Тёмный

REV. DR. ELIONA KIMARO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 157 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 09/11/2023.
KICHWA CHA SOMO: "KUSUDI LA KUWEPO"
"A SENSE OF PURPOSE"
NENO KUU
UNAFANYA NINI HAPA?
WHAT ARE YOU DOING HERE?
NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
1 Wafalme 19 : 9
UNAFANYA NINI HAPA?
UJUMBE WA LEO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO
(A SENSE OF PURPOSE ATTACK)
MAAPIZO YA KICHAWI
Isaya 42 : 22
1 Wafalme 19 : 1 - 5, 15 - 17
2 Wafalme 9 : 30 - 37

Isaya 42 : 22
22 Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.
1 Wafalme 19 : 1 - 5, 15 - 17
1 Basi, Ahabu akamwambia Yezebeli habari ya mambo yote aliyoyafanya Eliya, na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
2 Ndipo Yezebeli akampelekea Eliya mjumbe, kusema, Miungu wanifanyie hivyo na kuzidi, nisipokufanya roho yako kesho, panapo wakati huu, kama roho ya mmojawapo wa hao.
3 Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.
4 Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee Bwana, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu.
5 Naye akajinyosha akalala chini ya mretemu; na tazama, malaika akamgusa, akamwambia, Inuka, ule.
15 Bwana akamwambia, Enenda, urudi njia ya jangwa la Dameski; ukifika, mtie mafuta Hazaeli awe mfalme wa Shamu.
16 Na Yehu mwana wa Nimshi mtie mafuta awe mfalme wa Israeli; na Elisha mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie mafuta awe nabii mahali pako.
17 Na itakuwa atakayeokoka na upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua; na atakayeokoka na upanga wa Yehu, Elisha atamwua.
2 Wafalme 9 : 30 - 37
30 Hata Yehu alipofika Yezreeli, Yezebeli akapata habari; akatia uwanja machoni mwake, akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.
31 Hata Yehu alipoingia lango la mji, alisema, Je! Ni amani, Ewe Zimri, mwenye kumwua bwana wako?
32 Akainua uso wake kulielekea dirisha, akasema, Aliye upande wangu ni nani? Matowashi wawili watatu wakachungulia.
33 Akasema, Mtupeni chini. Basi wakamtupa chini; na damu yake ikamwagika nyingine juu ya ukuta, na nyingine juu ya farasi, naye akamkanyaga-kanyaga.
34 Alipoingia, akala, na kunywa; kisha akasema, Haya! Mwangalieni mwanamke huyu aliyelaaniwa, mkamzike; kwa maana ni binti mfalme.
35 Wakaenda ili kumzika; lakini hawakuona kitu ila kifuvu cha kichwa chake, na miguu yake, na vitanga vya mikono yake.
36 Basi wakarudi, wakampasha habari. Akasema, Hili ndilo neno la Bwana, alilolinena kwa kinywa cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja cha Yezreeli mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
37 Na mzoga wa Yezebeli utakuwa kama mavi juu ya uso wa mashamba, katika kiwanja cha Yezreeli; hata wasipate kusema, Huyu ni Yezebeli.

Mhubiri : Mch. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@user-df1hi5kt1f
@user-df1hi5kt1f 10 месяцев назад
Amina
@josephmghase5613
@josephmghase5613 10 месяцев назад
Asante sana Mchungaji, umefungua kitu kikubwa sana kwenye maisha yangu, a "Sense of purpose" Kusudio la nia, "a road to destine" Hadishi ya huyo kichaa (mimi namwita Engineer) imenitoa machozi. Roho za watu zilizofungwa zika pone kwa Jina la Yesu. Mdumii na kusongoye Mmbe, Mdumii na kutarame, Mdumii akuinenge pyinya kundu wandu wafoi wakuloshe kyindo Ruwa awikyie ipfo ngoonyi tsawo walaende walashirunda (Kimarangu). Amen.
@ombenkallenge1924
@ombenkallenge1924 10 месяцев назад
Amina mtumishi
@simonbarhe7840
@simonbarhe7840 10 месяцев назад
Asante mchunguji una kusudi la kuwepo hapo ulipo
Далее
Семья с двойным дном. Рассказ
2:45:06
Unabarikiwa Ili Uwe Baraka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
13:49
Kumbuka Ulipotoka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
14:37
Просмотров 8 тыс.