Тёмный

Rehema Simfukwe - Huniachi (Live Music Video) 

Rehema Simfukwe
Подписаться 225 тыс.
Просмотров 160 тыс.
0% 0

HUNIACHI ni wimbo wenye kutukumbusha UKUU na uweza wa MUNGU wetu na KWELI iliyo kwenye AHADI zake! Kwa mazingira yoyote yale YEYE amesema HATATUACHA. AHADI zake ni KWELI na ZIMEHAKIKISHWA.
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Isaya 43:2
Live Recorded at Jakaya Kikwete Convention Center -Dodoma Tanzania
Song Composed by Samuel Yonah
Soprano:
1)Sarah John
2)Anna Masero
3)Joyceline Kato
Alto:
1)Elizabeth Hange
2) Happiness Humbo
3)Hannah Malumbu
4)Maryline James
Tenor:
1)Joshua Lugendo
2)Hagai Ipyana
3)George Sangiza
MD/Arranger/MainKeys - Samwel Yonah
Aux1(Synth Lead) - Victor Daniel
Aux 2 (Brass/Synth Cord) - Alfred Yonah
Aux 3 - (Marimba/Bells/Synth) Nasamwa Mwangosi
Guitarists:
Guitar 1🎸 - Andrew Kaniki
Guitar 2 - Emmanuel Robert
Bass Guitar -Raphael Shayo
Bass Guitar - Emmanuel Materu
Acoustic - Bezalel Mwandete
Drums:
Charles Singano
Peter Kiondo
Hospitality: Lightness Rhody, Praygod Ulomi, Sadwel Grishael
Lyric Interpreter: Venisia Z Mzonya
Audio Mixed/Mastered by Samuel Yonah/Samyonstudios
Decorations/LED Screen: Simply Special Decor
FOH Sound & Backline Equipment & Stage & Lights : HaddyPro Company Ltd
Make-up: Shatafrica Beity Store
Designer: Jujustitches

Опубликовано:

 

30 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 386   
@PastorNsiandumi
@PastorNsiandumi 25 дней назад
Powerful song! I like ve the creativity involved, from the melody to the video to the anointing! More grace to you and your team!! Ubarikiwe sana Rehema
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ubarikiwe sana mama yangu
@winnychebiwot5757
@winnychebiwot5757 25 дней назад
If you are from Kenya gonga like hapa tukisonga 😊
@lucylinemuthoni1390
@lucylinemuthoni1390 25 дней назад
😊😊
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Mbarikiwe sanaa
@VictorExcellence.
@VictorExcellence. 26 дней назад
Wakenya site twasema hatatuacha
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Amen
@eglinenanjala3921
@eglinenanjala3921 25 дней назад
Kabisa 🥳🥳🥳
@NaomiKasyoka-sg7wl
@NaomiKasyoka-sg7wl 23 дня назад
This my song
@marionwanjiku4226
@marionwanjiku4226 26 дней назад
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪the grace that is upon this lady glory to God . Beautiful song.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Glory to God
@AsiaRamadhan-dr2uu
@AsiaRamadhan-dr2uu 26 дней назад
Kama umebarikiwa na nyimbo weka like hapo
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Ameen
@neemakikoti5091
@neemakikoti5091 13 дней назад
Uuuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HannahWanjiru-dn6vt
@HannahWanjiru-dn6vt 21 день назад
This is so profound huniachiii❤Israel Mbonyi song 4days ago🎉Sarah K new song 4 days ago eeeiy this is amazing there is something about June 🎉🎉Huniachii aaah uko nami eeeiy
@alphamaginyo7461
@alphamaginyo7461 25 дней назад
Psalms 23 the lord is my shepherd he will never leave me nor forsake me in Jesus name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Be blessed 🙌 😊
@elolam7
@elolam7 26 дней назад
Msimu Mpya umeingia katika maisha yangu! Ktk ulimwengu wa kiroho naona vile ambavyo Mungu ameviachilia kuanzia mwezi Juni... Naona baraka juu ya baraka sababu nipo naye sitaogopa lolote ambalo shetani ameliweka njiani!... If you want to connect you can like this
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Amen amen
@faridaali3279
@faridaali3279 21 день назад
Amen. M in that season too.
