Тёмный
No video :(

Rigathi Gachagua alazamisha rais Ruto kutangaza msimamo wake kuhusu vita dhid ya pombe haramu 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 89 тыс.
50% 1

Rais William Ruto Sasa Anasema Kati Ya Mabadiliko Yaliyofanywa Katika Idara Ya Polisi Yalinuia Kuwaondoa Maafisa Ambao Wamekuwa Wakishirikiana Na Wafanyabiashara Wanaolemaza Vita Dhidi Ya Vileo Ghushi. Ruto Amefichua Hili Alipozungumza Katika Ibada Ya Jumapili Eneo La Ndaragwa Kaunti Ya Nyandarua Baada Ya Naibu Rais Rigathi Gachagua Kumtaka Kutoa Msimamo Wake Kuhusu Swala Hili.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 103   
@MuthamaSabastian
@MuthamaSabastian Месяц назад
Nani ameruhusu Tena hizi siasa Kwa kanisa........kanisa nyinyi...kanisa nyinyi...mmmmm....chungeni.
@oyay2821
@oyay2821 Месяц назад
Pombe yote ni haramu, hakuna siku ilikua halali
@jacksportman5181
@jacksportman5181 Месяц назад
Iv makanisa ya Kenya ni majukwaa ya siasa instead of kuabudu😢😢
@Watt-er8or
@Watt-er8or Месяц назад
We had missed the days President and deputy president talked in one voice... The moment they started to talk in different languages, a group called GenZ was born.. As Rigathi said, unity is strength and it must start from bottom up... Your excellency Rigathi Gachagua, continue with your magnificent work of bringing together Mt. Kenya...
@kenmutwiri7561
@kenmutwiri7561 Месяц назад
And that's how they control you people wake up, these are two goons in disguise as leaders
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw Месяц назад
Siasa kanisani,nonsense na tunawajua nwakora tuu,,hakuna kitu hapo
@stove7197
@stove7197 Месяц назад
Nonsense
@georgesalano5771
@georgesalano5771 Месяц назад
Stupid observation,who told you their so called working together matters to the cause of the gen Z and other many kenyans who are tired of all this politicians
@Watt-er8or
@Watt-er8or Месяц назад
@@georgesalano5771 GenZ became stronger when they realized that opposition was not powerful enough to take on the government.. But the ones you see today on twitter are Azimio people, most of them are Lips...
@peterkamotho5962
@peterkamotho5962 Месяц назад
Sasa watoto hawauliwi na pombe wanauliwa na risasi
@Watt-er8or
@Watt-er8or Месяц назад
Mmoja alienda kukunywa pombe,. Mwingine akaenda kuchoma bunge..
@irenenjoel
@irenenjoel Месяц назад
Wanauwawa na kuchinjwa vichwa.
@alextercisio
@alextercisio Месяц назад
Unaeda kuchoma Parliament MTU akiwa na akili ?
@deeruta9894
@deeruta9894 Месяц назад
But ulitaka wa coast wakule goka 😢😢😢😢so sad
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 Месяц назад
Kumbe ikihusi watoto wao wanakasirika
@deeruta9894
@deeruta9894 Месяц назад
@@jumas.sendekwa2788 sana tu bro
@Ndakui
@Ndakui Месяц назад
Pastor wa hii church ako sawa kweli
@jothammaweu3005
@jothammaweu3005 Месяц назад
Labda anodai occupation by gen zs
@Vodka_c-zar
@Vodka_c-zar Месяц назад
Citizen mna tangaza ufala sana nyinyi.... Maumbwa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Месяц назад
Wakenya bana mnachanganya ibada na siasa kwann mkiwa ibadani msiabudu Mungu mambo ya siasa mfanye kwenye majukwaa yenu
@robertkimani2420
@robertkimani2420 Месяц назад
Ruto is akiller mambo ni matatu we remember
@user-sg6zh6mj1h
@user-sg6zh6mj1h Месяц назад
I'm David Lukeine, from Narok . His Excellency DP please don't let it come back it's ruining life's of our young people. There'll be future for people - I support you Mia kwa Mia ( 100% )
@froma3732
@froma3732 Месяц назад
Ok Pombe ni sumu Mungukaa iko Sawa
@aheudit
@aheudit Месяц назад
Lakini Polisi, wanaweza kuuwa bila kushtakiwa. Double standard.
@Dymitri-Babushka.
