Ringo minapenda movie zako ila jaribu kuweka sauti Yako halisi aca kubadilisha sauti afu Uwe unaceza na movie za série itapendeza sana Napenda kazi zako sana
@@ramadhanihoti2376 jamaa amempea tu ushauri wake hajaongea vibaya acha kupwapwaya muigizaji mzuri ni yule anapokea ushaur wa watazamaji wake sasa sijui wew umeichukuliaje ama wew ni actor pia??