@joelmjema6835
@joelmjema6835 15 дней назад
Ahsante MUNGU Kwa kutupa Mjumbe Wako ktk Kizazi chetu, Sister (Rehema Simfukwe.) Ombi langu Mungu niinue na mm Siku Moja Ili nifanye Collaboration na Mtumishi wako huyu maana umeweka vitu vikubwa Ndani yangu Ila Bado ni Muda wangu wa kuviatamia.
@rachaelkilonzo7295
@rachaelkilonzo7295 24 дня назад
I can't get enough of this song ...Kenyans in the house 🤚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Amen
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Amen
@rachaelkilonzo7295
@rachaelkilonzo7295 21 день назад
@@rehemasimfukwe I would like to meet you one day when you come to Kenya
@TIMELESSGOSPELSONGS
@TIMELESSGOSPELSONGS 26 дней назад
Whoever reading this, God never sends you into a situation alone,🙌🙌🙌🙌🙌🙌 God goes before you, He stands beside you, He walks behind you. Whatever situation you have right now be confident. God is with you. Ameen
@maurynewaithera7522
@maurynewaithera7522 26 дней назад
Amen 🙏
@maurynewaithera7522
@maurynewaithera7522 26 дней назад
Amen 🙏
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Ameeen
@kibaelipateli2924
@kibaelipateli2924 26 дней назад
Oooh my lord my lord 🙌🙌🙌Your song isn't just a tune; it's a journey of emotions, a melody that unites hearts. It's like a warm hug that reaches deep within, touching the very essence of connection.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Amen amen
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 25 дней назад
Mungu amekuinua sana dada ila nakuombea sana Mungu usijekengeuka maana umaarufu unawatoa wengi kwa Yesu sbb ya ulimbukeni wa mafanikio na wengi wamepotea sana kuharibika wamebaki na majina ya kuwa hai lkn wamekufa kiroho siku nyingi sana .ndio maana Kuna watu wanalia Mungu awainue lkn mungu hawainui sbb anajua wakiinuliwa tu mafanikio yanawatoa rohoni.Mungu akutunze sana pmj na mafanikio yako Bado ukae kwa Mungu na ajivunie ww
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Amen
@faithnthenya4741
@faithnthenya4741 15 дней назад
Umesema uko nami
@fionavalentine5745
@fionavalentine5745 23 дня назад
This song feels like a big hug from God. Ulisema huniachi loving the vibes
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@isayalyimo
@isayalyimo 26 дней назад
Huu ni ukiri wangu Kwa mwezi huu mpya wa June na kuendelea Mungu hataniacha
@mlagz8032
@mlagz8032 22 дня назад
Amen, outfit on point well done. Warembo wa Yesu angelic voices God bless you all🎉🎉🎉❤❤
@special.9027
@special.9027 26 дней назад
Giving thanks to God for being with me during the whole process of my life 😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@shieh1944
@shieh1944 25 дней назад
This is my testimony tooo . Thaank youuuu daddyyy❤❤❤❤
@dralora
@dralora 15 дней назад
Sinach wa East Africa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kelvinmureti1869
@kelvinmureti1869 22 дня назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 blessed from Kenya. Minister Rehema Simfukwe is a real blessing.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameeen
@RachelAchieng-vo4dg
@RachelAchieng-vo4dg 26 дней назад
Ni kweli mungu hajawai niacha,it's dad's anniversary and mungu amekua nami,,,I feel blessed by this song.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Amen hatamuacha kabisa
@monicawangari2913
@monicawangari2913 24 дня назад
In these season when you are waiting upon the Lord no matter what happens.It is you and you no one else am Standing upon God's Promises upon my life.❤
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
🙌🏾🙌🏾
@aksakonga1063
@aksakonga1063 25 дней назад
That day at JAKAYA CONVENTION ....DODOMA ....Cant forget .....nilikuwa nakusubr kwa ham aiseeee be blessed 😘😘
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 26 дней назад
Tuliomkumbuka Rehema Simfukwe tuweke like zetu hapa
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
❤❤
@erickkilasi3149
@erickkilasi3149 7 дней назад
Arudi nyumbani
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 7 дней назад
@@erickkilasi3149 yaani sijui anakuja lini
@VictorExcellence.
