Big up Riyama & Shigera kwa kuonesha mcmamo wenu kiac gan mnapendana mmtufunza mambo mingi kuhs maambukiz ya viruc vya ukimwi .asanten sana bt more big up 4 u dada Riyama mtt wa kikwajun Znz nakukubali myn kila sehem unazopewa kuigiza unauvaa uhalisia halic ..
Ahsante sana kwa film. Film za kuburudisha nzuri lakini pia film za kufanya binadam afirikiye ni muhimu sana tena ili kusaidiya watu wapate ilmu hususwan kwa vijana. Hi story imefanywa kwa umakin. Ahsante sana.
Move ni nzuri sana hongera Riyama Ally, kwani move hiyo imetuelimisha hasa wale wanaopenda kuvaliana vitu kama hellen, vipini vya pua unajua hata MACHANUO SIO VIZURI KUSHEA kiukweli huyu dada Riyama huwa ananivutia sana katika uigizaji wake,kila sehemu anayopewa kucheza huwa anafit,HONGERA SANA nakutakia kazi njema
waaau very interesting and educative movie,have learnt alot about HIV,and also that God remember those who are well mannered,and trusts him,asanteni nyote
Lol kitu penzi likisha noga hata aongee nani huwezi kuskiza,,,na kalamu ya mola inapo andika wakufuta huwezi kumuona hongera sana kwa filamu yenu nzuri yenye mafundisho maalumu japo,, yataka moyo sana kuoa mwanamke au mwanamume aliyeathirika.
kwakipindi iki mwanaume akupende akati.unaumwa.itakuwa kazi watu wengi ujua kupata h.l.v.nikama..umepakwa mavi.mengi.ila.kumbe ni.swala.LA.kawaida sana.maisha.yamebadilika.ukimwi.umekuwa.nje.nje
Kuathirika kwa virus I vya ukimwi haimaanishi ndio mwisho wa maisha.ilhali yafaa kuwachukulia wale walioathirika kisawa na hata kuwapa ukubalio wa mapenzi katika jamii.ila; kujikinga tukariri.""