@Dymitri-Babushka. Месяц назад
Watoto wetu wanauliwa na RISASI ZA SERIKALI NA SIO POMBE ANYMORE
@alextercisio
@alextercisio Месяц назад
Yess wakichoma Parliament hapo risasi lazima
@rabeccamutindikivuu
@rabeccamutindikivuu Месяц назад
Lakini muguka mnaruhusu huko pwani,,
@Flamingo9653
@Flamingo9653 Месяц назад
The reason the 2 goons are going to church in ndaragua is because people there are in the dark and dont know what is happening regards GenZs. Let him try Githurai
@Vodka_c-zar
@Vodka_c-zar Месяц назад
Mbona hamja ongea kuhusu Ruto ku enda kutoa pesa kanisani na ali sema hakuna iyo mambo tena.... Nyinyi mme nunuliwa mafala nyinyi nkt.
@NasimMaya-k3q
@NasimMaya-k3q Месяц назад
Kura zikiibiwa ni mlima.michango kanisani nyama na mchele ni Central yan hahafunguka akili ama niaje.wee hii upuz akuna kisumu
@robertkimani2420
@robertkimani2420 Месяц назад
Sasa president nikuja kanisani kusema stori za pombe wakati watu wanauliwa wakitetea haki zao tunaishi wapii
@jamalkhedira2398
@jamalkhedira2398 Месяц назад
Pombe irudi...tutawaletea from mombasa😂..tukufe sote
@alfanmwatamu9030
@alfanmwatamu9030 Месяц назад
Lakini mgoka mwataka uletwe pwani kumbe kwenu hamtaki watto wenu waaribike...acheni ukabila nyinyi
@grysonkavaya5131
@grysonkavaya5131 Месяц назад
Ruto haskii...... Tulisema hakuna siasa kanisa
@georgekamao6630
@georgekamao6630 Месяц назад
Thts very true..how soon did w forget kirinyaga??
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw Месяц назад
Hakuna kitu mtaezana nyinyi,midomo mitupu na hakuna kazi
@nicholasrama5076
@nicholasrama5076 Месяц назад
What’s the use of City Halls 🤮 Why can’t they just organize themselves to do their Speeches in City Hall,if they want to address the people ?
@ppatop
@ppatop Месяц назад
Pombe itauzwa tuu kwa sababu Maisha lazima endelee
@jabezjedidiah1429
@jabezjedidiah1429 Месяц назад
Don't you see mlima ndio targeted na pombe sumu.
@patrickmurunga4820
@patrickmurunga4820 Месяц назад
Ooook hawo ndio waliendesha biashara
@astolafisto5660
@astolafisto5660 Месяц назад
Ghai wanabadilisha topic sai ili tusahau Nini inaendelea😂😂😂
@GeorgeMaluki-jr7xi
@GeorgeMaluki-jr7xi Месяц назад
Sawa deputy
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 Месяц назад
Heri tuko na Rais anaeskiiiza
@abelmakori
@abelmakori Месяц назад
Hii siasa itaisha lini aki immediately after elections campaigns start again no time to work
@reubenabugah2137
@reubenabugah2137 Месяц назад
Siasa chafu😢
@GeorgeMaluki-jr7xi
@GeorgeMaluki-jr7xi Месяц назад
Tab 😮its wrong politics in church
@wayando
@wayando Месяц назад
Politics in the churches is back ...
@josephmuigai2074
@josephmuigai2074 Месяц назад
Ni nyumba ya mungu mmeifanya choo....😂😂 kila mtu akikula siasazake anaeda kukunia kanisa😂😂 simfanye makanisa zooote statehouses,
@AppComs_Institute
@AppComs_Institute Месяц назад
poison business is a booming business
@jothammaweu3005
@jothammaweu3005 Месяц назад
And when coast counties ban Muguka same top leaders come out strongly to oppose. Conflict of interest
@dennismutinda9875
@dennismutinda9875 Месяц назад
Hadithi za Abumwasi from the chief in comand of a state. Lets know what is happening in kware?
@70micgytred
@70micgytred Месяц назад
We are tired ruto liees must go
@janaleokesho8374
@janaleokesho8374 Месяц назад
Politics politics in church.nkt
@carolinechepcorir9239
@carolinechepcorir9239 Месяц назад
The way citizen TV twist things😂 They are thrive in chaos.
@briankwala7923
@briankwala7923 Месяц назад
you don’t like how they mention your master zakayo😂
@rihkaa6289
@rihkaa6289 Месяц назад
Pombe haramu isiruhusiwe kuuzwa kabisa.. This fight of illicit brew should not end until it ends
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 Месяц назад
What about Mugoka
@Josethekenyan
@Josethekenyan Месяц назад
Gachagua awache ujinga anapigana na pombe mt Kenya pekee
@jabezjedidiah1429
@jabezjedidiah1429 Месяц назад
Ni wapi kwingine umeona pombe sumu kama yenye iko mlimani. Its a plan to destroy males in particular. Blind people cannot see it.
