Тёмный

REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 153 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 24 OCT 2023.
KICHWA CHA SOMO : KUENDELEA TOKA NGUVU HATA NGUVU.
'' FROM STRENGTH TO STRENGTH ''
Zaburi 84 : 7
7 Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
UJUMBE WA LEO: KUISHI - KESHO
Warumi 8 : 18
Methali 31 : 25
Mwanzo 30 : 25 - 43
Warumi 8 : 18
18 Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu.
Methali 31 : 25
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
Mwanzo 30 : 25 - 43
25 Ikawa Raheli alipomzaa Yusufu, Yakobo akamwambia Labani, Nipe ruhusa niende kwetu, na kwenye nchi yangu.
26 Nipe wake zangu na watoto wangu, niliokutumikia, niende zangu, maana umejua utumishi wangu niliokutumikia.
27 Labani akamwambia, Iwapo nimeona fadhili machoni pako, kaa, maana nimetambua ya kwamba Bwana amenibariki kwa ajili yako.
28 Akasema, Sema mshahara wako utakao, nami nitatoa.
29 Akamwambia, Umejua jinsi nilivyokutumikia, na jinsi wanyama wako walivyokuwa kwangu.
30 Maana mali yako ilikuwa haba kabla sijaja, nayo imezidi kuwa nyingi, Bwana akakubariki kila nilikokwenda. Basi sasa, nitaangalia lini mambo ya nyumba yangu mwenyewe?
31 Akamwuliza, Nikupe nini? Yakobo akasema, Usinipe kitu; ukinifanyia neno hili, nitalisha wanyama wako tena na kuwalinda.
32 Nitapita katika wanyama wako wote leo, na kutoa huko kila mnyama aliye na madoadoa na marakaraka, na kila mnyama mweusi katika hao kondoo, na aliye na marakaraka na madoadoa katika mbuzi; nao watakuwa mshahara wangu.
33 Na haki yangu itanishuhudia katika siku zijazo, utakapokuja kwa habari ya mshahara wangu ulioko kwako. Kila asiye madoadoa au marakaraka katika mbuzi, au asiye mweusi katika kondoo, akionekana kwangu, itahesabiwa kuwa ameibiwa.
34 Labani akasema, Tazama, na iwe hivi kama usemavyo.
35 Basi akatoa siku ile mbuzi waume walio na milia na madoadoa, na mbuzi wake walio na madoadoa na marakaraka, kila aliye na doa jeupe, na kondoo wote waliokuwa weusi, akawatia mikononi mwa wanawe.
36 Akajitenga na Yakobo mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akachunga wanyama wa Labani waliosalia.
37 Yakobo akatwaa fito za mlubna mbichi, na mlozi, na mwaramoni, akazibambua maganda, mistari myeupe ionekane ndani ya hizo fito.
38 Akazisimamisha fito hizo alizozibambua katika mabirika ya kunyweshea maji, pale walipokuja wanyama wanywe; wakachukua mimba walipokuja kunywa.
39 Wanyama wakapata mimba mbele ya hizo fito, wakazaa wanyama walio na milia, na madoadoa, na marakaraka.
40 Na Yakobo akawatenga wana-kondoo, akazielekeza nyuso za makundi zielekee wale waliokuwa na milia, na kila aliyekuwa mweusi katika wanyama wa Labani. Akaweka kando wanyama wake mwenyewe, wala hakuwachanganya pamoja na wanyama wa Labani.
41 Ikawa kila walipopata mimba wanyama wenye nguvu, Yakobo akaziweka zile fito mbele ya macho ya hao wanyama katika mabirika ili kwamba wachukue mimba kati ya zile fito,
42 lakini wanyama walipodhoofika hakuziweka zile fito. Basi wale dhaifu walikuwa wa Labani, na wenye nguvu walikuwa wa Yakobo.
43 Kwa hiyo mtu huyo akazidi mno, akawa na wanyama wengi, na vijakazi, na watumwa, na ngamia, na punda.
Mhubiri : Rev.Dr. Eliona Kimaro
Kwa maoni na ushauri:
Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Опубликовано:

 