@VictorExcellence. 26 дней назад
Bwana hauniachi
@shieh1944
@shieh1944 25 дней назад
Eiiiiiiiiyyyyy❤❤❤❤❤❤❤ Huniachiiii Yesuuuuu Uko namiiiiiii
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@benaaKenyaofficial
@benaaKenyaofficial 23 дня назад
Tanzanian Sinach🎉❤❤❤
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Glory to God
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 25 дней назад
Mungu akubariki kwa mavazi maana watu wakiwa waislamu wanajisitri vizuri lakini wakiokoka wanaanza kuvaa nguo za uchi Kanisani MUNGU awabariki Shaloom
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Amen
@joshuaitsolutions1471
@joshuaitsolutions1471 24 дня назад
Tazama mimi nipo pamoja nanyi hata ukamilifu wa dahari.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Amen
@JohnSosthene
@JohnSosthene 25 дней назад
Sitaogopa ata kitu juu yesu iko namiye
@FroduardManishimwe
@FroduardManishimwe 23 дня назад
Jusus is my fortress
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Amen
@SILOAMCELEBRATION
@SILOAMCELEBRATION 23 дня назад
Asante sana DADA yetu kwa kufanyika baraka kwetu hakika MUNGU anatenda kwa watu wake 🎉
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@eliassoingei2046
@eliassoingei2046 26 дней назад
Halisi God bless you🎉🎉🎉🎉
@IrineHadassah
@IrineHadassah 23 дня назад
MUNGU hataniacha ako nami
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Halleluya
@mickeyprince2486
@mickeyprince2486 21 день назад
Wooow So sweet,stress reliever❤❤😊 Minister Rehema to the fullest 😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤍🤍🤍more Grace dear❤
@chrispineonyango793
@chrispineonyango793 20 дней назад
Hii nzuri sana ,huniachi kabisa uko nami
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 20 дней назад
🙏 Amen
@NaomiKyalo-nu9iq
@NaomiKyalo-nu9iq 26 дней назад
I thank God 🙏 hajawai niacha.. through out my life amekua na mm
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
🙌🏾🙌🏾
@user-lb3ms9lj8w
@user-lb3ms9lj8w 25 дней назад
Aniachi hata dada Rehema, Mungu Akubariki,sana 🎉🎉 tuko pamoja
@mumbiirungu3914
@mumbiirungu3914 9 дней назад
The lord is my Shepherd 🙏
@G.A.M.A-
@G.A.M.A- 25 дней назад
Great hook
@gifftygabriel375
@gifftygabriel375 25 дней назад
Hakika Mungu huniachi
@queenmapunda7868
@queenmapunda7868 25 дней назад
Asante sana mpendwa umetubariki na wimbo wenye nguvu za Mungu.Hakika haniachi.Barikiwa zaidi
@AustrianDesigns
@AustrianDesigns 4 дня назад
AMEN
@user-mr3qg9iq5k
@user-mr3qg9iq5k 22 дня назад
Hongra sana Dada kazi nzuri na Mavazi yako pia yanaleta utukufu wa Mungu ❤❤❤
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen
@godfreysanziki1461
@godfreysanziki1461 12 дней назад
Mungu ainuliwe zaidi, ubarikiwe sana 🙏
@NyabonyiKairo
@NyabonyiKairo 24 дня назад
Hapa tuna zaburi ya 23 safi sanaa
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
🙏 thanks for watching
@Minister_JustinLewa
@Minister_JustinLewa 19 дней назад
baraka tele dada.Mungu akuinue zaidi
@ministermossesmungure
@ministermossesmungure 24 дня назад
Hallelujah Hallelujah Glory be to God 🙏🏽
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen
@jenipherlukindo8506
@jenipherlukindo8506 25 дней назад
Woooowww🎉
@user-fp1zc7nm4m
@user-fp1zc7nm4m 5 дней назад
Ulisema huniachi🎉🎉🎉🎉🎉
@victoriakavindu7260
@victoriakavindu7260 20 дней назад
Wow loving this from Kenya
@JoshuaKatiti
@JoshuaKatiti 25 дней назад
Bassist👌🔥
@SarahMpagike
@SarahMpagike 15 дней назад
Waooooh,,usiniache Bwana
@RuthChaula
@RuthChaula 24 дня назад
