We kingwwndu kama kitu aukifaham uliza apate maelekezo..kule wanawacheza wakiwa na umli mdogo kwa ajili ya kuwafundisha adabu. Namna gani aishi na mkubwa na namna gani aishi na mdogo.hawafundishi yanayohusu mahusiano..ndio maana kule vinijini watoto waliochezwa awawajeulii wakubwa. Mtoto akimbiwa usifanye iki au usimwambie ivi mtu vibaya ukifanya utapata madhara, mtoto anaelewa na anakuwa na tabia nzur. Kuharibika kunakuwaga ukubwani lkn kipindi kile wanakuwa na adabu sana..