Nikweli kabisa dada riyama mimi mwenyewe mkewangu tunazidiana myaka kumi mimi nina miyaka 25 mke wAngu ana miyaka35 nampenda sana mana stamani kumpoteza kwasababu ni lulu yangu nimempata kwa ugum sana
Uwiiiii Kuna wanawake wanaingia kwenye ndoa za watu Kwa vishindo na matusi na mashindano juu Kila siku ni uchonganishi ndiyo maana watu wanauogopa uke wenza jamaniii raha ya uke wenza awe Mwenye dini, heshima ustatabu na adabu na mume awe na hela
Riama wewe ni mzuri MA SHA ALLAH… jitahidi upunguze mwili kidogo. Sbb mwili ni sbb ya maradhi mengi. Na pia inaweza kua ni kikwazo cha wewe kupata wtt dear. Nakupenda saana Riama.
Lakini mbona mnamchoshaga rihama wangu. Kila kucha kumuuliza maswali kuhusu mume wake. Yaani miaka yote Kila interview lazima kuulizwa ulianzaje kumtongoza😢
Mie nampenda sana Riyama, ila hapo kwenye marafiki sijaelewa vizuri kwasababu kwanza amesema hana marafiki zaidi ya mume wake, wazazi wake na watoto wake, halafu baadaye amesema alimuunganisha Tabu Mtingita na nusu ya marafiki zake, Je hapo imekaaje?🤔