I was there , ibada ilifanyika Dodoma
@Paulbrown8994
@Paulbrown8994 24 дня назад
🙌🙌🙌🙏🙏🙏❤️ barikiwa sister 🔥🔥
@vyukusengefabrice257
@vyukusengefabrice257 26 дней назад
kama umeipenda nipe lik😌
@zephaniapaul9592
@zephaniapaul9592 23 дня назад
Mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yako
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Halleluya
@lissambukilo9696
@lissambukilo9696 26 дней назад
Hongera sana my Young Sister kazi nzuri sana barikiwa
@abbynyuki3587
@abbynyuki3587 22 дня назад
Asante Yesu..uko nami❤
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen
@Wolly254.
@Wolly254. 20 дней назад
Huniachi🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@andreajames677
@andreajames677 26 дней назад
Bwana ndie msada wetu
@alexmichael7251
@alexmichael7251 25 дней назад
Ameeeen.. great song indeed from rehema simfukwe.. Musicians na MD samyonah mmetisha sana humu... Mi5 tena
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@TimothyTCP
@TimothyTCP 26 дней назад
Apa hakika siachwi aisee🥰🔥🔥🙌
@ministersamuelsamsam7479
@ministersamuelsamsam7479 24 дня назад
Wimbo wa baraka sana , God bless you mama
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Amen
@christinemuthoni84
@christinemuthoni84 23 дня назад
Kweli Ako na mi weee Asante dada kwa kutuhudumia Dani ya Christo. Neema tele e ❤❤🎉
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Halleluya
@mamapraise9382
@mamapraise9382 26 дней назад
This song is on another level from my sister Rehema Simfukwe. True Isaiah <a href="#" class="seekto" data-time="2581">43:1</a>-2 is my portion. God bless you so much and congratulations ❤🎉🎉
@TheJohnopicho
@TheJohnopicho 23 дня назад
Nafarijika tu apa. Yesu ni Ngome acha tu....
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@queenkinyua4045
@queenkinyua4045 22 дня назад
waaaaao ❤ the song very powerful my lovely singer rehema
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameeen
@teddypsalmist6663
@teddypsalmist6663 21 день назад
hallelujah 🙌 Good sound 👏 From KENYA 🇰🇪
@Zpauljr994
@Zpauljr994 25 дней назад
Nyimbo zako zinanibariki Sana dadaa
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Amen 🙏 😊😊
@user-jg5zi8cg1j
@user-jg5zi8cg1j 17 дней назад
Wow, i like the message, the melody, the creativity, the dressings, Be blessed more
@internationalprayersnetwor742
@internationalprayersnetwor742 26 дней назад
From Tanzania 🇹🇿🇹🇿 watching 🔥🔥🔥🔥
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Ameen
@glorianeema7257
@glorianeema7257 25 дней назад
Powerful. More grace Rehema
@nicemara12357
@nicemara12357 25 дней назад
😍🙌🔥🔥
@josee-thedreamchaser8400
@josee-thedreamchaser8400 25 дней назад
Hii ni moto kama pasi
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
🔥 🔥 Mungu yupo nasi ubarikiwe
@boniphacegospel6764
@boniphacegospel6764 24 дня назад
Hakika BWANA katika moto na katika maji mengi yeye yupo pamoja nasi 🙏🙏🔥🔥💪💪
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@festondile2039
@festondile2039 25 дней назад
Wimbo mzuri Sana, hongera Sana Rehema.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen
@DrNeemaBalige
@DrNeemaBalige 23 дня назад
Press on my sister! JEHOVAH is your rewarder🙌
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@speranzakiragu3491
@speranzakiragu3491 15 дней назад
We love you mamaaaa❤❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@elsieafwandemusic
@elsieafwandemusic 25 дней назад
The Aah part is my favourite ☺️
@scholarwilliam4876
