Тёмный

Rigathi Gachagua asema maafisa katika wizara ya usalama wanahujumu vita dhidi ya pombe haramu 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema kuwa maafisa wakuu katika wizara ya usalama wameanza kuwatumia wanasiasa kuhujumu vita dhidi ya pombe na dawa za kulevya nchini. Gachagua akisema yuko tayari kujiondoa kwenye uongozi wa vita hivi na jukumu hili kukabidhiwa mtu mwingine. Na kama Kamau Mwangi anavyoarifu, Gachagua sasa akimtaka rais William Ruto kuwa makini na watu anaosema wanataka afeli

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@irine8353
@irine8353 3 месяца назад
Gachagua don't go please we need some more secrets
@AliAthmani-o1w
@AliAthmani-o1w 3 месяца назад
This one has no secrets to tell, he wants to be treated equally to a head of state, hiyo tu, helicopter, najibebea sabuni nikienda mombasa tulidanganywa kama watoto. Bibi amenyanganywa marupurupu. Vitu ata having umuhimu na nchi, ukizoa kutendekezwa unakuwa mshenzi tu, jaribu 2027 tone kama unatosha mboga, tulikuonea eighteen. 😅😅😅
@erickjuma7643
@erickjuma7643 3 месяца назад
So nowadays Gachagua is addressing Ruto in public. Things change really fast
@kkir5004
@kkir5004 3 месяца назад
He's being haunted by his own demons, this guy belittled Uhuru infront of world leaders. Fought Raila endlessly now that Rao has stepped aside he's turning the spear to the ground he is standing on.
@irine8353
@irine8353 3 месяца назад
The earth is hard 😂😂
@superkidsafricatv7152
@superkidsafricatv7152 3 месяца назад
Rigathi is true
@fatumajuma592
@fatumajuma592 3 месяца назад
Umesema kweli
@lilianomondi-ck1pl
@lilianomondi-ck1pl 3 месяца назад
And we are following..
@HillaryKoech-pk2se
@HillaryKoech-pk2se 3 месяца назад
Kachakua should leave us alone...we are drinking Nation as shown by UHURU Kenyatta
@sohrabtajadin3402
@sohrabtajadin3402 3 месяца назад
There is a saying: THE MORE THINGS CHANGE, THE MORE THEY REMAIN THE SAME.
@JacksonAudi
@JacksonAudi 3 месяца назад
Gen Zs tupe mwelekeo kuhusu kinywaji.....
@liyakalozeze-hd7kp
@liyakalozeze-hd7kp 3 месяца назад
Mkunywe Tu hata taa izimwe
@AliAthmani-o1w
@AliAthmani-o1w 3 месяца назад
Hawa ndio mnatuambie ni viongozi wa makanisa, na uongozi wa nchi, wako na uchungu mwingi dhidi yao. Mnaweza kushindwa na majukumu ya kitaifa, lakini za nafsi ikiwashinda mumelaniwa.
@justinebosire9804
@justinebosire9804 3 месяца назад
uyu n bure kabisa....mt kenya dp..umavi sana
@AliAthmani-o1w
@AliAthmani-o1w 3 месяца назад
Kazi kama imekuwa ngumu ondoka, ukapumzike, au fungal mdomo uendelee kulipwa. Hiwezekani kila mahali unahutubia ni kulalamika tu, kazi yako ulikuwa ukifanya ni ipi hufanyi tena.
@football964
@football964 3 месяца назад
Mirraa also is killing innocent
@constantine7512
@constantine7512 3 месяца назад
Why is he not mentioning names, these kind of leaders are the ones we are rejecting, Unajua jambazi na husemi majina tumreject........
@roseyphone8698
@roseyphone8698 3 месяца назад
😊😊😊
@ClusterProject
@ClusterProject 3 месяца назад
There is nothing like illicit brew, made in kenya made by mama mboga can not be illicit
@jamalkhedira2398
@jamalkhedira2398 3 месяца назад
Mogoka is destroying coastal people.yet the president gave them money..we want ruto to give money as to illicit brewerrs 2:18
@niqueque8586
@niqueque8586 3 месяца назад
Tab tab ndo zinawamaloo
@cryptoth4n0s77
@cryptoth4n0s77 3 месяца назад
The common feature with this government, create a problem then come and fix it. Claim you found the problem and you solved it. From the fuel prices G2G and now prices are low they claim it is their effort
@jamalkhedira2398
@jamalkhedira2398 3 месяца назад
He should be impeached.
@nyamwangierick2820
@nyamwangierick2820 3 месяца назад
Udas mapema zana
@estherndanu8729
@estherndanu8729 3 месяца назад
You helped the gen z s to burn Kenya help yourselves too
@pstvitalisomondi
@pstvitalisomondi 3 месяца назад
wrong platform to adress your boss sir
@Watt-er8or
@Watt-er8or 3 месяца назад
Our beloved Deputy President, this is not the time for side shows. The problem at hand is GenZ, let's come together to switch off this fire,.. UDA differences should wait... Saa hii kuna moto inawaka,.. Remember 2017 after the first elections, Uhuru demeaned all Jubilee leaders, but when Supreme Court nullified elections, William Ruto stepped up as real man and told Uhuru, We are going back to the people... Mr. Rigathi Gachagua, step up as a real man at this trying times and unite Kenya Kwanza,, and give a road map on how to solve GenZ issues.. Don't be destructed by small people like Ichungwa,, you are the DP and de facto Mt. Kenya king pin.. We really need you to help in switching off this Fire
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 3 месяца назад
The whole RUTO govt,should go home....there's no sacred cow in this...
@alexsimiyu8582
@alexsimiyu8582 3 месяца назад
You are an idiot! So you think this one can be an alternative to our governance issues?
@AliAthmani-o1w
@AliAthmani-o1w 3 месяца назад
What's the difference this leaders of kenya and sudan, you know bw. Peggy G, some of your statements needs you to be detained, what you have just said on how the president could be brought down is as well a threat to the country, it seems even malicious could beat the backyard waiting your orders.
@kiruienock5081
@kiruienock5081 3 месяца назад
Gachagua ni mkora tu. Suddenly pretending to be so good. Be weary of this untrustworthy man
Далее
Three NEW MAPS in Update 0.31.0 Nightmare | Standoff 2
01:48
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 7 млн
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 9 млн
Ex-President Uhuru tells President Ruto to arrest him
6:25