23 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@JonathanBwoma
@JonathanBwoma 6 месяцев назад
Mtumishi ubarikiwe kwa mafundisho mazuri sana
@user-gc9wb2pv9mallya
@user-gc9wb2pv9mallya 5 месяцев назад
Ee mungu nisaidiye niifikie kesho yangu na kuiyonaa Ameen 🙏🙏🙏🙏
@bethwamweru5291
@bethwamweru5291 3 месяца назад
Asante mchungaji kwa haha mafunzo,watching from Kenya, GOD BLESS KEEP YOU, SHALOM
@mwanzajosephine468
@mwanzajosephine468 9 месяцев назад
Ameeeen ,Mungu nipe neeema yakuzudi mno kila sekta niishi kesho yangu
@jastinnkya
@jastinnkya 9 месяцев назад
Ameeen mungu semana watu wako
@lucykandie1109
@lucykandie1109 9 месяцев назад
Amen
@calvinmaro9846
@calvinmaro9846 9 месяцев назад
Namuomba sana Mungu anisaidie niweze kuiishi kesho yangu
@juliusedwadi
@juliusedwadi 3 месяца назад
👏👏👏Amina mungu akulinde
@yunisadam8494
@yunisadam8494 9 месяцев назад
😭😭👋👋nitazidi mno Kwa jina la Yesu kirsto nazidiiiiiiiiioooo, Yesu nitazame
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 месяца назад
Amina kubwa
@qatarrarre30
@qatarrarre30 4 месяца назад
Ameeeeeeeeen in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏
@bethwamweru5291
@bethwamweru5291 3 месяца назад
Mungu nisadie nizidi no katika Jina la Yesu aliye hai
@janemyinga2575
@janemyinga2575 3 месяца назад
Aminaaaa
@user-es2ih4po5l
@user-es2ih4po5l 9 месяцев назад
Neno la Mungu Lina nguvu ya kukuvusha katika changamoto unazokumbana nazo maishani
@user-qi4nl5hd5e
@user-qi4nl5hd5e 9 месяцев назад
Amen Mchungaji,ila jamani Mimi natamani sana kuwasiliana na Mchungaji na sijui nakupataje Mimi Niko Arusha.
@user-mk1jw9rn3w
@user-mk1jw9rn3w 7 месяцев назад
Nina barikiwa sana na jumbe zako kila wakati
@estergregory2833
@estergregory2833 9 месяцев назад
Ameen Mungu anipe neema ya kuzidi mnoo
@amanmmbando8413
@amanmmbando8413 8 месяцев назад
Ameeeen🙏🏾 Naamin nitazid mnooooooo👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@neemakiria4416
@neemakiria4416 9 месяцев назад
Amen Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa somo zuri
@elinaikemuro9284
@elinaikemuro9284 9 месяцев назад
Ameeen...Barikiwa mtumishi kwa neno zuri
@user-xp9mn2xw7k
@user-xp9mn2xw7k 9 месяцев назад
Amen and Amen and Amen ❤❤
@faustinamasaki480
@faustinamasaki480 9 месяцев назад
Nitazidi mnooo katika jina la Yesu
@ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt
@ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt 7 месяцев назад
Ubarikiwe baba
@abbymagospel6904
@abbymagospel6904 9 месяцев назад
Ubarikiwe baba mtumish 🙏🏿
@happyiskaka
@happyiskaka 9 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ Barikiwa mno BABA YANGU
@deborakasambula7431
@deborakasambula7431 9 месяцев назад
Badilisha moyo wangu nianze kiishi kesho
@IreneIsack-qp9ns
@IreneIsack-qp9ns 7 месяцев назад
Amina
@samweldamian8098
@samweldamian8098 9 месяцев назад
Society of life. Amen.
@user-es2ih4po5l
@user-es2ih4po5l 9 месяцев назад
Ukitaka kuishi maisha ya amani kwa mkristo ni nyumbani na kanisani
@faustinamasaki480
@faustinamasaki480 9 месяцев назад
Amina mchungaji
@siyamambali8832
@siyamambali8832 8 месяцев назад
Amen❤❤❤❤
@franksam8581
@franksam8581 8 месяцев назад
Amen
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 9 месяцев назад
Ameni, Tuishi sasa
@NiceMuro
@NiceMuro Месяц назад
EEE mungu nisaidie niweze kufunguka ufahamu wangu niweze kujua nifanye nini kwani sijui la KUFANYA BAADA ya kupata MATATIZO mengi ya kiavya
@marynangole3793
@marynangole3793 9 месяцев назад
Yes 👏👏👏 Aman 🙏
@lydiatito609
@lydiatito609 9 месяцев назад
AMEN
@EllyLema-xw6nm
@EllyLema-xw6nm 9 месяцев назад
We mungu nami unipe neema ya kuzidi mno kama yakobo
@qatarrarre30
@qatarrarre30 4 месяца назад
😅😅🙏🙏
@yunisadam8494
@yunisadam8494 9 месяцев назад
😭 Jesus hili ndilo haja ya moyo wangu ulivyonipatia hii kaz , usiniache tafadhari
@furahamtweve4222
@furahamtweve4222 9 месяцев назад
Amen nmepokea
@GladyLinga-ks4qy
@GladyLinga-ks4qy 9 месяцев назад
Aammmeeennniiii kuanzia Leo naishi kesho.barikiwa baba
Далее
REV. DR. ELIONA KIMARO:  SADAKA NA NADHIRI I
40:08
Просмотров 7 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: JIEPUSHE NA KIGEUGEU
1:02:03
Просмотров 15 тыс.
Чистка пляжа с золотом
00:49
Просмотров 345 тыс.
Ushuhuda wa mama kifaru akisimulia Rev.Dr.Eliona Kimaro
17:16
JE WATAKA KUMUONA BWANA - PR. DAVID MMBAGA
1:01:22
Просмотров 21 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: ZITAFAKARI NJIA ZAKO
1:02:30
Просмотров 13 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MBINGU ZIKUFUNUKIE
1:24:27
Просмотров 39 тыс.