@scholarwilliam4876 19 дней назад
Barikiwa sana
@markomadundo778
@markomadundo778 23 дня назад
Hooo kuna watu ukiwasikia tu unafarijika sana
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen
@sammymachuka-mq3vi
@sammymachuka-mq3vi 24 дня назад
Nice song Mungu hawe nawe Kila wakati
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Amen
@QeasdDz
@QeasdDz 26 дней назад
Mungu haniachi kabisa
@muthonikiuna
@muthonikiuna 26 дней назад
End of May 2024. My creator has never forsaken me ❤
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Glory be to God
@pastorsafari6087
@pastorsafari6087 25 дней назад
Powerful, congratulations
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Amen baba Ubarikiwe sana
@elizabethjoseph7645
@elizabethjoseph7645 22 дня назад
huniachi bwana upo na me guyz this gospel song is fire 💥💥💥
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen amen
@kenyayoungjournalists7901
@kenyayoungjournalists7901 17 дней назад
Wooow this is indeed amazing. We celebrate the grace of God upon you.❤❤❤Guys nipitieni.
@eliamahuna832
@eliamahuna832 25 дней назад
Dada pass my greating to ur husband and your family,,,and S/O to Sam Yonah,,,dope arrangements
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Halleluya
@David_the_Worshipper.
@David_the_Worshipper. 23 дня назад
Wakenya tumefika HUNIACHI aaaaa , Rabuka HUNIACHI hadi PARADISO .
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Halleluya
@glorianeema7257
@glorianeema7257 25 дней назад
The anointing on you is on another level
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
🙏
@veronicasimon9914
@veronicasimon9914 24 дня назад
Barikiwa Sana Kwa wimbo nzuri sana
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
🙌🏾🙌🏾
@elizabethsillayo5349
@elizabethsillayo5349 23 дня назад
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameeen
@emmaa_God1
@emmaa_God1 26 дней назад
My sister on 🔥🔥🔥🔥🔥
@parkengideon9374
@parkengideon9374 26 дней назад
Wow!! Wow!! Powerful song minister of God
@k.m.8658
@k.m.8658 25 дней назад
Eeeyy🔥🧡. I'm blessed and encouraged and reassured, especially in my academics 🥹💯. The Word of God to me🧡💯. Thank you Woman of God 🥹. God bless you 🧡.
@bupemwakyusa6663
@bupemwakyusa6663 26 дней назад
Ur my Role model since I was a kid I love ur new song be blessed Glory to God..........he will never leave me
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 26 дней назад
Ameen
@daniellaurent9225
@daniellaurent9225 24 дня назад
God bless you woman of God,your blessed and the best worshiper,we love you from Danny Lukeha
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 23 дня назад
Ameen
@melaniankya8441
@melaniankya8441 26 дней назад
Umesema Huniachiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ huu wimbo umegusa moyo
@winniesumaye5045
@winniesumaye5045 24 дня назад
Huniachi aaahh upo nami hakika Mungu hujawahi kuniacha, thank you woman of God Rehema
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 22 дня назад
Ameen
@NORAHWANGECHI
@NORAHWANGECHI 24 дня назад
Such a blessing to many❤❤Dada umebarikiwa
Далее
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Кошка-ГОНЧАР #шортс #shorts
00:28
Просмотров 737 тыс.
Ancient of Days (Worship Medley) - Fortune Afaglo
14:57
Rehema Simfukwe - Ndio (Official Video Lyric)
9:23
Просмотров 552 тыс.
Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )
11:00
Yesu Nakupenda - Henrick Mruma (Official Live Video)
7:12
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 131 тыс.