickpascal6554 Год назад
S2kz ndo ana haribu mziki wa diamond 😊
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 Chiz ww
@OnlyRuky
@OnlyRuky Год назад
💯
@AhmedAhmed-jn4is
@AhmedAhmed-jn4is Год назад
Hukopi beat na Kila kitu
@zakariamachibula1776
@zakariamachibula1776 Год назад
Waendelee tu na bifu lao tumeshawazoea hao kiba na mondi
@gchisunga
@gchisunga Год назад
MaPati mfululu😂😂😂😂
@davidpesi8351
@davidpesi8351 Год назад
But now that that issues is every Tz start believe they can't make with Nagerian
@omaraliali1268
@omaraliali1268 Год назад
No sitaki kuamini kuwa produser wanatengeza bit halafu yeye anaikuta iko tayari ni yeye mshikaji anakwenda kwao anasema nataka bit ya aina hii kama hii mbona wapo wasani kibao hapo hawatengezewi kama yeye kufanana tena nyimbo zaidi ya tano copy
@innatyusuf6031
@innatyusuf6031 Год назад
kwani kuna ubaya gani ku sample nyimbo za wasanii wadogo kama wamefanya vizuri jaribuni kuwa wazalendo na msifie vya kwenu eti burna boy ku sample ni sawa ila wa kwenu aki sample mnamsema
@AllyMawazo-ve9qc
@AllyMawazo-ve9qc Год назад
Rayvanny ame drop
@doxtz647
@doxtz647 Год назад
Mi nathani inahitajika elimu ya kuji value na kuheshimu vya kwetu kwanza na elimu hii inahitaka kwa hii Generation Sis ni wakubwa sana ila ukiwa nje ya Tanzania ndio utajua value yetu Na pia tatizo Management za Tanzania zinasahidia wasanii wasio jitambua ili waweze kuwanyonya madhara hutokea wasanii wakishakuwa wakubwa wanashindwa kutuwakilisha kimataifa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Год назад
Mlichikosea hamnajua lengo la mondi ,,mond anawafata huko huko,,waliko ,na Yuko kwa ajiri ya biashara
@dieudonneniyotwizeye5955
@dieudonneniyotwizeye5955 Год назад
Hivi najiulizaga si wakati mwingine unaweza tenengeneza wimbo kisha unakuta beat zinafanana?
@hamdanijoshua-sz6di
@hamdanijoshua-sz6di Год назад
Ni kweli kabisa na hii inatokana na sounds technology,inapokuja sound mpya hua Zinatumika tofauti Zinakuwa melody kwa sababu tumeanza sampling zinaruhusiwa
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
Tatizo mashabiki wa Diamond ndo wanamwaribu na yy kua na kiburi na kutokujua kua wapi anakosea huwezi kujiita msanii mkubwa arafu unajisifia kutrend RU-vid international imemshinda anaanza vita na wabongo
@brightmbelva4572
@brightmbelva4572 Год назад
Utajiju😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Jimmy12692
@Jimmy12692 Год назад
Anajiita msanii mkubwa😂😂😂
@OmariAmuri-oe2cd
@OmariAmuri-oe2cd Год назад
Kumbukeni ommy dimpoz alikuja kwa kasi baada ya kufanya bifu na mondi na kujiunga na kiba alishia wapi ndoivo itamkuta mario
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Год назад
Diamond ni mtu wa kukopy na kupest ana ubunifu zaidi ya kuibia wengine
@hamdanijoshua-sz6di
@hamdanijoshua-sz6di Год назад
Akili ndio una kabisa
@hassansela1393
@hassansela1393 Год назад
Shida sikuandikiwa shida ni mashabiki wetu ukiandikiwa inakaa kama umeishiwa kimziki hawana hio knowledge ndo mana
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 Год назад
wanaija wapata muhaho wahaha cheza na simbaa we
@victorjustine
@victorjustine Год назад
There is sampling there is inspiration and then there is diamond Platnumz😂😂😂
@hamdanijoshua-sz6di
@hamdanijoshua-sz6di Год назад
Natamani ningewaeleza kitu very exclusive lakini sijui kama mtaiona hii comment lakini inaonekana dhahiri hata watangazaji Bado mna uelewa mdogo sana wa kuelewa mambo hususan kazi za wasanii kuna kitu mnakosa, story ndio zinawapa chakula lakini nyie hasa ndio mnavuruga akili za watanzania wengi,kuanzia maswali yenu,nadharia nyingi zisizo na fact,mnapojadili jambo hakikisheni mnafanya research ya kutosha pls nifaten inbox niwaelekeze jambo, nichek kwa email
@UshindiDavid
@UshindiDavid Год назад
Munaongea upuzi😢
@omarykimamure7656
@omarykimamure7656 Год назад
mim naxom commentx
@businesstanzania
@businesstanzania Год назад
ZIPO RADIO ZINZIGA HUU MFUMO WA RECCAP RAKINI HAZIENDI 👋 SKY UNATISHA MZEE
Далее
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
FAHAMU KUHUSU KESI YA P DIDDY
4:34
Просмотров 15
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28