@duhhuskie2698
@duhhuskie2698 Месяц назад
@@jabezjedidiah1429 The people making poison alcohol are your fellow Kikuyus. Even during Kibaki's time it was there. God is just punishing you guys for the crimes you have committed against other Kenyans. Infact I will vote for Ruto 2027 awafinye kabisa hii ukabila yenu iishe.
@user-cs5bs8xd8r
@user-cs5bs8xd8r Месяц назад
Mjue more than 60 Genzs wako chini
@aheudit
@aheudit Месяц назад
The thumbnail photo alafu the two radio presenters 🤔.
@Uzuri-kenya
@Uzuri-kenya Месяц назад
Why do citizen tv twist news?
@josephonyango7888
@josephonyango7888 Месяц назад
Unatakia kampuni zako ndyo maana utaka kuuwa za wengine
@user-sb6ek7vn8e
@user-sb6ek7vn8e Месяц назад
Ruto and Gachagua still attend church services to promote their selfish politics?
@SwalehSaleh
@SwalehSaleh Месяц назад
Siasa kanisani
@user-hr2hw9fc9q
@user-hr2hw9fc9q Месяц назад
Do Not deflect issues.. Govrnt.officials looting infrastructure tax payers money which is supposed to create jobs for these jobless youths... Ruto n Riggy have the Audacity to complain in front of kenyans .They should Go after Government looters/Governors/Mcas !!
@hellenmaiyo2516
@hellenmaiyo2516 Месяц назад
Stop all the illicit brews and drugs.
@japhetitharu118
@japhetitharu118 Месяц назад
Uongo umekuwa mwingi kwako
@babuuosama8752
@babuuosama8752 Месяц назад
RIGGY G HE IS BOSS THAN HIM EXTRACTION FROM RIGGY G NA SIO MAOMBI NI LAZIMA.
@kwekwenyotakwekwenyota183
@kwekwenyotakwekwenyota183 Месяц назад
Reject mgokah mombasa
@ibnuyussuf
@ibnuyussuf Месяц назад
Je mgoka naye
@johnmbugua6499
@johnmbugua6499 Месяц назад
😂😂😂😂😂 asalalaaa 😂😂
@niominiomi3334
@niominiomi3334 Месяц назад
Please resign
@aheudit
@aheudit Месяц назад
Hawa watu seriously?
@KigodaChaMtemiMsarifu
@KigodaChaMtemiMsarifu Месяц назад
Makinikieni upakiaji wenu wa video na maelekezi.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Месяц назад
Mbona una madaha ya kuandika misamiati ilhali bado si sanifu
@josephkaruga5495
@josephkaruga5495 Месяц назад
​@@fahadfaraj6474This comment though 😂😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Месяц назад
@@josephkaruga5495 kaandika Maneno yanayofanana na kiswahili ila hayana usanifu
@augyking8010
@augyking8010 Месяц назад
Hawa wanapigana na pombe ,,pombe sio enemy, they're the enemy, zakayo and his puppets
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Месяц назад
Churches are not places of worship anymore...Sahi ni PLATFORM za siasa
@hazeljelimo5995
@hazeljelimo5995 Месяц назад
kwani unaskia uchungu wapi
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Месяц назад
@@hazeljelimo5995 kwenye mboo,unataka kunyonya upoeshe?
@tobiasorimba176
@tobiasorimba176 Месяц назад
That's your government.
@anthonycnei8574
@anthonycnei8574 Месяц назад
So disgusting to see politics in church. Another reason to avoid churches that still welcome politicians.
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Месяц назад
Isn't this just laughable?
@vinreyal5627
@vinreyal5627 Месяц назад
Lies
@stephenthinguri3414
@stephenthinguri3414 Месяц назад
Pombe imeua wengi kweli lakini nyinyi hizi wiki zimepita mmeua wangapi mr deputy you dont get to have a moral high ground when in truth your actions have no morals...God is watching you liars....
@DangotePatrick
@DangotePatrick Месяц назад
Why don't you talk about peaple killed in kware pipeline mukuru kwa njenga your talking about alcohol 😂
@cloudinhoabdi868
@cloudinhoabdi868 Месяц назад
So you have gone back to church again even after we warned you not to?
@FaithFay-mb1yt
@FaithFay-mb1yt Месяц назад
This guy is lieing at church
@lilyrunya9584
@lilyrunya9584 Месяц назад
Stupid talks. Why you want Muguka in Coast yet you dont let the pombe there. Are those more special than the others?
@charlyb3560
@charlyb3560 Месяц назад
Na hao watoto wetu ndo unaua..kigeugeu
Далее
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 12 млн
DAY BREAK | Inside Raila's AUC campaign
30:52
Просмотров 7 тыс.
Ex-President Uhuru tells President Ruto to arrest him
6:25